SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 43,707
- 60,760
KUPATWA KWA BUNGE
Wajinga wanaongozwa na wajinga wenzao!! Ndege wanaofanana huruka pamoja!!Kuongoza 'wajinga na wapumbavu' ni kazi ngumu sana.
Ndugai a.k.a bosi wa covid19 ana kazi nzito sana!
Aisee!!!Ni vyema angewapa nafasi wabunge waliopiga makofi, waeleze sababu za kufanya hivyo.
Milioni 11 inaingia tarehe 24/2/2021Spika wa Bunge Job Ndugai amesema baadhi ya wabunge wamekuwa wakipiga makofi bungeni lakini haijulikani wamepiga ya nini.
Ndugai alisema hayo jana wakati Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Khamis Hamza Khamis akijibu swali la nyongeza la mbunge wa viti maalumu (CCM) Husna Sekiboko kwamba polisi wamekuwa wakishindwa kufika kwa wakati maeneo mbalimbali kwa sababu ya kukosa mafuta na matengenezo ya magari.
Awali, akijibu swali Khamis alisema kwa mujibu wa sheria ya bajeti wenye fungu ni mkuu wa polisi nchini (IGP) na Ma-RPC hivyo fungu likitoka kwa IGP linakwenda kwa RPC na kisha kugawiwa kwa wakuu wa polisi wa wilaya husika.
Alisema wanalichukua suala hilo na kwenda kukaa na wadau ili kuona namna wanavyoweza kulifanyia mabadiliko.
Hata hivyo, majibu hayo yaliwafanya baadhi ya wabunge kumpigia makofi naibu waziri huyo, hali iliyomuibua Ndugai ambaye alisema kuna wakati wabunge wanapiga makofi haifahamiki wanapiga ya nini.
Ndugai alihoji kuwa: “Halafu waziri akakae na wadau, wakina nani? Halafu tunashangilia (wabunge) tunakubali hiyo kanzu.”
Chanzo: Mwananchi
======
My take: kwani ndugu Spika alitegemea kitu tofauti toka kwa Wabunge(90%+) wa Chama kimoja?
Spika wa Bunge Job Ndugai amesema baadhi ya wabunge wamekuwa wakipiga makofi bungeni lakini haijulikani wamepiga ya nini.

H ata wakoloni walipogundua kuongoza wapumbavu wakaanza kutuelimishaMwenye akili ndogo anaweza kushangaa hii comment yako lkn upo sahihi kabisaaa hakuna kitu kigumu duniani kama kuongoza wajinga
Duh... ., hii kovid imemkwepa hyu sipika wenuSpika wa Bunge Job Ndugai amesema baadhi ya wabunge wamekuwa wakipiga makofi bungeni lakini haijulikani wamepiga ya nini.
Ndugai alisema hayo jana wakati Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Khamis Hamza Khamis akijibu swali la nyongeza la mbunge wa viti maalumu (CCM) Husna Sekiboko kwamba polisi wamekuwa wakishindwa kufika kwa wakati maeneo mbalimbali kwa sababu ya kukosa mafuta na matengenezo ya magari.
Awali, akijibu swali Khamis alisema kwa mujibu wa sheria ya bajeti wenye fungu ni mkuu wa polisi nchini (IGP) na Ma-RPC hivyo fungu likitoka kwa IGP linakwenda kwa RPC na kisha kugawiwa kwa wakuu wa polisi wa wilaya husika.
Alisema wanalichukua suala hilo na kwenda kukaa na wadau ili kuona namna wanavyoweza kulifanyia mabadiliko.
Hata hivyo, majibu hayo yaliwafanya baadhi ya wabunge kumpigia makofi naibu waziri huyo, hali iliyomuibua Ndugai ambaye alisema kuna wakati wabunge wanapiga makofi haifahamiki wanapiga ya nini.
Ndugai alihoji kuwa: “Halafu waziri akakae na wadau, wakina nani? Halafu tunashangilia (wabunge) tunakubali hiyo kanzu.”
Chanzo: Mwananchi
======
My take: kwani ndugu Spika alitegemea kitu tofauti toka kwa Wabunge(90%+) wa Chama kimoja?
Afu ukute kiongoz mwenyewe Juha!!!Kuongoza 'wajinga na wapumbavu' ni kazi ngumu sana.