NKUU SINDE KWETU
JF-Expert Member
- Jun 26, 2013
- 830
- 91
Habari wana JF!
Ninafurahishwa sana na wapiga kura wa mkoa wa Dodoma kwa kuipa CCM ushindi kila chaguzi.
Natamani watu wa Mwanza, Mbeya na Moshi waige mfano huu ili kuharakisha maendeleo katika mikoa yetu hiyo.
CCM bado ndio chama IMARA Tanzania.
mmh kuharakisha maendeleo kama dodoma au? mara yangu ya kwanza kukanyaga dodoma sikutaka kuamini kuwa ndo ipo vile, nafikiri dodoma inaweza kuwa tatu bora kutoka mwisho kwa mikoa yenye maendeleoHabari wana JF!
Ninafurahishwa sana na wapiga kura wa mkoa wa Dodoma kwa kuipa CCM ushindi kila chaguzi.
Natamani watu wa Mwanza, Mbeya na Moshi waige mfano huu ili kuharakisha maendeleo katika mikoa yetu hiyo.
CCM bado ndio chama IMARA Tanzania.
Habari wana JF!
Ninafurahishwa sana na wapiga kura wa mkoa wa Dodoma kwa kuipa CCM ushindi kila chaguzi.
Natamani watu wa Mwanza, Mbeya na Moshi waige mfano huu ili kuharakisha maendeleo katika mikoa yetu hiyo.
CCM bado ndio chama IMARA Tanzania.
Bora umesema. Sio Mchagga huyu, Mgogosijawahi kuona mchaga ---- kama wewe.na nikikuchunguza hujalelewa na wazazi.Moshi unaweza fananisha na dodoma iliyojaa vumbi?
we kweli mlevi wa gongo
Nadhani ujinga uliofanywa na KUB mjengoni nisomo tosha kuwa CHADEMA hakuna watu bali viatu
Nadhani kwa weupe kichwani unaongoza; unawezalinganisha matonya na mjasiriamali. Ndio maana watu wenye akili zao ndani ya CCM wako kimya. Wanalia popobawa aliyewaingilia atatokaje. Ndio maana wanaosimama na kuongea ni wale ambao hata hawajulikani mimba zao zilitungiwa wapi? Ambao wengi wako humu.