Does age matter?

Age difference might not matter at a certain age but it will reach a time where it will matter. Mfano ni kama a couple, mmoja awe 20 na mwingine awe 40. At the time inaweza ishiwe ishue sana but fast forward until one is 40 and the other is 60. The reality is age difference ina takiwa isiwe kubwa sana. Preferably don't involve yourself with any one who is a generation younger/older than you.
 
Last edited:
hahahahaha nyamayao eti mambo babake lol yaani wewe utakuwa umezaliwa ocean road umekulia kariakoo yaani mtoto wa mjini lol

hata mie huwa sielewegi kabisa masuala ya kuamkiana loo sasa hapo ni mume mdogo anatakiwa amwamkie mama (pamoja na kuwa anweza akawa anamliza kama mtoto mdogo nyakati flani afu asubuhi shikamoo wife lol Kwa kweli it doesnt come come

mie cwezi kabisa, hata angekuwa mkubwaje kweli nicngemuamkia shikamoo....
 
Mbele ya upendo/mapenzi age does not matter at all! Hapo yote yanagota. Hakuna cha umri wala rangi wala kabila wala lugha wala tofauti ya vipato wala nini! Namkumbuka sana mwanamziki Samba mapangala aliyeimba wimbo wa kusifia mapendo kwamba hayana ubaguzi. Na hakika! Yote mengine yanajua kubagua lakini si mapenzi. Kumbe mi namshauri jamaa a-charge tu kumchukua mtoto.

Tena huyo wa umri mkubwa kidogo atamtunza vizuri. Wakubwa wanajua kulea vilivyo. Cha maana ampende kwa pendo la dhati na kumheshimu.
 
kinachomata ni mapenzi jamani ,mnaweza mkaoana mmepishana napo matatizo tu ,mie nadhani kila shetani na mbuyu wake
 
4 years haina shida. The only thing ni mwanamke anapofika menopause, mwanaume ataanza kutafuta nyumba dogo. Hiyo ndo sababu niliyoiona ya wanaume kuoa wanawake wenye umri mdogo zaidi.
 
Mbele ya upendo/mapenzi age does not matter at all! Hapo yote yanagota. Hakuna cha umri wala rangi wala kabila wala lugha wala tofauti ya vipato wala nini! Namkumbuka sana mwanamziki Samba mapangala aliyeimba wimbo wa kusifia mapendo kwamba hayana ubaguzi. Na hakika! Yote mengine yanajua kubagua lakini si mapenzi. Kumbe mi namshauri jamaa a-charge tu kumchukua mtoto.

Tena huyo wa umri mkubwa kidogo atamtunza vizuri. Wakubwa wanajua kulea vilivyo. Cha maana ampende kwa pendo la dhati na kumheshimu.

Inawezekana kabisa unachosema lakini not at all times.Wakati honeymoon imeisha na mnaanza kutafutana makosa, basi mwanamke uliyemzidi mumeo umri ujiandae kwa masimango, kejeli na kebehi.Kama ni wapenzi wa muda, inawezekana kabisa umri usiwe ishu.
 
Formula ya mke wa kuoa

Umri wako gawanya kwa mbili ongeza saba. Umri utakaopata ndo umri mke wako anatakiwa kuwa nao.

Mfano una 30 gawa kwa mbili unapata 15 then ongeza saba unapata 22!

Thats the proper age.

Masanja,
 
Last edited:
Formula ya mke wa kuoa

Umri wako gawanya kwa mbili ongeza saba. Umri utakaopata ndo umri mke wako anatakiwa kuwa nao.

Mfano una 30 gawa kwa mbili unapata 15 then ongeza saba unapata 23!

Thats the proper age.

Masanja,

duh...hadi marriage ina formula!! Umeitoa wapi hii mh? Ungetupa source tupime ukweli wake.
halafu 15+7 = 22 sio 23
 
Age dont realy matter in a relation that is based on true love .But to others who are still looking on the cover of the book before they actualy buy it ,they will ask ,why buy a used car while there plenty of cars on the showeroom.REMEMBER NOT ALL THAT GLITTER IS GOLD.MARRY WHOEVER YOU LOVE AND DONT LET AGE DETER YOUR AMBITIONS.
 
4 years haina shida. The only thing ni mwanamke anapofika menopause, mwanaume ataanza kutafuta nyumba dogo. Hiyo ndo sababu niliyoiona ya wanaume kuoa wanawake wenye umri mdogo zaidi.

Mkuu mimi siyo mwana mahesabu bana..ila umenielewa..

Sources?? mkuu hivi ni vitu amabvyo hatufundishwi shuleni ila tulikuwa tunapewa nondo na babu zetu wakati tunakunywa pombe za kienyeji.....

In all its just utani bana..kwani upendo wa mtu na mtu nadhani ni vitu vingi mtu unavifikiria...siyo umri tuu..unaweza oa mume/mke anayekuzidi umri as long as mnapendana na umemkubali...

Ila kwangu naomba niwe mkweli..sitaki kuwa mnafiki kusema ambacho najua kwenye moyo wangu siwezi kukitimiza. Kwangu mimi Umri ni consideration muhimu. Nitapenda (kama ikiwezekana) kuoa dada ninayemzidi atleast 4-5 years. Ni maamuzi yangu na naamini wengine nao wana maamuzi yao.
 
Formula ya mke wa kuoa

Umri wako gawanya kwa mbili ongeza saba. Umri utakaopata ndo umri mke wako anatakiwa kuwa nao.

Mfano una 30 gawa kwa mbili unapata 15 then ongeza saba unapata 22!

Thats the proper age.

Masanja,
mtu wangu hii formula yako imetulia si kawaida.You are a real mathemathician
 
Formula ya mke wa kuoa

Umri wako gawanya kwa mbili ongeza saba. Umri utakaopata ndo umri mke wako anatakiwa kuwa nao.

Mfano una 30 gawa kwa mbili unapata 15 then ongeza saba unapata 22!

Thats the proper age.

Masanja,

Masanja uko sahihi kabisa,
Sijuhi zaidi kuhusu formula yako,lakini katika maisha ya kawaida...wanawake wanazeeka haraka zaidi kulinganisa na wanaume....Wazee wa zamani walipokuwa wakifikisha 50's,wanaoa vibinti ili,kwanza aendelee kupata fleva ya kungonoa,lakini pia yeye na kibibi chake wapate wa kuwahudumia.

Therefore age matters....Mwanamme awe na umri mkubwa kidogo kuliko mama...itapendeza zaidi.
 
Tuangalie na upande mwingine wa shilingi. Wanaume wanaooa wanawake wadogo sana kuliko wao, wengi wanakufa kabla ya wake zao hasa kama kifo ni cha uzee. Nazungumza hivi kutokana na experience. Kumbe unakuta wanawake wengi wajane katika nyumba zao. Wanawake wanazeeka haraka (sura ya nje/urembo) lakini wanaishi miaka mingi kuliko wanaume wao.
 
God is great and awesome to bring two people together in His perfect time and season. God has His own reasons in putting two people together, whether they are not of the same age. What matters is that you know that it is God's will for you to pursue the relationship God has entrusted on you. And if you are growing in the relationship, then why not? Trust the Lord for His wisdom & heart & you will never go wrong. Below is a testimony -

please read:

"My husband and I are twenty years apart in age (he is older than I am) and while we have had a few people treat us differently or make offhand comments the age difference has not been an issue. We have been married for five years now and we have a four year old son together. I always tell people that ask that they should marry the person they are in love with even if they have an age difference; why miss out on a wonderful life together just because of an age difference right? "
Left by bravokardia on Apr 24, 2009 12:22 PM
NNapenda tu kuongeza kuwa kuna watu wameumbwa na Mungu tofauti sana - unaweza kuona binti wa 20 yers amezeeka utadhani yuko 40 na unaweza kuona mwanamke 40 years anaoneka kama yuko 20 - sometimes ni udongo mzuri alio nao mtu na sometimes ni lifestyle - mwili ukiuchosha na pombe, sigara, kujirusha too much - utazeeka mapema - whether mwanaume au mwanamke - so WHEN YOU CHOOSE A LIFEPARTNER, CHOOSE WISELY AND IN GODS WILL.
I SUBMIT.
 
A female colleague of mine wants to marry a guy 4 years younger than her. I was tying to figure out: Can it Work?

Why not Mkuu??, It does work indeed.,Dont you know that there is a phrase says "AGE AINT NUTTING BUT A NUMBER" That kind of relation might be practise regardless those two spouses show respect,careness and much love!.Nawakilisha mkuu.
 
Formula ya mke wa kuoa

Umri wako gawanya kwa mbili ongeza saba. Umri utakaopata ndo umri mke wako anatakiwa kuwa nao.

Mfano una 30 gawa kwa mbili unapata 15 then ongeza saba unapata 22!

Thats the proper age.

Masanja,

Mkuu kume unaikumbuka...bado?Toka nimeiweka.
Regards
 
Ohoo, hii mada ni nzuri sana imenivutia, nilitegemea ningesoma mitazamo yenye hoja ila bado sijona mdau ambaye ametoa facts zenye nguvu ya kutetea upande wowote. Nlidhani labda kuna mdau angeweza kutetea upande mmoja mfano kama age doesnt matter angekuja na sababu ambazo zinafanya isiwe ni ishu ya kujali kuanzia kibaiolojia, kisaikolijia inakuwa vipi, kimaumbile pia na kiafya kwa ujumla mfano ki-uzazi, genetically etc Na kama it matters angetueleza ni kwa namna gani labda ikiwa mnapishana sana kuna kuwa na mapungufu yapi katika nyanja tofautitofuati kama niilivoziainisha hapo juu.
Kuna wakati nilipokuwa nasoma O level, mwalimu wa biolojia alitoa mada kuwa genetically mwanamke ni strong kuliko mwanaume, na uzeeni mwanamume anawahi zaidi kuchoka kuliko mwanaume. Sijui kuna mdau anayeweza kusaidia katika hili kama lina ukweli? na kam lina ukweli ni kwa namna gani?
 
Back
Top Bottom