Dodoma Vs Nakuru

Se-ronga

JF-Expert Member
Jun 3, 2015
650
909
Wakuu hongereni na pilika za ujenzi wa Taifa

Baada ya Jiji la Mwanza kuipa Nakuru kichapo cha mbwa mwizi nafikiri sasa ni muda wa Nakuru kutafuta angalau droo kwa jiji tarajiwa la Dodoma,makao makuu ya Chama na Serikali

Natupia picha chache za Dom,wazee wa Nax mukuje
1469591813834.jpg
1469591821550.jpg
1469591826200.jpg
1469591830193.jpg
1469591840090.jpg
1469591849279.jpg
1469591860988.jpg
1469591871311.jpg
1469591877949.jpg
1469591891430.jpg
1469591910627.jpg
1469591934490.jpg
1469592002164.jpg
1469592018030.jpg
 
Wakuu hongereni na pilika za ujenzi wa Taifa

Baada ya Jiji la Mwanza kuipa Nakuru kichapo cha mbwa mwizi nafikiri sasa ni muda wa Nakuru kutafuta angalau droo kwa jiji tarajiwa la Dodoma,makao makuu ya Chama na Serikali

Natupia picha chache za Dom,wazee wa Nax mukuje View attachment 371620View attachment 371621View attachment 371622View attachment 371623View attachment 371624View attachment 371625View attachment 371626View attachment 371627View attachment 371628View attachment 371629View attachment 371630View attachment 371631View attachment 371632View attachment 371633
mmmmh, mwishon ukaamua utuwekee na miss Bantu
 
Mkuu sio kweli hata kidogo
ndugu yangu nimkaa dodoma na tanga ,ni kweli dodoma inakua kwa kasi sana ila kwa sasa hivi tanga na dodoma tanga iko juu kidogo kwa dodoma interms of majengo na mitaa japo haina mishemishe ni kama imepooza
 
Kwa sasa Tanga iko juu ya Dodoma,huo ni ukweli mtupu. Kimapato, ukubwa wa mji, Viwanda bado Tanga iko juu ya Dodoma. Kwa taasisi nyingi za Serikali, Dodoma inaizidi Tanga.
 
ndugu yangu nimkaa dodoma na tanga ,ni kweli dodoma inakua kwa kasi sana ila kwa sasa hivi tanga na dodoma tanga iko juu kidogo kwa dodoma interms of majengo na mitaa japo haina mishemishe ni kama imepooza
Umenena vyema mkuu lakini embu nikuulize kitu mara ya mwisho kufika dodoma ni lini?
 
Na baada ya kulinganisha nini kitafuata? Au ni mipasho ya taarabu tu humu.
 
chumvi tupu dodoma bado,dodoma inazidiwa hata na tanga
Mkuu kwa hili umedanganya kama una maanisha kujijenga dodoma imezidi majiji kama mbeya na tanga lakini kwa watu idadi hapo sawa,ukitaka kujua dodoma kwa wewe uliepita njia tu tena Singida road iangalie kwa ndege ndo utanielewa
 
Mkuu, kuangalia kwa ndege hata ukipita Singida, Morogoro, Mtwara, Moshi inaonekana vizuri. Dodoma imejengwa majengo mapya, na iko vizuri. Tanga imepooza kweli lakini so far, Dodoma haijaifukia Tanga bado

Hii niliandika mimi, hata hivyo, as of 2020, Dodoma imekua kwa kasi, nachelea kusema na kukiri kuwa kwa sasa, Dodoma jiji liko juu ya Tanga, lakini kwa viwanda na wafanyabiashara wakubwa, Tanga iko juu
 
Mkuu, kuangalia kwa ndege hata ukipita Singida, Morogoro, Mtwara, Moshi inaonekana vizuri. Dodoma imejengwa majengo mapya, na iko vizuri. Tanga imepooza kweli lakini so far, Dodoma haijaifukia Tanga bado
Katika nn haswa? embu weka wazi maana mkuu hapo juu amesema eti Tanga imeizidi Dodoma majengo
 
Acha hizo.Mimi ni mtz lakini kiukweli Nakuru inaizidi Dom kwa mbali Nakuru ina hali ya hewa nzuri sana yaani baridi yakutosha.miti ya kutosha.mji umekaa vyema.viwanda vya kutosha.labda uniambie tunawazidi kwa usafi wa vyoo.
 
ndugu yangu nimkaa dodoma na tanga ,ni kweli dodoma inakua kwa kasi sana ila kwa sasa hivi tanga na dodoma tanga iko juu kidogo kwa dodoma interms of majengo na mitaa japo haina mishemishe ni kama imepooza
Sio kweli, na kama kweli tupia picha tujiridhishe, hapo utatukamata mkuu
 
Back
Top Bottom