Dodoma Vs Nakuru

Dodoma Vs Nakuru

Ungeweka na omba omba hapo ili kukamilisha habari picha
 
Mkuu kwa hili umedanganya kama una maanisha kujijenga dodoma imezidi majiji kama mbeya na tanga lakini kwa watu idadi hapo sawa,ukitaka kujua dodoma kwa wewe uliepita njia tu tena Singida road iangalie kwa ndege ndo utanielewa
hapana kuhusu population dodoma na tanga mjini wote wana pishana kidogo sana ila majengo ya tanga na mitaa yake wako mbali ujue kule mjerumani aliwekeza sana
 
Mkuu, kuangalia kwa ndege hata ukipita Singida, Morogoro, Mtwara, Moshi inaonekana vizuri. Dodoma imejengwa majengo mapya, na iko vizuri. Tanga imepooza kweli lakini so far, Dodoma haijaifukia Tanga bado
tanga iko vizuri ila haina mishemishe iko cool sana
 
Wakuu hongereni na pilika za ujenzi wa Taifa

Baada ya Jiji la Mwanza kuipa Nakuru kichapo cha mbwa mwizi nafikiri sasa ni muda wa Nakuru kutafuta angalau droo kwa jiji tarajiwa la Dodoma,makao makuu ya Chama na Serikali

Natupia picha chache za Dom,wazee wa Nax mukuje View attachment 371620View attachment 371621View attachment 371622View attachment 371623View attachment 371624View attachment 371625View attachment 371626View attachment 371627View attachment 371628View attachment 371629View attachment 371630View attachment 371631View attachment 371632View attachment 371633
Hiyo pic ya mwisho imenibamba nitakuja Dom one day
 
ama kweli ukisikia kazi na dawa ndio hii,ama umetuweza!
 
Dodoma kwa sasa inatisha
 
ndugu yangu nimkaa dodoma na tanga ,ni kweli dodoma inakua kwa kasi sana ila kwa sasa hivi tanga na dodoma tanga iko juu kidogo kwa dodoma interms of majengo na mitaa japo haina mishemishe ni kama imepooza
Kwa sasa, Dodoma iko juu sana
 
Wakuu hongereni na pilika za ujenzi wa Taifa

Baada ya Jiji la Mwanza kuipa Nakuru kichapo cha mbwa mwizi nafikiri sasa ni muda wa Nakuru kutafuta angalau droo kwa jiji tarajiwa la Dodoma,makao makuu ya Chama na Serikali

Natupia picha chache za Dom,wazee wa Nax mukuje View attachment 371620View attachment 371621View attachment 371622View attachment 371623View attachment 371624View attachment 371625View attachment 371626View attachment 371627View attachment 371628View attachment 371629View attachment 371630View attachment 371631View attachment 371632View attachment 371633
😄 😄 😄 Hi pisi ya DODOMA eti?
 
Hii picha ya mwisho Ni ya Dodoma sehemu gani?
 
Back
Top Bottom