Dodoma: Waziri wa nchi ofisi ya Rais (Tamisemi) Mh Jafo azindua kampeni ya Mkoa wetu viwanda vyetu

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,140
13,215
JAFO AZINDUA KAMPENI YA MKOA WETU VIWANDA VYETU

Na Beatrice Lyimo-MAELEZO, DODOMA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (TAMISEMI) Mhe. Seleman Jafo amezindua kampeni ya “Mkoa wetu, Viwanda vyetu” yenye lengo la kuanzisha viwanda 100 katika kila Mkoa nchini, leo Mjini Dodoma.

Akizungumza katika uzinduzi huo Mhe. Jafo amesema kuwa ni jambo lililowazi kuwa ili nchi iweze kuendelea inahitaji kufanya mapinduzi makubwa katika viwanda.

issamichuzi.blogspot.com

“Historia ya Viwanda siyo ngeni katika nchi yetu, tangu tupate Uhuru mwaka 1961 Serikali imekuwa ikilenga katika kujenga Uchumi kupitia Viwanda ambapo tokea wakati huo viwanda vingi vidogo vya kati na vikubwa vilianzishwa na kusimamiwa huku sehemu kubwa ya viwanda hivyo vikisimamiwa na Serikali” ameeleza Mhe. Jafo.

Aidha amesema kuwa ili azma hiyo iweze kufikiwa TAMISEMI itashirikiana na Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji katika kuweka mazingira wezeshi pamoja na kutoa mwongozo wa namna ya kushirikisha Tasisi za Serikali na Sekta Binafsi na wadau wa maendeleo katika kuanzisha, kuendesha na kusimamia Viwanda ili kuikuza sekta hiyo nchini.

“TAMISEMI kupitia Mikoa na Halmashauri imedhamiria kutekeleza kwa vitendo azma ya Serikali ya Awamu ya Tano ya kujenga Uchumi wa Viwanda, hivyo kila Mkoa uanishe Viwanda vya vipaumbele kwa kuzingatia Malighafi muhimu za Viwanda zinazopatikana kwenye maeneo yao pamoja na mahitaji muhimu ya soko” amefafanua Mhe. Jafo.

Waziri wa nchi ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Seleman Jafo akizindua Mwongozo wa Kampeni ya uanzishwaji wa Viwanda kwa kila Mkoa hapa nchini ili kuendana na dhana ya Serikali ya Awamu ya Tano inayosisistiza ujenzi wa uchumi wa viwanda.

Waziri wa nchi ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Seleman Jafo akionesha moja ya viatu vinavyozalishwa hapa nchini katika Viwanda vidogo na vya Kati wakati akikagua mabanda ya wajasiriamali wanaozalisha bidhaa mbalimbali zikiwemo za ngozi mara baada ya kuzindua kampeni yenye kauli Mbiu ya “Mkoa Wetu Viwanda vyetu” ili kuhamasisha ujenzi wa Viwanda katika Mikoa yote nchini.

Waziri wa nchi ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Selemani Jafo (katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Wakuu wa Mikoa(kushoto), kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama walioshiriki katika Uzinduzi wa Kampeni ya ujenzi wa Viwanda vidogo na vya kati katika kila Mkoa.
 
hivi viwanda vinajengwa kwa kutumia kampeni kama zile kampeni za kuhamasisha kuvaa kondomu?

tunajua sababu zinazosababisha viwanda kujengwa au kushamiri katika nchi fulani?

unajenga viwanda kwa kampeni? financing ya mabenki ikoje?

mbona hatugusi masuala ya msingi katika kuimarisha au kuvutia viwanda?lets be scientic tuache upopoma
 
Viongozi angalieni hili!! Kupata certificate ya NEMC unapaswa ulipie fee ya 10million!!!! Kwa local wajasiliamali wenye nia ya kufungua viwanda vidogo watatoa wapi hizi pesa???????? Tuwe serious aisee vitu vingine vinakatisha tamaa
 
Uyu nae ni waziri analipwa kwa kodi z wavuja jasho, hii kampeni haina tofauti na kampeni ya kunawa mikono baada ya kutoka msalani.
 
Unapoanzisha kiwanda vitu muhimu vya kuzingatia ni kama mtaji, upatikanaji Wa umeme utakaotumika kuendeshea mitambo lakini wanasiasa hawalielewi kazi kutafuta umaarufu tu, Mali ghafi ziwepo hapa napo shida kiwanda ili kianzishwe lazima kilimo kitiliwe mkazo, soko la ndani na nje, je tunaweza shindana na soko la nje?

Kama ndio kwa mipango IPI? Wafanyakazi Wa aina zote, wanaotumia nguvu, wenye ujuzi Wa kati na wenye weredi/ professionalism. Kwanini wanasiasa kila siku wanatuambia mambo yasiyotekelezeka?

Ni busara sana nchi ingekuwa na dira ambayo inamtaka kiongozi afanye mambo yaliyopo kwenye dira au mwongozo, kuliko kila kiongozi kuja na mfumo wake mfano kilimo kwanza au serikali ya viwanda bila kufanya tafiti za kina
 
Kuna kijana hapa nje ya nyumba yangu ana kiwanda cha kuripea viatu na kupiga kiwi
 
Kampeni ya upuuzi wetu, uongo wetu na ujinga wetu kuhusu Tanzania ya viwonder ndani ya Serikali ya waongo.

JAFO AZINDUA KAMPENI YA MKOA WETU VIWANDA VYETU

Na Beatrice Lyimo-MAELEZO, DODOMA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (TAMISEMI) Mhe. Seleman Jafo amezindua kampeni ya “Mkoa wetu, Viwanda vyetu” yenye lengo la kuanzisha viwanda 100 katika kila Mkoa nchini, leo Mjini Dodoma.

Akizungumza katika uzinduzi huo Mhe. Jafo amesema kuwa ni jambo lililowazi kuwa ili nchi iweze kuendelea inahitaji kufanya mapinduzi makubwa katika viwanda.

issamichuzi.blogspot.com

“Historia ya Viwanda siyo ngeni katika nchi yetu, tangu tupate Uhuru mwaka 1961 Serikali imekuwa ikilenga katika kujenga Uchumi kupitia Viwanda ambapo tokea wakati huo viwanda vingi vidogo vya kati na vikubwa vilianzishwa na kusimamiwa huku sehemu kubwa ya viwanda hivyo vikisimamiwa na Serikali” ameeleza Mhe. Jafo.

Aidha amesema kuwa ili azma hiyo iweze kufikiwa TAMISEMI itashirikiana na Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji katika kuweka mazingira wezeshi pamoja na kutoa mwongozo wa namna ya kushirikisha Tasisi za Serikali na Sekta Binafsi na wadau wa maendeleo katika kuanzisha, kuendesha na kusimamia Viwanda ili kuikuza sekta hiyo nchini.

“TAMISEMI kupitia Mikoa na Halmashauri imedhamiria kutekeleza kwa vitendo azma ya Serikali ya Awamu ya Tano ya kujenga Uchumi wa Viwanda, hivyo kila Mkoa uanishe Viwanda vya vipaumbele kwa kuzingatia Malighafi muhimu za Viwanda zinazopatikana kwenye maeneo yao pamoja na mahitaji muhimu ya soko” amefafanua Mhe. Jafo.

Waziri wa nchi ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Seleman Jafo akizindua Mwongozo wa Kampeni ya uanzishwaji wa Viwanda kwa kila Mkoa hapa nchini ili kuendana na dhana ya Serikali ya Awamu ya Tano inayosisistiza ujenzi wa uchumi wa viwanda.

Waziri wa nchi ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Seleman Jafo akionesha moja ya viatu vinavyozalishwa hapa nchini katika Viwanda vidogo na vya Kati wakati akikagua mabanda ya wajasiriamali wanaozalisha bidhaa mbalimbali zikiwemo za ngozi mara baada ya kuzindua kampeni yenye kauli Mbiu ya “Mkoa Wetu Viwanda vyetu” ili kuhamasisha ujenzi wa Viwanda katika Mikoa yote nchini.

Waziri wa nchi ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Selemani Jafo (katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Wakuu wa Mikoa(kushoto), kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama walioshiriki katika Uzinduzi wa Kampeni ya ujenzi wa Viwanda vidogo na vya kati katika kila Mkoa.
 
Too many words, nguvu na muda wanayotumia kupanga maneno na kuongea vingetumika kutenda tungekuwa mbali
 
Private sector is thw engine..enabling business and fiendly business environment is necessary. We are two years late down the lane. But never too late. By the way..somewhere between tax
Economy and production economy?
 
hivi viwanda vinajengwa kwa kutumia kampeni kama zile kampeni za kuhamasisha kuvaa kondomu?

tunajua sababu zinazosababisha viwanda kujengwa au kushamiri katika nchi fulani?

unajenga viwanda kwa kampeni? financing ya mabenki ikoje?

mbona hatugusi masuala ya msingi katika kuimarisha au kuvutia viwanda?lets be scientic tuache upopoma
Mkoa hautajenga viwanda ila utaweka mazingira wezeshi kwaajili ya wawekezaji kuvijenga
 
Sasa naanza kuamini ile kauli ya mheshimiwa Zitto Kabwe aliposema "Tumekabidhi nchi kwa washamba"!
 
Matamanio ni tofauti sana na mipango. Tangu tuanze hiyo kampeni, viwanda vingapi vimejengwa? Mwanza wamerudia kufungua viwanda vilivyofunguliwa wakati wa JK ili tu kuwadanganya wajinga kuna viwanda vipya.

Hakuna mwekezaji makini anayeweza kujenga kiwanda (kwa tafsiri ya kiwanda siyo vyerahani) mahali ambapo kuna sera za kuua uchumi.
 
Unapoanzisha kiwanda vitu muhimu vya kuzingatia ni kama mtaji, upatikanaji Wa umeme utakaotumika kuendeshea mitambo lakini wanasiasa hawalielewi kazi kutafuta umaarufu tu, Mali ghafi ziwepo hapa napo shida kiwanda ili kianzishwe lazima kilimo kitiliwe mkazo, soko LA ndani na nje, je tunaweza shindana na soko LA nje? kama ndio kwa mipango IPI? Wafanyakazi Wa aina zote, wanaotumia nguvu, wenye ujuzi Wa kati na wenye weredi/ professionalism. Kwanini wanasiasa kila siku wanatuambia mambo yasiyotekelezeka? Ni busara sana nchi ingekuwa na dira ambayo inamtaka kiongozi afanye mambo yaliyopo kwenye dira au mwongozo, kuliko kila kiongozi kuja na mfumo wake mfano kilimo kwanza au serikali ya viwanda bila kufanya tafiti za kina
Huo ndio ukweli tuwe na dira na mipango kwanza tusifanye siasa
 
Back
Top Bottom