Habari wana JF!
Ninafurahishwa sana na wapiga kura wa mkoa wa Dodoma kwa kuipa CCM ushindi kila chaguzi.
Natamani watu wa Mwanza, Mbeya na Moshi waige mfano huu ili kuharakisha maendeleo katika mikoa yetu hiyo.
CCM bado ndio chama IMARA a.
Kweli kweli hata kile kitengo cha vichaa si kpo dodoma?au?
tombanyoko mrisya
Habari wana JF!
Ninafurahishwa sana na wapiga kura wa mkoa wa Dodoma kwa kuipa CCM ushindi kila chaguzi.
Natamani watu wa Mwanza, Mbeya na Moshi waige mfano huu ili kuharakisha maendeleo katika mikoa yetu hiyo.
CCM bado ndio chama IMARA Tanzania.
Kwa hiyo sasa hivi Dodoma kuna maendeleo...? Utayalinganisha na Moshi, Mbeya na Mwanza,...?
Habari wana JF!
Ninafurahishwa sana na wapiga kura wa mkoa wa Dodoma kwa kuipa CCM ushindi kila chaguzi.
Natamani watu wa Mwanza, Mbeya na Moshi waige mfano huu ili kuharakisha maendeleo katika mikoa yetu hiyo.
CCM bado ndio chama IMARA Tanzania.
Habari wana JF!
Ninafurahishwa sana na wapiga kura wa mkoa wa Dodoma kwa kuipa CCM ushindi kila chaguzi.
Natamani watu wa Mwanza, Mbeya na Moshi waige mfano huu ili kuharakisha maendeleo katika mikoa yetu hiyo.
CCM bado ndio chama IMARA Tanzania.
swali zuri.VITENDO HUZUNGUMZA ZAIDI YA MANENO DODOMA NJAA TUPUKwa hiyo sasa hivi Dodoma kuna maendeleo...? Utayalinganisha na Moshi, Mbeya na Mwanza,...?
matonyahuyu jamaa atakuwa yuko pale milembe anapata dawa. Mimi nimekaa dodoma zaidi ya miaka 20. Hivi karibuni nimehamia moja ya miji aliyotaja, wakati nafika kila mtu ilikuwa shikamoo mzee, lakini sasa salamu ni habari yako mkuu. Nilipouliza mmoja aliniambia kuwa nilipokuja nilionekana mzee sana , makunyanzi tele ,lakini sasa ni kijana mwenzao. Nilipokimbilia kioo nilishangaa, niliona sura ya mdogo wangu kwenye kioo kumbe ni mimi mwenyewe . Mizaa mingine bwana kama yako inakera sana. Baada ya kuwahurumia wenzako kwa kujaa mitaa ya nchi nzima kuombaomba we unafurahia !!!!!???!!.