Mimi nimesikitishwa.Nimecheka jamani... loh! loh! loh!
Mimi nimesikitishwa.
Mkuu kila mara nashindwa kupata picha zako. hutokea mara chache kwa wengine lakini kwako ni kawaida hiyo. Msaada tafadhali.
Kama watumia simu hakika hutaweza kuona au kuelewa...picha za Ndallo mara nyingi huwa ni animated gif's