Dodoma: Mwanafunzi atiwa mimba na moja ya wapenzi wake 7!

Babuji

Senior Member
Nov 27, 2008
197
3
MWANAFUNZI wa kidato cha pili katika Shule ya Sekondari Miyui mjini Dodoma amelazimika kuacha shule baada ya kupata ujauzito huku akishindwa kutambua baba wa mtoto aliyepo tumboni kwa maelezo kuwa alikuwa na mahusiano wa mapenzi na watu saba akiwemo mwalimu wake.

Inadaiwa kuwa kati ya hao saba aliokuwa na mahusiano mmoja alikuwa ni mwalimu aliyekua akifundisha katika shule hiyo.

mzazi wa mwanafunzi huyo alipombana kwa kumuhoji kuhusu mtu aliyempa ujauzito huo mwanafunzi huyo alikataa kumtaja hadi akaamua kumpeleka kwa uongozi wa shule hiyo na huko akatoa siri kwa kuwaeleza kuwa hajui nani aliyemtia mimba kwa kuwa alikuwa na uhusiano na wanaume saba kwa wakati mmoja.

Chanzo cha habari cha kuaminika kutoka Ofisi ya Elimu ya Manispaa ya Dodoma kilithibitisha kupewa ujauzito kwa mwanafunzi huyo, na kwamba yupo nyumbani kwao na kuongeza kuna wanafunzi wengine watano wa shule hiyo ambao ni wajawazito nao wameacha shule.
Source : Nifahamishe
Tutafika?
 
Last edited by a moderator:
MWANAFUNZI wa kidato cha pili katika Shule ya Sekondari Miyui mjini Dodoma
amelazimika kuacha shule baada ya kupata ujauzito huku akishindwa kutambua baba wa mtoto aliyepo tumboni kwa maelezo kuwa alikuwa na mahusiano wa mapenzi na watu saba akiwemo mwalimu wake.

Inadaiwa kuwa kati ya hao saba aliokuwa na mahusiano mmoja alikuwa ni mwalimu aliyekua akifundisha katika shule hiyo.

Chanzo cha habari cha kuaminika kutoka Ofisi ya Elimu ya Manispaa ya Dodoma kilithibitisha kupewa ujauzitpo kwa mwanafunzi huyo, na kwamba yupo nyumbani kwao na kuongeza kuna wanafunzi wengine watano wa shule hiyo ambao ni wajawazito.na wameacha shule.

Kwa mujibu wa chanzo hicho mwanafunzi huyo aliacha shule baada ya kupewa ujauzito na mtu asiyejulikana, lakini baadae taarifa zilizotoka kwa marafiki zake zilisema ujauzito huo alipewa na mwalimu wake.
.

Kibaka huyo sana! Hawa wabinti hasa central line wakiaanza kupevuka, trichomas vaginaris inavamia maeneo ya chini huko inawawasha sana, wanadhani ni hamu ya sex kumbe infection! Kitaalamu best way ya kukuna ni sex, matokeo yake ndiyo haya.

Sex education TZ muhimu sana, hasa hii central line,,,,,Mororgo, Dodoma, Singida, Tabora, Shinganya mpaka Mwanza. Tatizo ni sugu sana
 
Inawezekana hata hao wanafunzi watano waliopata mimba na wako nyumbani walipewa majamboz na huyo mwalimu
 
Hicho kichwa cha habari hakiendani na maelezo, nilitegemea kwamba kila mwanaume kati ya hao saba ametia mimba kumbe ni mahusiano na wanaume saba sasa hajui hupi aliyemjaza mimba, ama kweli uandishi wetu, mmh
 
Huyo binti kaaaaaaaaazi kweli kweli.
Nimeamini mwanamke anaubavu wa kuwapanga hata 20 na msijijue na yeye asijue yupi kamevimbisha duh! huyo mtoto lakini amekomaa nakula mihogo yote hiyo dah!
 
Mambo sio mambo kabisa wandugu siku hizi vitoto sijui vinajifunzia wapi haya mambo kuna maeneo vitoto vya kike vya darasa la 4 tu vinabebana na mijibaba ni hatari sijui kuna nini wanachopata hawa jamaa.
 
Huyo binti kaaaaaaaaazi kweli kweli.
Nimeamini mwanamke anaubavu wa kuwapanga hata 20 na msijijue na yeye asijue yupi kamevimbisha duh! huyo mtoto lakini amekomaa nakula mihogo yote hiyo dah!

kazi kweli kweli :p;):eek:
 
Source : Nifahamishe
Tutafika?
...Lakini hii nayo haijatulia..wanaume 7 kumtia mimba demu kwa wakati mmoja? au walimpiga mtungo??? Hata kama ni mtungo mwenye kubahatisha ni mmoja tu....wasubiri mtoto akizaliwa wakapime DNA..
 
Asubiri ajifungue then waangalie mtoto kafanana na nani kati ya hao saba
 
Asubiri ajifungue then waangalie mtoto kafanana na nani kati ya hao saba

...aweza kufanana na marehemu babu yake vile vile, mambo ya kuangaliwa sura nadhani si kipimo sahihi kuliko DNA.

Hawa wabinti hasa central line wakiaanza kupevuka, trichomas vaginaris...

dah, Mwanjela umenikumbusha miaka hiyo nilipokuwa medical Lab, ..."trichomonas vaginalis" au TV... analysis yako v.interesting, kuna ka ukweli hapo :D.
 
Yaani wote saba ilikuwa bila ndomu...Mdada ana hatari sana

Wengi sana wanadhani kuwa wanafunzi wako safe. Wanawavamia bila hiyo kitu. Lakini pia wanafunzi hao hao wako kwenye risk kubwa sana. Maana jibaba zima, lina mvi mpaka za ndevu linadandia ki-chick kama hicho live (bila protection)
 
...Lakini hii nayo haijatulia..wanaume 7 kumtia mimba demu kwa wakati mmoja? au walimpiga mtungo??? Hata kama ni mtungo mwenye kubahatisha ni mmoja tu....wasubiri mtoto akizaliwa wakapime DNA..

Hivi bongo DNA ishafika? maana watu kibao bado wanaendelea kukataa watoto wao ingawa kwa mwonekano wa nje ni copyright:(:(
 
... Hawa wabinti hasa central line wakiaanza kupevuka, trichomas vaginaris inavamia maeneo ya chini huko inawawasha sana, wanadhani ni hamu ya sex kumbe infection! Kitaalamu best way ya kukuna ni sex, matokeo yake ndiyo haya.

Sex education TZ muhimu sana, hasa hii central line,,,,,Mororgo, Dodoma, Singida, Tabora, Shinganya mpaka Mwanza. Tatizo ni sugu sana

Kama tatizo ni la ki-biologia kama ulivyotoa maelezo yako ya ``kitaalam`` hapo juu, ni kwa nini basi wanawake wa ``Mororgo, Dodoma, Singida, Tabora, Shinganya mpaka Mwanza`` ndio haswa wana hiyo biology ? Na ni kwa nini trichomas vaginaris avamie wale walioanza kupevuka peke yao wakati huyu protozoa ni sexually transmitted parasite anaeweza kum-target yeyote, wakiwemo wanaume, katika umri wowote ?

Mwanjelwa usije ukawa doctor quack unaetunga tunga theory zako sebuleni kwako na kutuletea hapa!
 
Huyu ni mmoja wa Protozoa walio kwenye kundi la anaerobic (hawahitaji hewa for respiration) na common sana nchi nyingi, hasa huku Ulaya ambako wanawake hawana tabia ya kuosha nyeti zao kwa maji mengi wakiamini kuwa secretion zina-antimicrobial effects. Si rahisi kum-detect na pili anawashawasha chini kwa wanawake na wanashindwa kutambua kama ni nyege au muwasho tu. Kwa TZ research inaonyesha yuko prevalence mikoa niliyotaja kwa sababu ya low hygiene inayosababishwa na upungufu wa maji maeneo mengi lakini siyo kwamba maeneo mengine hayuko.

Sasa kwanini wasichana wadogo? Sababu ni kuwa level hygiene ni low na hasa kutojua techniques nyingi za usafi kutokana na mabadiliko ya maumbile. Lakini siyo kwamba wanawake wakubwa hawana. Tatizo la msichana mdogo anaweza leta vurugu kwenye familia mpaka mkadhani amechangikiwa au amekuwa malaya kumbe anatafuta mtu wa kumkuna muda wote. Sex ndiyo best!

Njia rahisi kama una dada yako mshauri aka-check huyo protozoa. Inaweza kuwa ngumu, anyway (africa huko!). Lakini jaribu kwa rafiki yako wa kike. Then ongea na Doctor wako atakusaidia zaidi.

Kama uko connected kweye chuo au research centre yoyote jaribu kusoma hii article by Modico et al, (1998). Diagnosis of Trichomonas vaginalis Infection by PCR Using Vaginal Swab Samples. Journal of Clinical Microbiology, November 1998, p. 3205-3210, Vol. 36, No. 11. Soma na accompanying literature.

Ukitaka kujua zaidi biology yake unaweza search
 
Du Ndugu Yangu Mwanjelwa,

Nimekusoma.

Itabidi nisearch na nifanye Reference.

Nimesoma Biology mpaka Varsity lakini sijaona topic yako kuhusu hao Protozoa wa kwenye Uchi.

Nitasearch kwenye Google
 
...Kwa TZ research inaonyesha yuko prevalence mikoa niliyotaja kwa sababu ya low hygiene inayosababishwa na upungufu wa maji maeneo mengi lakini siyo kwamba maeneo mengine hayuko.

Sasa kwanini wasichana wadogo? Sababu ni kuwa level hygiene ni low na hasa kutojua techniques nyingi za usafi kutokana na mabadiliko ya maumbile. Lakini siyo kwamba wanawake wakubwa hawana. Tatizo la msichana mdogo anaweza leta vurugu kwenye familia mpaka mkadhani amechangikiwa au amekuwa malaya kumbe anatafuta mtu wa kumkuna muda wote. Sex ndiyo best!

Njia rahisi kama una dada yako mshauri aka-check huyo protozoa. Inaweza kuwa ngumu, anyway (africa huko!). Lakini jaribu kwa rafiki yako wa kike. Then ongea na Doctor wako atakusaidia zaidi.

Kama uko connected kweye chuo au research centre yoyote jaribu kusoma hii article by Modico et al, (1998). Diagnosis of Trichomonas vaginalis Infection by PCR Using Vaginal Swab Samples. Journal of Clinical Microbiology, November 1998, p. 3205-3210, Vol. 36, No. 11.

Nilifikiri umeleta paper inayosema kwamba ``Mororgo, Dodoma, Singida, Tabora, Shinganya mpaka Mwanza`` kuna upungufu wa maji, hivyo wanawake ni wachafuchafu, na matokeo yake wanapata ugonjwa wa Trichomonas vaginalis.

We ni mwongo!

Trichomonas vaginalis ni sexually transmitted disease. Uwe unaishi maeneo yenye maji, uwe jangwani, uwe mchafu, uwe msafi, ukifanya ngono ovyo ovyo bila kujikinga unaweza kupata gonjwa hili.

Kielelezo ulichotoa ni irrelevant. Umetupa paper kama reference ya ``utalaam`` wako lakini paper inaongelea uaguzi, diagnosis, ya ugonjwa huu kwa kutumia polymerase chain reaction, PCR. The subject of the paper ni: ``In this study, a PCR targeting the beta-tubulin genes of T. vaginalis was developed for the detection of the organism in vaginal swab samples… The diagnosis of T. vaginalis infection by PCR is a sensitive and specific method that could be incorporated into a joint strategy for the screening of multiple STDs by using molecular amplification methods.``

Hakuna sehemu waliyosema ugonjwa unawapata zaidi mabinti wanaoanza kupevuka, au sehemu zisizo na maji. Paper inasema hivi: ``The incidence of trichomoniasis is highest in women with multiple partners and in groups with a high prevalence of other STDs.`` Kwa hiyo, hizo theory za kutunga sebuleni kwako kadanganye wengine.

Sasa kama ulisoma abstract ya paper peke yake ukaona jina la parasite halafu ukataka kutuletea upotoshaji humu nimekuwekea paper yako nzima hapa chini uisome halafu urudi kuongea ukweli.
 
Attachments

  • Kielelezo irrelevant cha Mwanjelwa.pdf
    289.5 KB · Views: 99
......
Sasa kama ulisoma abstract ya paper peke yake ukaona jina la parasite halafu ukataka kutuletea upotoshaji humu nimekuwekea paper yako nzima hapa chini uisome halafu urudi kuongea ukweli.

ahha, kwenye science anywhere huwezi sema kuwa watu wachafu! Wale jamaa wanaposema kipindupindu kimeena Zimbambwe wana-cite huduma mbovu zilizopelekea mlipuko. Hakuna anayesema wale wachafu ingawaje ndiyo sababu ya msingi. Kwa mfano, Kigoma kama siyo kila mwaka, basi baada ya miaka miwili kuna kipindupindu na hata mwaka huu kimelipuka. Huitaji paper kujua haya. Soma tu gazetini. Na kama unajua cause ya kipindupindu then you know what it means.

Tunaeleweshana. Hakuna kudanganyana na hakuna sababu hiyo. Kwa taarifa yako TV ni mmoja wa protozoa ambao wamefanyiwa research kubwa sana Duniani. Weka hiyo trichomonas vaginalis kwenye google. Click. Itakupa unachohitaji kujua. Ukitaka elewa science vema, tulia sana. Soma kwa taratibu. Si kuruka mistali kama ulivyovamia hiyo paper. Ina information nyingi ambazo nahisi hujalewa. Lakini google wana info nyingi sana. Kama unajua tumia google search the way you like. It will give what you want.

Science huwa hakuna kubishana hata siku moja. facts zinasomwa kwa kuelewa. Paper ina references, soma kila kitu taratibu.
 
Du Ndugu Yangu Mwanjelwa,

Nimekusoma.

Itabidi nisearch na nifanye Reference.

Nimesoma Biology mpaka Varsity lakini sijaona topic yako kuhusu hao Protozoa wa kwenye Uchi.

Nitasearch kwenye Google

Ohhhhh! That is very bad. Kama Professor wako hakukuambia hivi, either ni oversight au wewe ndiyo hukuwepo kwenye kipindi!
 
Back
Top Bottom