Freedom tommorrow
JF-Expert Member
- Jan 31, 2015
- 1,795
- 1,132
mkuu NIMPENDENANI ina maana hata 1inch unaweza kuitumia kum satisfy mwanamke???, we real need help frm girls
Kaka uwezi kupata jibu sahihi kwani wanawake wametofautiana ANATOMY ZAO. kuna watakaosema yes na No. tofauti ni kuwa kuna wanawake wanye long canal na wenye short canal. Mwenye short canal akiingiliwa na mwenye long penis huwa anaisi maumivu na distrurbance wala tendo la ndoa hana hamu nalo. ila mwenye long canal akiingiliwa na mwenye short penis ni vigumu kuwa satisfied hivyo anakuwa hajaridhika. hivyo fanya assessment kwa mkeo ana long or short canal ni rahisi kumtambua.
kwangu ina matter sana tu
mkuu weka wazi atamtambuaje?
Does size matters? kwanini usinge andika kiswahili tu mkuu?I need to hear from u girls, does real size matters in bedroom? if yes, wht do u thnk is the normal size for u! welcome
Utapwelepweta bure
That means it matters. Big kwa mwingine inaweza ikawa small n.k. so inategemea na mtu mwenyewe. Huwezi pata jibu la which size is normal. Kwa sababu kila mtu ana normal yake. Ni sawa na kuuliza hivi kunywa bia normal ni chupa ngapi?After all wanawake nao size zao zinatofautiana. Kwahiyo kupata jibu moja la NO au YES itakuwa vigumu.
That means it matters. Big kwa mwingine inaweza ikawa small n.k. so inategemea na mtu mwenyewe. Huwezi pata jibu la which size is normal. Kwa sababu kila mtu ana normal yake. Ni sawa na kuuliza hivi kunywa bia normal ni chupa ngapi?
I need to hear from u girls, does real size matters in bedroom? if yes, wht do u thnk is the normal size for u! welcome
Vijana wa KITANGANYIKA wamewekeza kwenye nyege na kubanduana ,wakati wageni wamewekeza kwenye rasilimali zetu. Tukimaliza kubanduana tunashangazwa na umaskini wetu.....AJABU....