DOGMA ndio msingi wa dini ya ukristo

Kijana wa Bom bom kijiwe samli uliepata eliminya madrasa huwezi elewa mambo yaliyokuzidi upeo
 

hatari sana mkuu
 
Maandiko yenu mbona yana udhaifu mno
Kwa logic tuu ya kawaida

Hiyo Quran mnayodai imeshushwa ikiwa na habari ya mussa, ibrahimu, Yesu nk, iliikuta Biblia ilishaandika hizo habari karne nyingi tuu zilizopita ( copy and paste)

Hakuna ushahidi wowote wa kihistoria au ki theolojia kwamba uislam ulikuwepo kabla ya Muhammad isipokua madai ya quran yenyewe.

Muhamad alikua merchant hivo alisikia hadithi za uyahudi na ukristo akaziunganisha kutengeneza dini yake+ tamaduni za kihindu za pale macca
 
Labda ndio maana hunielewagi.

Yesu imeandikwa kwenye Quran ndio atahukumu siku ya kiama. Na sio Mohamed.

Ina Maana Yesu ni Mungu.
Wapi imeandikwa atahukumu?
Wapi imeandikwa kwamba yeye ni Mungu?
 
Hayo ni maoni yenu binafsi na hayana ushahidi wa maandiko
 
Atarudi akiwa katika umbilical gani mtoto kijana,mzee au mnyama mdudu au mwezi kama alivyo allah?
 
Maandiko yenu mbona yana udhaifu mno
Atarudi akiwa katika umbilical gani mtoto kijana,mzee au mnyama mdudu au mwezi kama alivyo allah?

Ukijua kuwa atarud . Inatosha.
Ndio Nabii pekee Quran inamuheshim.

Alaf Quran haiwez Kinzana .

Hapa Quran inasema
Kuwa Yesu alikufa na atafufuliwa.

“...Hakika mimi ni mtumwa wa Mwenyezi Mungu. Amenipa Kitabu na amenifanya Mtume; na amenijaalia ni mwenye kubarikiwa popote pale niwapo. Na ameniusia sala na zaka maadamu niko hai, Na nimtendee wema mama yangu. Wala hakunifanya niwe jeuri, mwovu. Na amani iko juu yangu siku niliyozaliwa, na siku nitakayokufa, na siku nitakayofufuliwa kuwa hai.” (Kurani 19:30-34)

Na hapa inasema alipaa.

Quran 3: 55 - Pale Mwenyezi Mungu alipo sema: Ewe Isa! Mimi nitakufisha, na nitakunyanyua kwangu, na nitakutakasa na wale walio kufuru, na nitawaweka wale walio kufuata juu ya wale walio kufuru, mpaka Siku ya Kiyama. Kisha marejeo yenu yatakuwa kwangu, nikuhukumuni katika yale mliyo kuwa mkikhitalifiana

Quran 4:158
Bali Mwenyezi Mungu alimnyanyua kwake, Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye nguvu na Mwenye hikima.
 
Qur’an inaheshimu Mitume wote sio Isa pekee
 
Ndio ukweli na inakuuma.
Ila sasa ushaamini. Hakuna jinsi.

Alaf nitafutie aya ya quran inayosema mmbusu lile jiwe jeusi
Sasa kinachoniuma nini kama sio wewe ndo unaumia
Kuhusu kubusu jiwe sio lazima na ipo kwenye hadithi
 
Sasa kinachoniuma nini kama sio wewe ndo unaumia
Kuhusu kubusu jiwe sio lazima na ipo kwenye hadithi

Naomba ninyeshe aya ya Quran.

Hadith ziko nying.
Tukileta hadith zile ndio mtatukana kabisa hapa.
Kuna ile Hadith ya Shetan kupuliza matako ya watu wakiwa wana swali.
 

Sasa ngoja tuone wewe unamfuata Yesu au unafuata DOGMA za Wazungu

Hili andiko umetoa wewe mwenye kuwa Yesu kondoo wake amewapa uzima wa milele

Yohana 10:27
Kondoo wangu waisikia sauti yangu; nami nawajua, nao wanifuata.
Yohana 10:28
Nami nawapa uzima wa milele; wala hawatapotea kamwe; wala hakuna mtu atakayewapokonya katika mkono wangu.

Na uzima wa milele ambao Yesu aliwapa kondooi wake ndio huu hapa

Yohana 17:3
Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.

Kama kweli wewe unamfuata Yesu basi lazima uamini na ukubali kuwa Mungu ni mmoja tu na Yesu ametumwa na huyo Mungu mmoja

Na kweli unaamini hivyo basi karibu katika uislam maana hilo analosema Yesu hapo ndio fundisho namba Moja katika uislam hapo Yesu anatoa shahada Yani anashuhudia kuwa Mungu ni mmoja na yeye ni mtume wa Mungu

Ila Kwa sababu wewe unafuata DOGMA hayo Maneno ya Yesu hapo hauyafuati Wala hauyaamini
 
Naomba ninyeshe aya ya Quran.

Hadith ziko nying.
Tukileta hadith zile ndio mtatukana kabisa hapa.
Kuna ile Hadith ya Shetan kupuliza matako ya watu wakiwa wana swali.
Sasa unaomba aya na wakati hakuna aya hiyo 😃
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…