he jamaaan mweeeeeeeeeee!!!!!!Darling.....Wanikatisha tamaa Mama KUBWA inamaana we Dig Dig hunifai kumbe bore mi nirudi kwa Big tu.... Nimuombe yaishe nirudi kwake
PJ.... muulize GY kuhusu MAGAZIJUTO au BODMAS atakueleza vizuri jinsi ya kukalkuleti hiyo mambo....
Tulia mama usijali una wivu na wewe, taratibu mimi ni wako tu sitakugeuzia kibao
IVI AO WOOOOOOOTE WALIOZNGATIA UMRI NDOA ZAO ZNA FURAHA???
NA WOTE WALIOVUNJA SHERIA ZA AGE NDOA ZAO ZNA MATATIZO??????????
thk thk thk!!!!!
mwenye upendo achagui,haon ,abagui,upendo hauna macho wala hauna kipimo chochote
byeeeeeeeeeee
tatizo la kunywa mi-budweisser hili, sielewi hata hii sredi ianhusu nini
umri? maini hayazeeki na huyo mchungaji naye sijamuelewa, kuna watoto wana miaka 22 lakini wamezeeka mbaya na pia mwanamke akiwa hajipendi anazeeka sana. umri wa mwanamke unaweza kuonekana mdogo zaidi if a woman observes good healthy living na kujali balance ya mwili kwenye mafuta na hormones
tukija kwa wanaume pia, if we dont take care of our bodies, tunazeeka na kuwa deformed
i think age may be relative if we dont live healthy
na haya ya kutembea pamoja ni hulka tu....
AGE MATTERS BUT NOT THE ONLY FACTOR
tatizo la kunywa mi-budweisser hili, sielewi hata hii sredi ianhusu nini
i think age may be relative if we dont live healthy
AGE MATTERS BUT NOT THE ONLY FACTOR
IVI AO WOOOOOOOTE WALIOZNGATIA UMRI NDOA ZAO ZNA FURAHA???
NA WOTE WALIOVUNJA SHERIA ZA AGE NDOA ZAO ZNA MATATIZO??????????
thk thk thk!!!!!
mwenye upendo achagui,haon ,abagui,upendo hauna macho wala hauna kipimo chochote
byeeeeeeeeeee
ondoka na hii hapa signature
A diplomat is a man who always remembers a woman's birthday but never remembers her age. Robert Frost
Byeeee mamie tukutane Kwa Idd kalabashi......kwa ajili ya mambo yetu ya body language..
Are u coming for Edd? Nina korosho zako njoo uje kuongeza kipimo cha hiyo kitu unayorelease
Unaweza kukuta ana release lami au vumbi
age matters alot,but only if there is true love inside
Mi hapa sijaelewa?:thinking:
D itabidi nijaribu nione kama anarelease vumbi au (RULE NO. 3) Applies
Mi hapa sijaelewa?:thinking:
YOU HAVE BEEN WARNED, Hatokaa aione biolojia yake
Mmmmhhhh!!!!!!!!!! hiyo kali