yenyewe
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 621
- 94
Wajameni salamaa?
Ndugu zangu kuna suala limekuwa likinitatiza kidogo.
Tuchukulie mfano umepata mtu ukampenda. Baada ya kuchunguza ukakuta anandugu watatu (dada wawili na kaka mmoja).
Dada yake wa kwanza aliolewa na akaachika baada ya kupata mtoto mmoja, na dada ake wa pili ajaolewa ila tayari ana mtoto. Kaka ake kazaa na waschana wawili na bado hajaoa.
Sasa ungekuwa ni wewe mwana JF mwenzangu huyu mwanamke kutoka kwenye hii familia ungekuwa tayari kumuoa? Pia tuelezane nafasi ya family background katika kuchagua mwenzi wa maisha.