DODOMA: Mahakama yamuachia huru Kubenea, Polisi wamdaka tena

Kumbe alipiga mtu hapa nadhani kesi imesetiwa upya ni mwaka mmoja gerezani akitubu ataachiwa ila asirudie kupiga watu yeye si polisi ni mbunge alijisahau sana Kubenea.
 
Kumbe alipiga mtu hapa nadhani kesi imesetiwa upya ni mwaka mmoja gerezani akitubu ataachiwa ila asirudie kupiga watu yeye si polisi ni mbunge alijisahau sana Kubenea.

Kwenye umaluziaji umejikwaa chief, hata polisi haruhusiwe popote na sheria yeyote kupiga watu
 
Mahakama ilikua sahihi kumuachia huru,Dpp nae yupo sahihi kumkamata tena kama anaamini anao ushahidi wa kutosha
 
Back
Top Bottom