Dodoma: Mussa Assad(CAG), ahojiwa na Kamati ya Haki, Kinga, Maadili na Madaraka ya Bunge, ripoti kukabidhiwa kwa Spika..

Niwakati mwafaka wa kuelezea udhaifu wa Bunge mbele ya Kamati ya Haki, Kinga, Maadili na Madaraka ya Bunge
 
Uzuri ni kwamba kila akiitwa CAG kuhojiwa mambo ndio hutibuka zaidi kwa wale waliofichwa fichwa kwenye zile scandal zetu za escrow
 
Safi sana Komredi alhaj Prof Assad........ Mwaga madini mkuu wangu!

Ili nchi iendelee inahitaji Watu siyo binadamu na wewe ni mmoja wa watu wachache sana tuliopo Tanzania.

Maendeleo hayana vyama!
 
Nadhani wamemuita ili waje wapige tu story mbili tatu lakini sio kujadili kitu ambacho ni uhalisia wa Bunge letu lisilo na mbele wala nyuma.


Kabla ya Mazungumzo inabidi Job amwombe radhi kwa kumdhalilisha Assad kwa ile kauli " tunakuomba ufike kwenye kamati ya maadili ya bunge tarehe 21 au utaletwa kwa Pingu ?

Sent from my SM-J530F using Tapatalk
 
Mpaka sasa ndie spika alivurunda hilo halina ubishi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…