Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 80,836
- 93,624
Ndicho alichotaka boss wake wapiga makofi. Over
Hivi skuhz wana lirusha live, mubashara....Bajeti imepatikanaAjiulize kwanini bunge lina rushwa live lakini
Watu hawalifuatili???????
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
MATAGA kwa kweli mmechanganyikiwa hata hamjui mnasimamia nini sasa hivi.
Pathetic!
Haki bin haki hapo mzee unaweza ukabakia na wabunge si zaidi ya 50..Hakuna mbunge pale anaeweza shinda kwa kura wengi wamewekwa na tume, kujipendekeza kwao ni lzm iwe ni sehemu ya kulipa fadhila.
Job anataka kulazimisha upinzani...analazimisha kuwa hata wao kwa wao wanaweza kukosoana.....kwa hoja gani hapo yenye maslahi kwa ummaSpika wa Bunge Job Ndugai amesema baadhi ya wabunge wamekuwa wakipiga makofi bungeni lakini haijulikani wamepiga ya nini.
Ndugai alisema hayo jana wakati Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Khamis Hamza Khamis akijibu swali la nyongeza la mbunge wa viti maalumu (CCM) Husna Sekiboko kwamba polisi wamekuwa wakishindwa kufika kwa wakati maeneo mbalimbali kwa sababu ya kukosa mafuta na matengenezo ya magari.
Awali, akijibu swali Khamis alisema kwa mujibu wa sheria ya bajeti wenye fungu ni mkuu wa polisi nchini (IGP) na Ma-RPC hivyo fungu likitoka kwa IGP linakwenda kwa RPC na kisha kugawiwa kwa wakuu wa polisi wa wilaya husika.
Alisema wanalichukua suala hilo na kwenda kukaa na wadau ili kuona namna wanavyoweza kulifanyia mabadiliko.
Hata hivyo, majibu hayo yaliwafanya baadhi ya wabunge kumpigia makofi naibu waziri huyo, hali iliyomuibua Ndugai ambaye alisema kuna wakati wabunge wanapiga makofi haifahamiki wanapiga ya nini.
Ndugai alihoji kuwa: “Halafu waziri akakae na wadau, wakina nani? Halafu tunashangilia (wabunge) tunakubali hiyo kanzu.”
Chanzo: Mwananchi
======
My take: kwani ndugu Spika alitegemea kitu tofauti toka kwa Wabunge(90%+) wa Chama kimoja?
Ndo utamu wa chama kimoja.Spika wa Bunge Job Ndugai amesema baadhi ya wabunge wamekuwa wakipiga makofi bungeni lakini haijulikani wamepiga ya nini.
Ndugai alisema hayo jana wakati Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Khamis Hamza Khamis akijibu swali la nyongeza la mbunge wa viti maalumu (CCM) Husna Sekiboko kwamba polisi wamekuwa wakishindwa kufika kwa wakati maeneo mbalimbali kwa sababu ya kukosa mafuta na matengenezo ya magari.
Awali, akijibu swali Khamis alisema kwa mujibu wa sheria ya bajeti wenye fungu ni mkuu wa polisi nchini (IGP) na Ma-RPC hivyo fungu likitoka kwa IGP linakwenda kwa RPC na kisha kugawiwa kwa wakuu wa polisi wa wilaya husika.
Alisema wanalichukua suala hilo na kwenda kukaa na wadau ili kuona namna wanavyoweza kulifanyia mabadiliko.
Hata hivyo, majibu hayo yaliwafanya baadhi ya wabunge kumpigia makofi naibu waziri huyo, hali iliyomuibua Ndugai ambaye alisema kuna wakati wabunge wanapiga makofi haifahamiki wanapiga ya nini.
Ndugai alihoji kuwa: “Halafu waziri akakae na wadau, wakina nani? Halafu tunashangilia (wabunge) tunakubali hiyo kanzu.”
Chanzo: Mwananchi
======
My take: kwani ndugu Spika alitegemea kitu tofauti toka kwa Wabunge(90%+) wa Chama kimoja?
Wapinzani wametuchelewesha sana.Ni jambo jema!
Hakuna wabunge pale. Wabunge wako Kenya bwashee yaani hadi raha!
Spika Ndugai atambue alama za nyakati.Spika wa Bunge Job Ndugai amesema baadhi ya wabunge wamekuwa wakipiga makofi bungeni lakini haijulikani wamepiga ya nini.