george aloyce
JF-Expert Member
- Aug 22, 2017
- 1,302
- 2,031
- Thread starter
-
- #341
Ngoja wanaume wakuwekeeeeKuna watu ni hodari wa kuiponda Dar.
Wa Kaskazini Utaskia Chugga ni nchi ile baba,
Wa Kanda ya Ziwa utaskia Mwanza ni bonge la jiji.
Wa Nyanda za juu,utaskia sifa kibao kuhusu Mbeya.
Na sasa kuna hawa wa Dodoma...
Tembelea hayo majiji yenyewe ndiyo utakapochoka....
Arusha,Mwanza,Mbeya na Dom yanastihili sifa lakini siyo kwa kuiponda Dar...
- Unaweza maliza zunguka hayo majiji kwa masaa mawili na ukayamaliza
- Viwanja vya bara ni vya kuhesabika
- Aina za bata ni za kuhesabika
- Ukosefu wa baadhi ya huduma
- Majiji ambayo ikifika saa 4 usiku, Usafiri unakoma.
- Maeneo yenye mikusanyiko ya watu inahesabika
Hakuna jiji la kuifikia Dar ndani ya nchi, ukweli wenye kuuma.
Kule ni uswahilini ila hawakai watoto wa mamaMatumizi ya L kwenye nafasi ya R....
Umenishangaza unaposema Goba ni pakishua....
Mbona location zote ulizozitaja ni Uswahilini choka mbaya,,sasa kama umekaa hadi Maandazi road, hauwezi ona uzuri wa Dar.
Dar Nina viwanja vingi sana ndugu yg kama upo tayari nikakupe chanika kiwanja kina Banda la vyumba viwili eneo ni 20 kwa 20 upo tayari njoo bobo tubadilishaneNina kiwanja Dodoma kina hati natafuta mtu mwenye kiwanja Dar anaetaka tubadilishane. Kiwanja kipo Nzuguni karibu na stand ya nane nane kina hati.
Sent from my SM-N976N using JamiiForums mobile app
Wakuja kama nyinyi ndio mnaishia kushangaa magari na magorofa ya wanaume wenzenu dar , huku mkiishi vingunguti, mnaishi kama makima ya poliniKuna watu ni hodari wa kuiponda Dar.
Wa Kaskazini Utaskia Chugga ni nchi ile baba,
Wa Kanda ya Ziwa utaskia Mwanza ni bonge la jiji.
Wa Nyanda za juu,utaskia sifa kibao kuhusu Mbeya.
Na sasa kuna hawa wa Dodoma...
Tembelea hayo majiji yenyewe ndiyo utakapochoka....
Arusha,Mwanza,Mbeya na Dom yanastihili sifa lakini siyo kwa kuiponda Dar...
- Unaweza maliza zunguka hayo majiji kwa masaa mawili na ukayamaliza
- Viwanja vya bara ni vya kuhesabika
- Aina za bata ni za kuhesabika
- Ukosefu wa baadhi ya huduma
- Majiji ambayo ikifika saa 4 usiku, Usafiri unakoma.
- Maeneo yenye mikusanyiko ya watu inahesabika
Hakuna jiji la kuifikia Dar ndani ya nchi, ukweli wenye kuuma.
Tatizo watu wanaleta ushindani , mimi nimeelezea uzuri wa dodoma , ila mtu anataka kushindanisha dar na Dom, ni ngumu na nawatoa akili mijitu ya hiviKila mahala ni kutamu ukiwa na pesa Sheikh
Hata Mchambawima
😂🤣😅Kuna inzi wengi Kuliko MBU, na mvua za mchanga
Sasa kama ye mchafu kajinyea ndio maana nzi wanamfata
Kwa io wafanyakazi wa ikulu ya dom wamejinyea SioSasa kama ye mchafu kajinyea ndio maana nzi wanamfataILa ye Anaona dodoma
😂🤣😅Unagusa ManyiguKwa io wafanyakazi wa ikulu ya dom wamejinyea Sio
Mzee Dom bila Farmington ni aibu tupu😂🤣😅Unagusa Manyigu
Wakati jiwe anaforce Dom pawe mji wa gov, Dodoma municipal palikuwa na mazizi ya mifugo zaidi ya 10, fikirikia kisasa Pana mazizi sio mabanda bali ni mazizi, utasema ni umasaini vile😂🤣😅Unagusa Manyigu
Wakati jiwe anaforce Dom pawe mji wa gov, Dodoma municipal palikuwa na mazizi ya mifugo zaidi ya 10, fikirikia kisasa Pana mazizi sio mabanda bali ni mazizi, utasema ni umasaini vile
Huyu jamaa kwa chai anaongoza apa jamviniBora leo umetupumzisha Chai!
Ushahidi bila pichaWakati jiwe anaforce Dom pawe mji wa gov, Dodoma municipal palikuwa na mazizi ya mifugo zaidi ya 10, fikirikia kisasa Pana mazizi sio mabanda bali ni mazizi, utasema ni umasaini vile
Wewe wasema , mimi simoooUnagusa Manyigu
Hio ni muhimu Kila sehemuMzee Dom bila Farmington ni aibu tupu
Sio chai mkuuHuyu jamaa kwa chai anaongoza apa jamvini
Hilo govi ulilionaje au alikuweka ,Wakati jiwe anaforce Dom pawe mji wa gov, Dodoma municipal palikuwa na mazizi ya mifugo zaidi ya 10, fikirikia kisasa Pana mazizi sio mabanda bali ni mazizi, utasema ni umasaini vile
Ndio ukaona wivu kama mtoto wa kike na kupasema vibayaMzilankende Alipapenda Sana Wakati Wa Uhai