Dodoma: Waziri wa nchi ofisi ya Rais (Tamisemi) Mh Jafo azindua kampeni ya Mkoa wetu viwanda vyetu

Amavubi

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Messages
30,042
Likes
5,214
Points
280
Amavubi

Amavubi

JF-Expert Member
Joined Dec 9, 2010
30,042 5,214 280
JAFO AZINDUA KAMPENI YA MKOA WETU VIWANDA VYETU

Na Beatrice Lyimo-MAELEZO, DODOMA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (TAMISEMI) Mhe. Seleman Jafo amezindua kampeni ya “Mkoa wetu, Viwanda vyetu” yenye lengo la kuanzisha viwanda 100 katika kila Mkoa nchini, leo Mjini Dodoma.

Akizungumza katika uzinduzi huo Mhe. Jafo amesema kuwa ni jambo lililowazi kuwa ili nchi iweze kuendelea inahitaji kufanya mapinduzi makubwa katika viwanda.

issamichuzi.blogspot.com

“Historia ya Viwanda siyo ngeni katika nchi yetu, tangu tupate Uhuru mwaka 1961 Serikali imekuwa ikilenga katika kujenga Uchumi kupitia Viwanda ambapo tokea wakati huo viwanda vingi vidogo vya kati na vikubwa vilianzishwa na kusimamiwa huku sehemu kubwa ya viwanda hivyo vikisimamiwa na Serikali” ameeleza Mhe. Jafo.

Aidha amesema kuwa ili azma hiyo iweze kufikiwa TAMISEMI itashirikiana na Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji katika kuweka mazingira wezeshi pamoja na kutoa mwongozo wa namna ya kushirikisha Tasisi za Serikali na Sekta Binafsi na wadau wa maendeleo katika kuanzisha, kuendesha na kusimamia Viwanda ili kuikuza sekta hiyo nchini.

“TAMISEMI kupitia Mikoa na Halmashauri imedhamiria kutekeleza kwa vitendo azma ya Serikali ya Awamu ya Tano ya kujenga Uchumi wa Viwanda, hivyo kila Mkoa uanishe Viwanda vya vipaumbele kwa kuzingatia Malighafi muhimu za Viwanda zinazopatikana kwenye maeneo yao pamoja na mahitaji muhimu ya soko” amefafanua Mhe. Jafo.

Waziri wa nchi ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Seleman Jafo akizindua Mwongozo wa Kampeni ya uanzishwaji wa Viwanda kwa kila Mkoa hapa nchini ili kuendana na dhana ya Serikali ya Awamu ya Tano inayosisistiza ujenzi wa uchumi wa viwanda.

Waziri wa nchi ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Seleman Jafo akionesha moja ya viatu vinavyozalishwa hapa nchini katika Viwanda vidogo na vya Kati wakati akikagua mabanda ya wajasiriamali wanaozalisha bidhaa mbalimbali zikiwemo za ngozi mara baada ya kuzindua kampeni yenye kauli Mbiu ya “Mkoa Wetu Viwanda vyetu” ili kuhamasisha ujenzi wa Viwanda katika Mikoa yote nchini.

Waziri wa nchi ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Selemani Jafo (katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Wakuu wa Mikoa(kushoto), kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama walioshiriki katika Uzinduzi wa Kampeni ya ujenzi wa Viwanda vidogo na vya kati katika kila Mkoa.
 
Amavubi

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Messages
30,042
Likes
5,214
Points
280
Amavubi

Amavubi

JF-Expert Member
Joined Dec 9, 2010
30,042 5,214 280
Kuna mambo mengine hutakiwi hata kujishughulisha nayo
Sasa viwanda 100 kilamkoa kwa watu kama kina gambo kweli?
natafakari hata kama need assessment imefanyika, maana kwa haraka ukisema mkoa wa Geita uwe na viwanda sawa na mkoa wa Morogoro ama Mbeya ama Mwanza etc
 
C

chinembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Messages
4,266
Likes
4,046
Points
280
C

chinembe

JF-Expert Member
Joined May 16, 2015
4,266 4,046 280
hivi viwanda vinajengwa kwa kutumia kampeni kama zile kampeni za kuhamasisha kuvaa kondomu?

tunajua sababu zinazosababisha viwanda kujengwa au kushamiri katika nchi fulani?

unajenga viwanda kwa kampeni? financing ya mabenki ikoje?

mbona hatugusi masuala ya msingi katika kuimarisha au kuvutia viwanda?lets be scientic tuache upopoma
 
DuppyConqueror

DuppyConqueror

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2014
Messages
9,156
Likes
4,414
Points
280
DuppyConqueror

DuppyConqueror

JF-Expert Member
Joined Mar 30, 2014
9,156 4,414 280
Viongozi angalieni hili!! Kupata certificate ya NEMC unapaswa ulipie fee ya 10million!!!! Kwa local wajasiliamali wenye nia ya kufungua viwanda vidogo watatoa wapi hizi pesa???????? Tuwe serious aisee vitu vingine vinakatisha tamaa
 
kisu cha ngariba

kisu cha ngariba

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2016
Messages
22,195
Likes
47,977
Points
280
kisu cha ngariba

kisu cha ngariba

JF-Expert Member
Joined Jun 21, 2016
22,195 47,977 280
JAFO AZINDUA KAMPENI YA MKOA WETU VIWANDA VYETU

Na Beatrice Lyimo-MAELEZO, DODOMA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (TAMISEMI) Mhe. Seleman Jafo amezindua kampeni ya “Mkoa wetu, Viwanda vyetu” yenye lengo la kuanzisha viwanda 100 katika kila Mkoa nchini, leo Mjini Dodoma.

Akizungumza katika uzinduzi huo Mhe. Jafo amesema kuwa ni jambo lililowazi kuwa ili nchi iweze kuendelea inahitaji kufanya mapinduzi makubwa katika viwanda.

issamichuzi.blogspot.com

“Historia ya Viwanda siyo ngeni katika nchi yetu, tangu tupate Uhuru mwaka 1961 Serikali imekuwa ikilenga katika kujenga Uchumi kupitia Viwanda ambapo tokea wakati huo viwanda vingi vidogo vya kati na vikubwa vilianzishwa na kusimamiwa huku sehemu kubwa ya viwanda hivyo vikisimamiwa na Serikali” ameeleza Mhe. Jafo.
Aidha amesema kuwa ili azma hiyo iweze kufikiwa TAMISEMI itashirikiana na Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji katika kuweka mazingira wezeshi pamoja na kutoa mwongozo wa namna ya kushirikisha Tasisi za Serikali na Sekta Binafsi na wadau wa maendeleo katika kuanzisha, kuendesha na kusimamia Viwanda ili kuikuza sekta hiyo nchini.
“TAMISEMI kupitia Mikoa na Halmashauri imedhamiria kutekeleza kwa vitendo azma ya Serikali ya Awamu ya Tano ya kujenga Uchumi wa Viwanda, hivyo kila Mkoa uanishe Viwanda vya vipaumbele kwa kuzingatia Malighafi muhimu za Viwanda zinazopatikana kwenye maeneo yao pamoja na mahitaji muhimu ya soko” amefafanua Mhe. Jafo.
Waziri wa nchi ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Seleman Jafo akizindua Mwongozo wa Kampeni ya uanzishwaji wa Viwanda kwa kila Mkoa hapa nchini ili kuendana na dhana ya Serikali ya Awamu ya Tano inayosisistiza ujenzi wa uchumi wa viwanda.Waziri wa nchi ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Seleman Jafo akionesha moja ya viatu vinavyozalishwa hapa nchini katika Viwanda vidogo na vya Kati wakati akikagua mabanda ya wajasiriamali wanaozalisha bidhaa mbalimbali zikiwemo za ngozi mara baada ya kuzindua kampeni yenye kauli Mbiu ya “Mkoa Wetu Viwanda vyetu” ili kuhamasisha ujenzi wa Viwanda katika Mikoa yote nchini.Waziri wa nchi ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Selemani Jafo (katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Wakuu wa Mikoa(kushoto), kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama walioshiriki katika Uzinduzi wa Kampeni ya ujenzi wa Viwanda vidogo na vya kati katika kila Mkoa.
Uyu nae ni waziri analipwa kwa kodi z wavuja jasho, hii kampeni haina tofauti na kampeni ya kunawa mikono baada ya kutoka msalani.
 
H

havanna

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2016
Messages
1,418
Likes
1,103
Points
280
Age
48
H

havanna

JF-Expert Member
Joined Sep 17, 2016
1,418 1,103 280
Unapoanzisha kiwanda vitu muhimu vya kuzingatia ni kama mtaji, upatikanaji Wa umeme utakaotumika kuendeshea mitambo lakini wanasiasa hawalielewi kazi kutafuta umaarufu tu, Mali ghafi ziwepo hapa napo shida kiwanda ili kianzishwe lazima kilimo kitiliwe mkazo, soko la ndani na nje, je tunaweza shindana na soko la nje?

Kama ndio kwa mipango IPI? Wafanyakazi Wa aina zote, wanaotumia nguvu, wenye ujuzi Wa kati na wenye weredi/ professionalism. Kwanini wanasiasa kila siku wanatuambia mambo yasiyotekelezeka?

Ni busara sana nchi ingekuwa na dira ambayo inamtaka kiongozi afanye mambo yaliyopo kwenye dira au mwongozo, kuliko kila kiongozi kuja na mfumo wake mfano kilimo kwanza au serikali ya viwanda bila kufanya tafiti za kina
 
W

Wajad

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2012
Messages
1,327
Likes
418
Points
180
W

Wajad

JF-Expert Member
Joined Jul 20, 2012
1,327 418 180
Kuna kijana hapa nje ya nyumba yangu ana kiwanda cha kuripea viatu na kupiga kiwi
 
Isanga family

Isanga family

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2015
Messages
6,075
Likes
5,797
Points
280
Isanga family

Isanga family

JF-Expert Member
Joined Feb 25, 2015
6,075 5,797 280
Mnazungumzia kujenga viwanda huku vibali tuu kuvipata njia ndeefu,machine zenyewe zinaingia kwa kodi kubwa acheni siasa kwenye mambo ya msingi...
 
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Messages
80,436
Likes
117,316
Points
280
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2007
80,436 117,316 280
Kampeni ya upuuzi wetu, uongo wetu na ujinga wetu kuhusu Tanzania ya viwonder ndani ya Serikali ya waongo.

JAFO AZINDUA KAMPENI YA MKOA WETU VIWANDA VYETU

Na Beatrice Lyimo-MAELEZO, DODOMA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (TAMISEMI) Mhe. Seleman Jafo amezindua kampeni ya “Mkoa wetu, Viwanda vyetu” yenye lengo la kuanzisha viwanda 100 katika kila Mkoa nchini, leo Mjini Dodoma.

Akizungumza katika uzinduzi huo Mhe. Jafo amesema kuwa ni jambo lililowazi kuwa ili nchi iweze kuendelea inahitaji kufanya mapinduzi makubwa katika viwanda.

issamichuzi.blogspot.com

“Historia ya Viwanda siyo ngeni katika nchi yetu, tangu tupate Uhuru mwaka 1961 Serikali imekuwa ikilenga katika kujenga Uchumi kupitia Viwanda ambapo tokea wakati huo viwanda vingi vidogo vya kati na vikubwa vilianzishwa na kusimamiwa huku sehemu kubwa ya viwanda hivyo vikisimamiwa na Serikali” ameeleza Mhe. Jafo.
Aidha amesema kuwa ili azma hiyo iweze kufikiwa TAMISEMI itashirikiana na Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji katika kuweka mazingira wezeshi pamoja na kutoa mwongozo wa namna ya kushirikisha Tasisi za Serikali na Sekta Binafsi na wadau wa maendeleo katika kuanzisha, kuendesha na kusimamia Viwanda ili kuikuza sekta hiyo nchini.
“TAMISEMI kupitia Mikoa na Halmashauri imedhamiria kutekeleza kwa vitendo azma ya Serikali ya Awamu ya Tano ya kujenga Uchumi wa Viwanda, hivyo kila Mkoa uanishe Viwanda vya vipaumbele kwa kuzingatia Malighafi muhimu za Viwanda zinazopatikana kwenye maeneo yao pamoja na mahitaji muhimu ya soko” amefafanua Mhe. Jafo.
Waziri wa nchi ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Seleman Jafo akizindua Mwongozo wa Kampeni ya uanzishwaji wa Viwanda kwa kila Mkoa hapa nchini ili kuendana na dhana ya Serikali ya Awamu ya Tano inayosisistiza ujenzi wa uchumi wa viwanda.Waziri wa nchi ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Seleman Jafo akionesha moja ya viatu vinavyozalishwa hapa nchini katika Viwanda vidogo na vya Kati wakati akikagua mabanda ya wajasiriamali wanaozalisha bidhaa mbalimbali zikiwemo za ngozi mara baada ya kuzindua kampeni yenye kauli Mbiu ya “Mkoa Wetu Viwanda vyetu” ili kuhamasisha ujenzi wa Viwanda katika Mikoa yote nchini.Waziri wa nchi ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Selemani Jafo (katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Wakuu wa Mikoa(kushoto), kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama walioshiriki katika Uzinduzi wa Kampeni ya ujenzi wa Viwanda vidogo na vya kati katika kila Mkoa.
 
marxlups

marxlups

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Messages
10,010
Likes
4,470
Points
280
marxlups

marxlups

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2011
10,010 4,470 280
Too many words, nguvu na muda wanayotumia kupanga maneno na kuongea vingetumika kutenda tungekuwa mbali
 
kweleakwelea

kweleakwelea

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2010
Messages
2,559
Likes
545
Points
280
kweleakwelea

kweleakwelea

JF-Expert Member
Joined Nov 29, 2010
2,559 545 280
Private sector is thw engine..enabling business and fiendly business environment is necessary. We are two years late down the lane. But never too late. By the way..somewhere between tax
Economy and production economy?
 
brazoo

brazoo

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2014
Messages
708
Likes
467
Points
80
brazoo

brazoo

JF-Expert Member
Joined Sep 28, 2014
708 467 80
hivi viwanda vinajengwa kwa kutumia kampeni kama zile kampeni za kuhamasisha kuvaa kondomu?

tunajua sababu zinazosababisha viwanda kujengwa au kushamiri katika nchi fulani?

unajenga viwanda kwa kampeni? financing ya mabenki ikoje?

mbona hatugusi masuala ya msingi katika kuimarisha au kuvutia viwanda?lets be scientic tuache upopoma
Mkoa hautajenga viwanda ila utaweka mazingira wezeshi kwaajili ya wawekezaji kuvijenga
 
Laface77

Laface77

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2008
Messages
1,498
Likes
1,639
Points
280
Laface77

Laface77

JF-Expert Member
Joined Jul 9, 2008
1,498 1,639 280
Sasa naanza kuamini ile kauli ya mheshimiwa Zitto Kabwe aliposema "Tumekabidhi nchi kwa washamba"!
 
Bams

Bams

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2010
Messages
5,027
Likes
5,898
Points
280
Bams

Bams

JF-Expert Member
Joined Oct 19, 2010
5,027 5,898 280
Matamanio ni tofauti sana na mipango. Tangu tuanze hiyo kampeni, viwanda vingapi vimejengwa? Mwanza wamerudia kufungua viwanda vilivyofunguliwa wakati wa JK ili tu kuwadanganya wajinga kuna viwanda vipya.

Hakuna mwekezaji makini anayeweza kujenga kiwanda (kwa tafsiri ya kiwanda siyo vyerahani) mahali ambapo kuna sera za kuua uchumi.
 
K

kabombe

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2011
Messages
19,236
Likes
11,547
Points
280
K

kabombe

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2011
19,236 11,547 280
Kuna mambo mengine hutakiwi hata kujishughulisha nayo
Sasa viwanda 100 kilamkoa kwa watu kama kina gambo kweli?
Ukizoea kupinga mwisho utapinga hata uwepo wako duniani.
 
D

DON

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2008
Messages
841
Likes
454
Points
80
D

DON

JF-Expert Member
Joined May 6, 2008
841 454 80
Unapoanzisha kiwanda vitu muhimu vya kuzingatia ni kama mtaji, upatikanaji Wa umeme utakaotumika kuendeshea mitambo lakini wanasiasa hawalielewi kazi kutafuta umaarufu tu, Mali ghafi ziwepo hapa napo shida kiwanda ili kianzishwe lazima kilimo kitiliwe mkazo, soko LA ndani na nje, je tunaweza shindana na soko LA nje? kama ndio kwa mipango IPI? Wafanyakazi Wa aina zote, wanaotumia nguvu, wenye ujuzi Wa kati na wenye weredi/ professionalism. Kwanini wanasiasa kila siku wanatuambia mambo yasiyotekelezeka? Ni busara sana nchi ingekuwa na dira ambayo inamtaka kiongozi afanye mambo yaliyopo kwenye dira au mwongozo, kuliko kila kiongozi kuja na mfumo wake mfano kilimo kwanza au serikali ya viwanda bila kufanya tafiti za kina
Huo ndio ukweli tuwe na dira na mipango kwanza tusifanye siasa
 
Bavaria

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Messages
44,914
Likes
12,854
Points
280
Bavaria

Bavaria

JF-Expert Member
Joined Jun 14, 2011
44,914 12,854 280
Akili za viongozi wa Tanzania zinatia kinyaa.
 
Forum statistics

Threads 1,235,535
Members 474,641
Posts 29,225,931