Na Allah kasema wazi yeye ndie kadanganyaQuran inasema ukimsikia mtu anasema Yesu alisurubiwa ujue huyo amedanganywa na katika hao waliodanganywa ndio pamoja na wewe
Hayo uliyoandika yote hapo ndio yanaitwa DOGMA Yani kuufanya uongo kuwa ukweliSitachoka kukupa elimu ,japo una mihemko,
tatizo lako ni hili moja, unataka Biblia ya karne ya kwanza iandikwe kwa mfumo wa saa wa karne ya 15. Hapo ndipo unapokosea.
Kwanza, nakubaliana nawe kwamba Warumi waligawa mchana na usiku kwa saa 12 kila moja, kwa kutumia jua na giza. Lakini kumbuka, Yohana aliandika kwa jamii ya Warumi waliokuwa na desturi tofauti za kuhesabu muda, na maandiko ya mapokeo (manuscripts za kale) yanaonyesha walitumia mtindo wa Kirumi wa saa tofauti na ule wa Wayahudi. Ndiyo maana hata watafsiri wakubwa wa Biblia wamekubali jambo hili ndiyo maana tafsiri nyingi za Kiingereza zina footnote zikionyesha tofauti ya mfumo wa saa.
Sasa ngoja nikuweke wazi
Marko 15:25 (mfumo wa Kiyahudi): saa ya 3 = takribani 9:00 asubuhi kwa saa zetu. Hapo Yesu yupo msalabani tayari.
Yohana 19:14 (mfumo wa Kirumi): saa ya 6 = takribani 6:00 asubuhi kwa saa zetu. Hapo Yesu bado yuko mahakamani kabla ya kutoka.
Kwa hiyo tukio ni moja, si mbili. Hakuna Yesu wawili tofauti. Ni tafsiri ya saa inayotumika kwa wasomaji tofauti.
Wewe unataka kulazimisha kuwa saa 6 ya Yohana = mchana wa saa 12 kwa sababu umechukua “formula ya Wayahudi” na kuibandika kwa Warumi. Lakini nakukumbusha, ndugu yangu: Biblia yenyewe ndiyo ushahidi bora kuliko “formula” yako. Ndiyo maana Marko na Yohana walitumia mifumo tofauti, lakini maandiko yanakubaliana.
Kwa ufupi
Yesu wa Marko saa ya 3 msalabani = 9:00 asubuhi.
Yesu wa Yohana saa ya 6 bado mahakamani = 6:00 asubuhi.
Ni Yesu yuleyule, tukio moja, mitindo tofauti ya kuhesabu muda.
Utaelewa tu, maana Quran ishakudaganya ,kazi yetu ni kutoa elimu wenye akili watapima watajua tuHayo uliyoandika yote hapo ndio yanaitwa DOGMA Yani kuufanya uongo kuwa ukweli
Na sio wewe tu hata huyo Papa na makadinari wake hawana uwezo wa kuutetea ukristo Kwa kutumia maandiko Kwa sababu msingi wa ukristo ni DOGMA
Ona jinsi unavyo aibika saa 6 asubuhi ndio saa ngapi?
Ulidanya kuwa warumi walianza kuhesabu saa 0:00 usiku nikaufichua huo uongo wako kuwa sio kweli
Ila ukweli ni kwamba warumi waligawanya siku Kwa masa 12 mchana na masaa 12 usiku na walikuwa na mfumo wao mzuri tu wa kuhesabu saa Kwa kutumia maji
Alafu tambua kuwa msingi wa saa ni Jua Sasa tokea lini Jua la saa 3 asubuhi likafanana na Jua la saa 6 mchana ?
Ukweli unabaki pale pale
Mariko anasema saa 3 asubuhi Yesu yupo msalabani
Na Yohana anasema saa 6 mchana Yesu yupo mahakamani anajibu maswali ya Pilato
Na ndio maana Quran inasema Yesu hajafa na Wala msalabani hakufika na hao wanaosema Yesu kafa hawana uhakika ila wanadhania dhania tu
Sasa kama wewe unao uhakika kuwa Yesu alisurubiwa jibu swali
Yesu gani saa 3 asubuhi yupo msalabani?
Na Yesu gani saa 6 mchana yupo mahakamani
Ukielewa ,kuwa wazi ubatizwe na uukane uislamu na Mudy ,uwe kiumbe kipya ,usije kufa dhambini ,Ukweli umepewa ni wewe kuchaguaHayo uliyoandika yote hapo ndio yanaitwa DOGMA Yani kuufanya uongo kuwa ukweli
Na sio wewe tu hata huyo Papa na makadinari wake hawana uwezo wa kuutetea ukristo Kwa kutumia maandiko Kwa sababu msingi wa ukristo ni DOGMA
Ona jinsi unavyo aibika saa 6 asubuhi ndio saa ngapi?
Ulidanya kuwa warumi walianza kuhesabu saa 0:00 usiku nikaufichua huo uongo wako kuwa sio kweli
Ila ukweli ni kwamba warumi waligawanya siku Kwa masa 12 mchana na masaa 12 usiku na walikuwa na mfumo wao mzuri tu wa kuhesabu saa Kwa kutumia maji
Alafu tambua kuwa msingi wa saa ni Jua Sasa tokea lini Jua la saa 3 asubuhi likafanana na Jua la saa 6 mchana ?
Ukweli unabaki pale pale
Mariko anasema saa 3 asubuhi Yesu yupo msalabani
Na Yohana anasema saa 6 mchana Yesu yupo mahakamani anajibu maswali ya Pilato
Na ndio maana Quran inasema Yesu hajafa na Wala msalabani hakufika na hao wanaosema Yesu kafa hawana uhakika ila wanadhania dhania tu
Sasa kama wewe unao uhakika kuwa Yesu alisurubiwa jibu swali
Yesu gani saa 3 asubuhi yupo msalabani?
Na Yesu gani saa 6 mchana yupo mahakamani
Hili swali umeshindwa kujibu na nimekuambia sio wewe tu hata aje papa na makadinari hawawezi kujibu ila kilichobaki Sasa unataka udharirike Ili hata wagalatia wenzanko wajue kuwa wewe ni kilazaUkielewa ,kuwa wazi ubatizwe na uukane uislamu na Mudy ,uwe kiumbe kipya ,usije kufa dhambini ,Ukweli umepewa ni wewe kuchagua
NARUDIA kwa Tena 👇👇👇
Marko aliandika kwa ajili ya Wayahudi, na kwao saa ya tatu = takriban saa 9:00 asubuhi kwa mfumo wetu. Yohana aliandika kwa Warumi, na kwao “saa ya sita” aliyoitaja inalingana na kipindi cha mapema kabla ya mchana, siyo “saa 12 jua kali” kama unavyodai.
Hivyo tukio ni moja, jicho la mtazamaji ndilo lililotofautiana.
Mfano rahisi,
tukio la mpira likianza saa 9 alasiri kwa saa za Afrika Mashariki, mtu aliye London atasema ulianza saa 7 asubuhi kwake. Je, ni mechi mbili tofauti? Hapana, ni mechi moja, ila mfumo wa muda ndio tofauti.
Wewe umedanganywa na Qur’an inaposema
“hawakumsulubisha”
lakini kumbuka:,Qur’an imeandikwa miaka 600 baada ya matukio, haina shahidi wa macho, na hata ndani yake kuna mkanganyiko. ,Quran hii ambayo Leo Haina matini hata moja ya Uthaman,
Sura moja inasema Isa(Yesu wa mchongo)
“alipandishwa juu kwa Mwenyezi Mungu” (An-Nisa 4:158),
nyingine inasema
“kila nafsi itaonja mauti” (Al-Ankabut 29:57).
Kama kila nafsi itaonja mauti, basi Yesu naye alikufa. Hapo Qur’an yenyewe haiko thabiti, ndio maana haiwezi kuwa chanzo sahihi cha kihistoria.
Biblia, iliyoandikwa na mashahidi wa macho, inasema wazi Yesu alisulubiwa na kufa msalabani. Hapo chaguo ni lako,kusimama na historia halisi au na dhana zisizo na mashiko zilizoletwa karne nyingi baadaye.
Kwa hiyo jibu ni hili👇👇
✔ Yesu yuleyule ndiye aliyetajwa na Marko saa ya tatu (sawa na saa 9 asubuhi kwetu).
✔ Yesu yuleyule ndiye aliyetajwa na Yohana saa ya sita (kwa mfumo wa Kirumi, sawa na karibu na adhuhuri).
Hakuna Yesu wawili, hakuna mkanganyiko, ila ni mitindo miwili ya kuandika muda.
Acha upotoshaji,acha kuogopa ,Hili swali umeshindwa kujibu na nimekuambia sio wewe tu hata aje papa na makadinari hawawezi kujibu ila kilichobaki Sasa unataka udharirike Ili hata wagalatia wenzanko wajue kuwa wewe ni kilaza
Saa za Roma na Jerusalem all most zipo sawa
Jerusalem, Israel is 1 hour ahead of Rome, Metropolitan City of Rome Capital, Italy
09:48 Friday, in Jerusalem, Israel is
08:48 Friday, in Rome, Metropolitan City of
Kwahiyo kama Yohana alifuata saa za Roma ilitakiwa aandike saa 2 asubuhi Yesu alikuwa msalabani maana Roma ipo nyuma Kwa lisaa limoja dhidi ya Jerusalem
Sasa iweje aseme saa 6 yupo mahakamani?
Tena zingatia hili saa 6 yupo mahakamani kwahiyo alivyotoka hapo ndio akapelekwa msalabani Yani bado anazidi kuingia Chaka
Broo nimesha kuambia hauna uwezo wa kuutetea ukristo Kwa kutumia maandiko ila ukristo unatetewa Kwa DOGMA
Na DOGMA zinakuwa applied dhidi ya wagalatia wenzanko maana mmeshazoea kudanganyana
Jibu swali
Yesu gani saa 3 asubuhi yupo msalabani ?
Na Yesu gani saa 6 mchana yupo mahakamani?
Utaelewa tu ,Mimi wala Sina haraka na weweHili swali umeshindwa kujibu na nimekuambia sio wewe tu hata aje papa na makadinari hawawezi kujibu ila kilichobaki Sasa unataka udharirike Ili hata wagalatia wenzanko wajue kuwa wewe ni kilaza
Saa za Roma na Jerusalem all most zipo sawa
Jerusalem, Israel is 1 hour ahead of Rome, Metropolitan City of Rome Capital, Italy
09:48 Friday, in Jerusalem, Israel is
08:48 Friday, in Rome, Metropolitan City of
Kwahiyo kama Yohana alifuata saa za Roma ilitakiwa aandike saa 2 asubuhi Yesu alikuwa msalabani maana Roma ipo nyuma Kwa lisaa limoja dhidi ya Jerusalem
Sasa iweje aseme saa 6 yupo mahakamani?
Tena zingatia hili saa 6 yupo mahakamani kwahiyo alivyotoka hapo ndio akapelekwa msalabani Yani bado anazidi kuingia Chaka
Broo nimesha kuambia hauna uwezo wa kuutetea ukristo Kwa kutumia maandiko ila ukristo unatetewa Kwa DOGMA
Na DOGMA zinakuwa applied dhidi ya wagalatia wenzanko maana mmeshazoea kudanganyana
Jibu swali
Yesu gani saa 3 asubuhi yupo msalabani ?
Na Yesu gani saa 6 mchana yupo mahakamani?
Mimi nakubaliana na wewe kuwaKwa ufupi
Yesu aliyesulubiwa saa ya tatu (Marko) = takribani saa 9 asubuhi.
Yesu aliyekuwa akijibu mahakama ya Pilato saa ya sita (Yohana) = takribani adhuhuri, kabla ya kusulubishwa.
Ok, kwakuwa umeelewa kwenye muda , sasa nikupe mtiririko ulivyokuwa kuanzia alhamis Hadi mwishoMimi nakubaliana na wewe kuwa
Mariko anasema saa 3 asubuhi Yesu yupo msalabani
Na Yohana anasema saa 6 mchana Yani adhuhuri Yesu yupo mahakamani Kwa pilato
Ndio nataka Sasa ujibu swali
Yesu gani saa 3 yupo msalabani?
Na Yesu gani saa 6 mchana (adhuhuri) yupo mahakamani?
Au unataka kusema kuwa saa 3 asubuhi na saa 6 mchana ni wakati mmoja?
Kwa kukurahisishia ukijua huu mtiririko,basi simple hutadanganywa Tena na kina mazinge,firdaus , kinyogori, Sule na wahuni wengineMimi nakubaliana na wewe kuwa
Mariko anasema saa 3 asubuhi Yesu yupo msalabani
Na Yohana anasema saa 6 mchana Yani adhuhuri Yesu yupo mahakamani Kwa pilato
Ndio nataka Sasa ujibu swali
Yesu gani saa 3 yupo msalabani?
Na Yesu gani saa 6 mchana (adhuhuri) yupo mahakamani?
Au unataka kusema kuwa saa 3 asubuhi na saa 6 mchana ni wakati mmoja?
Nilikuwa nakufanya ubao Ili wenye akili wasomeKwa kukurahisishia ukijua huu mtiririko,basi simple hutadanganywa Tena na kina mazinge,firdaus , kinyogori, Sule na wahuni wengine
Hakuna Yesu wawili. Ni Yesu mmoja, tukio moja, na mtiririko wake uko wazi:
1. Usiku → kukamatwa.
2. Alfajiri (saa 6 kwa Kirumi) → kwa Pilato.
3. Saa 9 asubuhi (saa 3 kwa Kiyahudi)→ anasulubiwa.
4. Saa 12-3 mchana → giza.
5. Saa 3 jioni → anakata roho.
😂😂😂Nilikuwa nakufanya ubao Ili wenye akili wasome
Pia nilitaka nikuonyesheni nyinyi wagalatia kuwa ukristo haufuati maandiko ila unafuata DOGMA
Mariko anasema saa 3 asubuhi Yesu yupo msalabani
Yohana anasema saa 6 mchana Yesu yupo mahakamani
Hivyo ndivyo yasemavyo maandiko hizo zingine ni DOGMA na ndio msingi wa dini yenu
DOGMA ni kitendo Cha kuufanya uongo kuwa ukweli na kutumia Mbinu za kisaikolojia kukupandikiza huo uongo katika akili za watu
DOGMA ndani ya ukristo
1) wameaminishwa kuwa Yesu amezaliwa katika hori la kulishia ng'ombe wakati hakuna andiko linalosema hivyo
2) wameaminishwa kuwa ukristo ni dini wakati hakuna andiko linalosema hivyo
3) wameaminishwa kuwa Mungu ana nafsi 3 wakati hakuna andiko linalosema hivyo
4) wameaminishwa kuwa wakiwa na shida wamuombe Yesu wakati hakuna andiko linalosema hivyo
5) wameaminishwa kuwa Yesu ni Mungu wakati Yesu mwenyewe amekana kuwa yeye sio Mungu
6) wameaminishwa kuwa Mungu aligeuka kuwa mtu akacheza kombolela na watoto wenzake katika mitaa ya Galilaya
7) wameaminishwa kuwa ukristo alianzisha Yesu wakati maandiko na historia zinasema kuwa ukristo ulianzishwa baada ya Yesu kuondoka
8) wameaminishwa kuwa wakifanya ibada wasisujudu wakati maandiko yanawataka wasujudu na manabii wote walikuwa wanasujudu
9) wameaminishwa kuwa Yesu alisurubiwa Kwa ajili ya dhambi zao wakati maandiko yanasema Kila mtu atabeba mzigo wake
10) wameaminishwa kuwa msalaba ni neema Hadi wanavaa shingoni mwao wakati maandiko yanasema msalaba ni laana
11) wameaminishwa kuwa kuoa wake wengi ni kosa wakati hakuna andiko linalosema hivyo
12) wameaminishwa kuwa ukristo ulianzishwa nchini Jerusalem wakati maandiko yanasema ulianzishwa nchini ugiriki
14) wameaminishwa kuwa Injili ni kitabu Cha wakristo wakati hakuna andiko linalosema hivyo
15) wameaminishwa kuwa Paulo ni mtume wakati Yesu alisema yeye ndio mtume wa mwisho katika kizazi Cha Israel
16) wameaminishwa kuwa Jumapili ni siku ya ibada wakati hakuna andiko linalosema hivyo
Wazungu watu wabaya sana
In a religious perspective, dogmatism refers to the unwavering adherence to established doctrines or beliefs, often without room for questioning, doubt, or reinterpretation. It implies accepting religious teachings as absolute truths, typically based on the authority of sacred texts or religious leaders. While dogma helps preserve the core tenets of a faith, excessive dogmatism can lead to intolerance, resistance to new ideas, and rejection of differing beliefs.
Hayo ni maneno ya Injili ya domo la hamis77, hujaweka ushahidi wowote wa hayo uliyoyaandikaNiache kuwaamini manabii kuanzia Musa, Mzee yakobo ,Daudi, waliotabiri kufa na kufufuka kwa Yesu Tena kwa usahihi mkubwa nije NIMUAMINI tapeli Muhammad 😂
Niache kumuamini Daniel ambaye alitabiri EXACTLY Hadi mwaka atakaokufa Yesu ,NIMUAMINI tapeli Muhammad 😂
Hivi Unajua msomi wa biblia akiona VITUKO vya muhamad kuwa Yesu hakufa anacheka na anahitimisha Quran ni kitabu cha Shetani
Biblia imejaa unabii wa Yesu kufa na kufufuka zaidi ya nabii 300
Ni mpumbavu pekee ANAYEWEZA KUMUAMINI MUHAMAD
Kwani huruhusiwi kuuliza?Dogmatism ni falsafa inayotawala dini zote. Kama dini zina fact sahihi kuhusu Mungu waturuhusu kuuliza maswali baada ya hotuba/mahubiri
Ndo sifa ya dogmatismKwani huruhusiwi kuuliza?
Kama Mariko na Yohana walishuhudia hicho kitendo mbona wanatofautiana katika kuripoti😂😂😂
Umeishiwa hoja ,nilikwambia biblia haisomwi kimsikitimsikiti,
Sasa nimekuweka wazi ,nimekuweka uchi ,
Kila mwenye akili kajua jinsi mnavyopotosha maandiko
Ni kichaa pekee atamuamini mudy na Quran ,aache kuamini manabii zaidi ya 20+ waliotabiri kufa na kufufuka kwa Yesu, waliotabiri matukio karibu yote kwa 100%
Aje amsikilize muhuni Fulani baadae miaka 600 mbele ,utakuwa uchizi
Unaposema Ukristo unafuata dogma, kumbuka:
Ukristo una mashahidi wa macho waliomuona Yesu (Mathayo, Petro, Yohana, Luka alikusanya ushahidi).
Qur’an ilitokea miaka 600 baada ya matukio na inasema: “Hawakumsulubisha, bali walidhaniwa tu” (Surah 4:157). Hiyo ndiyo dogma, kwa sababu hakuna shahidi mmoja wa macho kutoka karne ya kwanza anayesema Yesu hakusulubiwa.
Kwa hiyo hoja yako inarudi kwako mwenyewe: Uislamu unategemea dogma ya karne ya 7, lakini Ukristo unategemea ushahidi wa karne ya 1.