Does Magufuli care?

ipyax sidhani kama kubwana kwa Bunge kumewanyima Upinzani kutimiza ahadi zao na ajenda.

Kwani ajenda au siasa wanafanyia majimboni na Bungeni wanaenda kuwasemea wananchi.

Na hata kuzimwa kwa Bunge hakujawazua kufanya siasa.

Wanazifanya na tena kwa levo bora kuliko enzi za JK.
 

Bashite - waziri wa TAMISEMI kabla ya 2020..................
 
Kazi ya upinzani ni kujenga hoja, ni kazi ya wananchi kupima na kutoa hukumu stahiki!!
Kuna faida gani kufanya makosa ambayo mwenzio anayatumia kuthibitisha hoja zake mbaya kwako?Kwanini usifanye nzuri km unaweza ili hoja zao zikose pa kuthibitisha?Nania nafaidika na nani anapata hasara?
 
Ndio maana nauliza, katiba inakanyagwa hao wapinzani wakae kimya kwa sababu Mhe rais hajali? Ni agenda gani kubwa zaidi ya kusimamia utawala wa sheria!?
 
Wewe hujui ishu yenyewe. ishu wala siyo magufuli kujali. na asipojali ndio vizuri zaidi kwa upinzani. lakini pia si kweli kwamba hajali. angekuwa hajali, usingeona kiwewe cha kufungia magazeti na kuisakama mitandao. usingeona kiherehere cha kujibu kauli za Tundu Lissu - ila walikiri kwamba Bombadia imekamatwa na kwamba tuna kesi, ila wakajaribu kubadilisha hoja kwamba Tundu Lissu ndio msaliti. Magu anajali sana na ndio maana utaona majibizano kutoka ofisi ya Bunge, mawaziri, na idara ya habari maelezo.

Sasa ishu yenyewe. ishu ni kwamba wapinzani wanatumia mahakama ya wananchi. mikutano na maandamano imepigwa marufuku, lakini kila uchao wapinzani wanawasilisha hoja kwa mwajiri mkuu wa Magufuli: WANANCHI. Hao ndio wanaolengwa. na kama enzi za JK upinzani ulifanikisha kufikisha hoja zake kwa wananchi na wakajibu mapigo katika sanduku la kura, matokeo yake halmashauri nyingi sasa ziko chini ya UKAWA, basi endelea kusikilizia safari hii 2020. maana kwa hali ya uchumi ilivyo, kwa maumivu makali wananchi wanayopata kwa bomoabomoa na kero nyingine nyingi za utawala huu, utajua ni nini hasa wananchi wanafikiria kuhusu utawala huu. ujumbe unatumwa kwa wananchi na unafika haswaa.

Magu ajali, asijali, hiyo ni shauri yake mwenyewe. atajiju. 2020 watu wa Bukoba akienda kupiga kampeni watamuuliza pesa yao ya matetemeko iko wapi? kimara watamuuliza nyumba zetu ulizobomoa ziko wapi? vijijini watamwuliza tulipokuwa na njaa ulitusimanga, rudi ikulu ukale hayo mahindi mwenyewe. mitaani watamuuliza hivi kwa nini unatukejeli kwamba ulishusha bei ya sukari kutoka 6,000? wakati ni wewe ndio uliipandisha?
 
mshana jr then if that is so,i would rather advice the Opps wing to stick to their ajendas,and work hard to make sure they bear fruits first before hopping to other irrelevant ajendas.
Bro you are lost even the ruling party is in the opossition`s agenda. Kuitetea ccm ni shida km kumsafisha shetani. UNAAMINI AMRI YA KWANZA YA MUSA na AMRI YA KWANZA YA CCM NA WAJAMAA.Usilitaje bure jina la mwenyekiti.
 
Nicholas let them shout for the public to hear.

But they should not forget to stick their own made agendas.

Those are what made them the people they are today.

Hopping from one agenda to another wont add an ounce to their credibility to the public.
 
Una hoja ya msingi boss.
 
GreenCity how?through political rallies in their constituencies.

When?anytime,anywhere,everywhere...

Where?in the mass media,out there,or here on online platforms!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…