Does the Age Difference Really Matter Katika Mahusiano!!!!!!!!

Vi feelings naviona tena vinakuja kwa kasi ya ajabu......

nimedate na mtu tulikuwa the same age,what happened left me with a broken heart
sema hii age difference nimeiona kama ni kubwa,I just dont know for real.........

Usihofu rafiki. Cha muhimu mnapendana?! Kama angekuwa in 40s hapo hata mimi ningekusapoti hofu yako. Huu ndo umri mzuri mwanaume kuoa. Maana hapa anatafuta serious relationship. Utaniambia mwenyewe utakavyoinjoi life na huyo bwana harusi.
 
My c6, the age difference you have mentioned is the best when it comes to serious matters like marriage. I do presume, you got a golden pearl on moving sandy water, never let it go, for it may never come twice!
 
Mkuu mimi naona anakufaa. Je wewe wataka mwanaume umzidi umri?. hiyo ya kukucontrol ni kawaida ya mwanaume. Siku zote wanaume wanapenda kuona wake zao wakifanya kile kitu wanachopenda wao. Ukikataa atajijengea kwenye akili unamdharau. Mradi anayo kiambia ufanye ni mazuri yaani yanakubarika kijamii. Naamin yeye anataka akutengeneze aone kama unamheshimu au utamheshimu. Anaweza akakukataza kitu makusudi aone utakavyo react.
Upande wa pili wewe una malengo yako uliyo jiwekea kwamba unataka uishi na mtu wa aina gani. So timiza ndoto zako usijilazimishe kitu unacho ona sio coz baadae kitakuletea matatizo vilevile usikatae mahusiano sababu ya umri kama mambo mengine yapo poa hence wewe ni msichana. Kumbuka hutapata mtu mwenye kila sifa unayo itaka. Akifikisha 80% ya sfa utakazo huyo anakufaa mengine mnalekebishana mbele ya safari. mia
 

Huu ushauri sio. Kujengewa kwenu sio kudumu kwenye ndoa. Mtu mwingine anakujengea anakufanyia mambo ya maana lakini ndoa unakuta haimedumu. Heaven on earth anacho taka kujua ni je atadumu naye au ataishia njiani kwa kushindwa masharti?. kwa ufupi anaogopa. Inamaana anataka kitakacho dumu. Je akishindwa kuuzunguka huo mbuyu na kashaingia atafanyaje?. huo ushauri uloutoa unafaa nyumba ndogo/yaani ni wa kihuni. Unamfaa mpita njia. Yeye kuhusu kumhandle hana tatizo ina maana anayaweza. Mia
 
Last edited by a moderator:
Maisha ya ndoa ni maisha mapya hata marafiki hubadilika. Mia
 

HAHAHAAAAAAAAAA! Sasa kumjengea mkeo kwao kama uwezo unao kuna ubaya gani?

Mimi sijaona uhusiano WA KUMJENGEA MKEO KWAO NA NDOA KUVUNJIKA? SIONI KABISAAAAAAAA! Hio nyumba uliomjengea ama wadogo zake uliowasomesha wanavunjaje haswaaa hio ndoa na kuifanya isidumu!

Embu acheni ROHO ZA UMASIKINI na GHILIBA kwa wake zenu! Yaani kumfanyia kitu kidogo kama kumjengea tubanda ndo ndoa iishe?????????

NO WONDER UNAKUTA MTU KWA MUMEWE KUNA MIJUMBA HATA 6 YA KUFURU ILA KWAO KUNA KIBANDA CHA NYASI NA WADOGO ZAKE HAWANA ADA SHULE WAMEACHA!

Big up kwa WANYAMWEZI! Dada mtu akitoka ukoo mzima hadi babu na mashangazi wametoka kimaisha!
 
For that age difference its ok kama we mwenyewe pia unamfeel. All in all you have to put God first in everything. Angalia mwenzio hapa (Celine Dione and huasband Rene Angelil). All the best
 

ASANTE kwa ushauri rafiki........
 

Ni kweli hizo ni ndoa saafi,Ila usijisahau kukumbuka wanaishi ktk mazingira na tamaduni gani..Maana hii dunia hata haliya hewa,ardhi,zinatofautiana kutokana na mazingira japokua zinaweza kuboreshwa na kufanana..angalia mazingira uliko.
 
Last edited by a moderator:

asante @figganiga

btn ile mipango yetu iko vile vile!!!!!!!!
 
umri hauna relation yoyote na maisha ya ndoa cha msingi ni kama nyie mnapendana kwa that, na si vinginevo

Eti????okay,Haya sasa kama we una 45yrs then oa binti mwenye 20yrs uone kama vijana hawatakusaidia kazi pindi ukifika 55yrs wakat ye 30yrs
 

Umesemaaaaaa...na nimegonga LIKE
 
jamani rafiki kuna baadhi ya vishughuli vimenibana na ndio maana nakuwa kiangazi haswaa,ila nikipata ka muda angalau hata kidogog huwa nakuja kuchungulia kidogo kidogo kama hivi ,ila nashukuru kwa kuitikia wito rafiki mpendwa.
Rafiki wapi tena, yaani umekuwa kama kiangazi....joking....tangu baridi ianze tunakiota. Tumeshakuja tumempa elimu si unajua amekuja na maelezo yanayoonyesha ana kizungumkuti.
 
jamani rafiki kuna baadhi ya vishughuli vimenibana na ndio maana nakuwa kiangazi haswaa,ila nikipata ka muda angalau hata kidogog huwa nakuja kuchungulia kidogo kidogo kama hivi ,ila nashukuru kwa kuitikia wito rafiki mpendwa.

Nafurahi kusikia toka kwako rafiki.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…