Dodoma: Mussa Assad(CAG), ahojiwa na Kamati ya Haki, Kinga, Maadili na Madaraka ya Bunge, ripoti kukabidhiwa kwa Spika..

Vielelezo kuhusu nini? UDHAIFU/UOZO wa bunge? Nyie hamvijui vielelezo hivyo hadi mvifanyie kazi? Mtavifanyia kazi kwa muda gani? Wiki, mwezi, mwaka? 😳😳😳

Mnazidi kuthibitisha jinsi mlivyo DHAIFU!

Mwenyekiti wa kamati ya maadili ya bunge amesema CAG ameonyesha ushirikiano wa kutosha na kwamba vielelezo alivyowasilisha bado wanavifanyia kazi.

Mwenyekiti huyo amesema kwa mujibu wa kanuni wakimaliza uchunguzi wao watakabidhi ripoti kwa mleta shauri ambaye ni Spika wa bunge kwa hatua zaidi za kisheria.

Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
 
Vielelezo vingine huitaji utaalamu kuvithibitisha.......usikariri mkuu!
 
Mwenyekiti wa kamati ya maadili ya bunge amesema CAG ameonyesha ushirikiano wa kutosha na kwamba vielelezo alivyowasilisha bado wanavifanyia kazi.

Mwenyekiti huyo amesema kwa mujibu wa kanuni wakimaliza uchunguzi wao watakabidhi ripoti kwa mleta shauri ambaye ni Spika wa bunge kwa hatua zaidi za kisheria.

Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Vielelezo vinachunguzwa na auditor wa Ndugai!
 
Mwenyekiti wa kamati ya maadili ya bunge amesema CAG ameonyesha ushirikiano wa kutosha na kwamba vielelezo alivyowasilisha bado wanavifanyia kazi.

Mwenyekiti huyo amesema kwa mujibu wa kanuni wakimaliza uchunguzi wao watakabidhi ripoti kwa mleta shauri ambaye ni Spika wa bunge kwa hatua zaidi za kisheria.

Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Ndugai ni mgonjwa anatakiwa kuwa wodini kwa matibabu zaidi
 
Back
Top Bottom