GE2025 Dodoma wakimsubiri Rais Samia baada ya kuchukua fomu yakugombea Urais

GE2025 Dodoma wakimsubiri Rais Samia baada ya kuchukua fomu yakugombea Urais

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Wakazi wa Dodoma wako hapa wamekusanyika wakimsubiri Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan baada ya kuchukua fomu ya kugombea Urais kwa awamu nyingine.
 
Wakazi wa Dodoma wako hapa wamekusanyika wakimsubiri Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan baada ya kuchukua fomu ya kugombea Urais kwa awamu nyingine.
View attachment 3436596
Screenshot_20250808-135021~2.png
 
Wale maadui watatu aliotuachia Mwl Nyerere, naona mmoja ndiyo ametuzidi akili, hatujafanikiwa kumdhibiti hadi sasa, naye ni Ujinga!

Siku Watanzania wakifanikiwa kumwondoa adui Ujinga, ndiyo Siku Nchi itapiga hatua
 
Hakika huyu mama ni chaguo la Mungu, vox populi
 
Wadau wa michezo wote, shughuli ndiyo imeshaanza Sports 1HD. Tujumuike kupunguza stress.
 
Back
Top Bottom