Science huwa hakuna kubishana hata siku moja. facts zinasomwa kwa kuelewa. Paper ina references, soma kila kitu taratibu.
...Hawa wabinti hasa central line wakiaanza kupevuka, trichomas vaginaris inavamia maeneo ya chini huko inawawasha sana, wanadhani ni hamu ya sex kumbe infection! Kitaalamu best way ya kukuna ni sex, matokeo yake ndiyo haya...hasa hii central line,,,,,Mororgo, Dodoma, Singida, Tabora, Shinganya mpaka Mwanza.
... Kwa TZ research inaonyesha yuko prevalence mikoa niliyotaja kwa sababu ya low hygiene inayosababishwa na upungufu wa maji maeneo mengi
Hapo ndipo utakapoamini kwamba wanawake noma!
Njemba saba halafu zote hazijuani!!
...Pole sana Kuhani. Tuko kwenye frequencies tofauti kabisa kishule. Sikuweza kujua hili kabla. Lakini information itawafaa zaidi wenzako. karibu sana muda mwingine. Lakini science ndiyo ilivyo. Inahitaji brain hasa. NO wonder wengi wanaikimbia.
achana na KU-ha_ni... point yako imeeleweka(regardless ya mapunngufu, kitu ambacho ni cha kawaida).
...Lakini hii nayo haijatulia..wanaume 7 kumtia mimba demu kwa wakati mmoja? au walimpiga mtungo??? Hata kama ni mtungo mwenye kubahatisha ni mmoja tu....wasubiri mtoto akizaliwa wakapime DNA..
Bro,
achana na KU-ha_ni, kila kitu anajua yeye!! Njemba hiyo ni lawyer, engineer, doctor (kupita hata Dr. Masau), biologist, chemist, physicist, sociologist, psychologist na kila kitu hapa duniani...hata u-CD, yeye ni zaidi kupita hata wale wa Ohio St. Kwa ufupi jamaa ipo negative juu ya kila kitakachoandikwa hapa na mtu ambaye si "rafiki" yake!! Shame.
Utauumiza kichwa bure, point yako imeeleweka(regardless ya mapungufu, kitu ambacho ni cha kawaida). Keep it up kuelimisha jamii na usivunjwe moyo na mijitu yenye roho ya kwanini dizaini ya jamaa!!
Kimasimasi chema, na usiruhusu funza kama huyo ( Braza K) kuingia kwenye ubongo wako....
yay..
Sex education friends,
Je sasa wakulaumiwa nani? Wazazi, waalimu au waliompa mimba?
TV is STD period! Ukosefu wa maji unaingiaje wajameni?
Halafu symptom mojawapo ni kuwa inasababisha discomfort wakti wa nanihii na wakti wa kukojoa..
Sasa inashangaza kidogo mtu anapokuja na kusema eti TV inamfanya mtu atafute tiba ya NGONO?[/COLOR]
Naomba tuwe na uhakika na tunachoandika next time..
STDs nyingi, ikiwemoTV, kero yake ukeni ni kubwa sana in terms of itching kwa nje na ndani ya vagina. Tiba yake si ngono kama unavyotaka kuelewa. Hapa mwenye huo ugonjwa, mwanzoni vitu anavyohitaji ni kujikuna au kukunwa. Bila shaka umeshawahi mwanamke kasimama akijikuta kunako sehemu. Inapokuwa kwa ndani ngono inasaidia. Hali inakuwa katika stage advanced inakuwa kero zaidi na maumivu makali sana.
Ngumu sana kuelewa hii kitu. Ni science.. Muhimu mwone daktari akupe maelezo sahihi kulingana na sehemu uliyopo.
Maelezo yako ni very contradictory..
1. TV ikiwa ni STD it doesn't depend on space (x,y,z) wala muda ..Hivyo maelezo yako kuhusu mikoa.. si sahihi
2. Kusema kuwa dalili ya mwanzo ni kuwashwa si sahihi..
3. Kuishia kusema science ni ngumu ni kukimbia maswali, kama ni ngumu whats the point to try teaching others something you are not knowledgeable off?
4. Kama hukumaanisha kuwa kuwashwa ni dalili????!!!, na hivyo kufanya ngono ni 'kujikuna', whats the point of your ideas in this thread?
Sikumaanisha??!! Check with your doctor. Ndiyo huwa tunashauri. Utapata picha nzuri ya afya yako
Are you professional of any sort?
STDs nyingi, ikiwemoTV, kero yake ukeni ni kubwa sana in terms of itching kwa nje na ndani ya vagina. Tiba yake si ngono kama unavyotaka kuelewa. Hapa mwenye huo ugonjwa, mwanzoni vitu anavyohitaji ni kujikuna au kukunwa. Bila shaka umeshawahi kumwona mwanamke kasimama akijikuta kunako sehemu. Si lazima iwe trichomoniasis, bali uwezekano mkubwa ni hiyo. Inapokuwa kwa ndani ngono inasaidia. Hali inakuwa mbaya katika advanced stage inakuwa kero zaidi na maumivu makali sana, uwezekano wa kunuka pia mkubwa kwa sabau ya secreations zinazotokana na activity hiyo protozoan.
Ngumu sana kuelewa hii kitu. Ni science.. Muhimu mwone daktari akupe maelezo sahihi kulingana na sehemu uliyopo.
Kweli kazi ipo na wataalamu wetu mnatuchanganya tu
au mmoja wenu ni Kihiyo? anazuga?