Dodoma leo: Waraka wakusanywa

Dodoma leo: Waraka wakusanywa

Hii yote inasababishwa na unafiki wa mkuu wa kaya,akiwa kwa wadau wengine anasema tuweke pembeni tofauti za vyama vyetu,akiwa kwenye vikao vya chama anaunga mkono kuandaa rasimu ya kijinga ya ccm'
 
Jamani hii kura ya wazi kwani ndio CCM wameangushwa kweli?? tupeni updates tunajaa sn kujuwa kila kinachotokea huko
 
Ccm inawalazimisha wajumbe kutoka ccm waamini wa serikali mbili bila hoja!
 
Back
Top Bottom