Wanajua kuna wengi msioelewa kama nyie na bado mnabisha,na kweli mmekamatika na hamtaki kueleweshwa sababu mnachojua ni kuwa mwenye hotel ndio anajiamulia kuiita 5 star au 4 StarHawawezi andika kitu sicho acha chuki
Sema malaya wengi sana hasa wa onlineZiko vizur sana
Niko Nina mwaka sasaWe utakua umeanzia shughuli zsko kipindi cha bunge
Huku wengi mno Kuna AP kibao wamejaa , pia Kila gest Ina Malaya wamelala mchanaSema malaya wengi sana hasa wa online
Muhimu iwe na vigezoWanajua kuna wengi msioelewa kama nyie na bado mnabisha,na kweli mmekamatika na hamtaki kueleweshwa sababu mnachojua ni kuwa mwenye hotel ndio anajiamulia kuiita 5 star au 4 Star
Unabisha ili uonekane na wewe unabisha...mwanzo ulisema Dom hakuna hoteli inayozidi nyota tatu nimekuwekea hapo mojawapo Bestern Western City Hotel umekimbilia google ππungekua umewahi kufika ndio ungebisha .Dom kwa upande wa hoteli ni level nyingine kwamfano Morena Hotel,St Gaspar,Nasheera,Rafiki Dodoma Hotel,African Dreams,Royal Village,Midlands-Kisasa,Vizano Hotel, Dodoma Hotel,Golden Crown n.kRating ya Hotel sio kwa bango, hiyo hata wewe unaweza kujiandikia tu. Hotel ratings sio kama unavyodhani kwenye guest house kuandika self contained au full AC. Jifunze ili usiabike siku za mbele
Ngoja nikuache maana nimegundua huenda ni mwanachuo huna hata exposure ya Hotel ni nini.... hadi unaleta na hizo ndogondogo kama Rafiki hotel kwenye list ya Hotel...Unabisha ili uonekane na wewe unabisha...mwanzo ulisema Dom hakuna hoteli inayozidi nyota tatu nimekuwekea hapo mojawapo Bestern Western City Hotel umekimbilia google ππungekua umewahi kufika ndio ungebisha .Dom kwa upande wa hoteli ni level nyingine kwamfano Morena Hotel,St Gaspar,Nasheera,Rafiki Dodoma Hotel,African Dreams,Royal Village,Midlands-Kisasa,Vizano Hotel, Dodoma Hotel,Golden Crown n.k
ππEti Rafiki Hoteli ni hoteli ndogo unachekesha sana aisee ....najua wewe ni hater wa Dom City.Huwa najibu facts+hoja tupu hizo porojo na michambo peleka facebook ππNgoja nikuache maana nimegundua huenda ni mwanachuo huna hata exposure ya Hotel ni nini.... hadi unaleta na hizo ndogondogo kama Rafiki hotel kwenye list ya Hotel... Bora hata kidogo Midland,...
Kasome tena post hiyo nimekuwekea picha zaidi ili uelewe namaanisha nachokiongea..sio wewe unapiga picha bango nje limeandikwa 5 star afu unakuja kubisha. Madogo kama nyie ndo nakulaga vichwa kwenye interview...maana ndio wale fools who never learnππEti Rafiki Hoteli ni hoteli ndogo unachekesha sana aisee ....najua wewe ni hater wa Dom City.Huwa najibu facts+hoja tupu hizo porojo na michambo peleka facebook ππ
Tangulini kahoteli kadogo kakazinduliwa na Naibu Waziri Mkuu wa JMT
Nishaelewa uelewa wako kwenye hotel upoje...siwezi endelea nawewe maana nilikua nataka nianze kukuelewesha hadi hizi hotel loyalty programs kama Mariott Bonvoy ufungue upeo ila ntajisumbua bure. Nimesanda ,ushindi ni wako..ni kweli Dom mnazo 5 Star hotels tena kibaoππEti Rafiki Hoteli ni hoteli ndogo unachekesha sana aisee ....najua wewe ni hater wa Dom City.Huwa najibu facts+hoja tupu hizo porojo na michambo peleka facebook ππ
Tangulini kahoteli kadogo kakazinduliwa na Naibu Waziri Mkuu wa JMT
Kasome tena post hiyo nimekuwekea picha zaidi ili uelewe namaanisha nachokiongea..sio wewe unapiga picha bango nje limeandikwa 5 star afu unakuja kubisha. Madogo kama nyie ndo nakulaga vichwa kwenye interview...maana ndio wale fools who never learn
Huo mtazamo wko haupingwiKila sehemu ni tamu ukiwa na pesa na amani
Usiumize kichwa na huyo jamaa ni mbishi atakua ni Muha huyuNimekwambia michambo na porojo peleka Facebook ndio level zako . Unajitahidi kubadili badili topics. Humu JF ni facts na hoja tupu.Mwanzo ulisema Dom hakuna hoteli ya nyota tatu nimekupa facts na ushahidi .Nimekupa na listi ya hoteli zinazokimbiza kwa sasa Dom
We mbishi sanaNishaelewa uelewa wako kwenye hotel upoje...siwezi endelea nawewe maana nilikua nataka nianze kukuelewesha hadi hizi hotel loyalty programs kama Mariott Bonvoy ufungue upeo ila ntajisumbua bure. Nimesanda ,ushindi ni wako..ni kweli Dom mnazo 5 Star hotels tena kibao
Impact ya wanachuo ipo kwenye miji yote kwamfano hata Mwanza chuo cha SAUT na vingine vikifungwa mjini kunapooza.Sasa kwa Dom chuo cha UDOM pekee kinachukua wanachuo karibia elfu 40 hapo bado sijataja CBE,MIPANGO,HOMBOLO LGTI,ST JOHN,CAPITAL,DECCA,MADINI n.kSio kwel mkuuu dodoma vitu ghari bana acha kuangalia kwa.upande wako.wewe mfanyabiashara angalia kwa ujumla jamii iliopo na unafanya biashara na watu wa aina gani aisee.
Dodoma imejazwa na wanafunz ambao mmekua mkiwauzia vitu.bei ghari sana ukitofautisha na mkoan DAR alafu usfananishe DAR na mikoa mingne aisee.
Dodoma ni ganzi tu waanafunz watakapoondoka makwao ndo utaelewa nn nakiongea aisee na punguzenI vitu maana sio wote. Watoto wa matajiri halafu watu unaofanya nao biashara ni aslmia kubwa wanafunz na sio wazawa au wenyej wa dodoma.
Hayo ni mawazo yangu mimi MSOMI HURU UGWANZEE
Umetisha mkuu kama ni mwalimu basi upandishwe daraja kwa sababu ya kumuelewesha mbishiNgoja nikuache maana nimegundua huenda ni mwanachuo huna hata exposure ya Hotel ni nini.... hadi unaleta na hizo ndogondogo kama Rafiki hotel kwenye list ya Hotel...
Bora hata kidogo Midland, Morena na Nashera ni 3 stars na zote hizo nazijua vizuri sababu nafikia mara nyingi na ndio maana nikasema toka mwanzo wana huduma substandard they need to stardadize kama hotel zingine za 3 Star za Dar, Mwanza, Tanga au Arusha ili zilingane na hiyo 3 Star category..ukikua utajiona mjinga sana kwa hiki unachobisha.
Yaani hapa naandika hii coment nipo Morena hotel Morogoro nakuona bonge la kiazi unakomaa kubisha vitu huelewi....maana last week yote nilikua hapo Dom kwenye hizo hotel unazosema..na vile Rainbow ni jirani ndio ilikua nalia bia hapo.
View attachment 2953243
Na hizi za mchana,zingine nilipiga last month nilikua room ya nyuma upande wa swimming pool..na nyingine nipo na kashemeji kako siwezi post
View attachment 2953256View attachment 2953256View attachment 2953257View attachment 2953258View attachment 2953259