Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,961
- 80,194
Karibu pai
Karibu pai
Idadi inamatter somtymsSeriously!!! Ukikuta seal imetolewa si unajua tu kua kuna alio/walio kutangulia!!!! Idadi ya nini sasa!
Too bad hakuna kiruka njia atakaetoa idadi kamili...Idadi inamatter somtyms
Sio unaoa mke ukienda buchan jamaa kala
Ukienda gengen mwenye genge kala
Ukienda vijiwen ndo usiseme
Mke anamaex sabini
Kila utakapopita wanakuchora2
Kuna na mwanamke alio na maex wengi ni virahisi sana kwa huyo mwanamke kucheat na ni virahisi kwake kuachana maana she has a larger room of comparisonDoes it make her less of a wife?
We unadhani toka uchangudoa umeanza hadi leo wale wauzaji hawajaolewa? Wengi tunaweza kua products za hao wanawake bila kujua lakini wapo wamedumu kwenye ndoa hadi leo.
Hapo sasaa!!!Kuna na mwanamke alio na maex wengi ni virahisi sana kwa huyo mwanamke kucheat na ni virahisi kwake kuachana maana she has a larger room of comparison
Na lazima kuna kati ya hao aliowapenda zaid
Swali ni je??? Kati ya aliowapenda sana ni wewe au kaja kisa ndoa???
WrongWhat are you trying to say?
It's constant that it makes her less of a wife, unaweza kuwa na a someone mwenye a body count of 2 na bado awe hajatulia.
The topic here is the fact you know that a certain number of guys have slept with her.
Jamaa kasema kuna kifaaToo bad hakuna kiruka njia atakaetoa idadi kamili...
Inaonesha ushalala na wanaume wengi tuToo bad hakuna kiruka njia atakaetoa idadi kamili...
Frankly speaking ni 8... Kwangu naiona ni kubwaaa sanaInaonesha ushalala na wanaume wengi tu
Hahaha mbna hii namba haiendani na ile ya thread ya umewahi kulala na wapenzi wangapFrankly speaking ni 8... Kwangu naiona ni kubwaaa sana
Ile ilisema kukalua uchi!!! Kwani lazima nilielala nae niwe uchi?Hahaha mbna hii namba haiendani na ile ya thread ya umewahi kulala na wapenzi wangap
Don' bother...
Na wale wawili ukaelezea kuwa hukuvua nguo bali kusogeza chupiIle ilisema kukalua uchi!!! Kwani lazima nilielala nae niwe uchi?
Hahahaha ila good we ushakuwa mzoefu
Hicho kifaa kikiweza kupima na wanaume, mbona itakuwa hatari?!!
hatareee.....