Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,498
- 272,174
Vibaraka wa slaa mnahangaika kweli
hivi wewe masikini wa akili na kipato huoni aibu kuitetea ccm ? Hivi una wazazi kweli wewe ? Nawahurumia sana wazazi wako , WAMEKULA BONGE LA HASARA !
Vibaraka wa slaa mnahangaika kweli
ccm inafanya siasa za kishamba na zilizopitwa na wakati vibaya mno ! Hivi ni akina nani ni washauri wa hiki chama ? HAKIKA CCM ITAKUFA NA HAITARUDI TENA .
huo waraka umeandikwa na yericko nyerere na ben saanane pale ufipa.
Unatuota sana kila sekunde
Ccm daima
Nijuavyo ccm itatangulia kufa.
ha ha ha...., mkuu hapo mwisho umeuaaasijamuona Msalani aje hapa atetee kwa maslahi ya lumumba,ccm walisha kosa mamlaka mda mrefu sana ya kutawala
kinacho waweka madarakani ni vyombo vya usalama wa nchi tu,
jana HAPHREY POLEPOLE kamishina wa tume ya mabadiliko ya katiba alisema jambo moja kuwa waraka wa ccm umesha feli kabisa maana yale mambo ya msingi hasa ya kudhibiti madaraka ya rais wao ccm wamesema kuwa yatungiwe sheria,
sasa kama ccm wao wenyewe hawataki madaraka ya rais yadhibitiwe wameridhika na utawala huu na hizo zilizotengulia,maana anaamka rais LEO anasema MVURA wewe ni katibu wangu hotuba,na hakuna mtu yeyote anayeweza hata kuhoji
ccm uwezi mpa mtu kama Nape ukatibu wa itikadi na uenezi zao la daraja la 4 la mwisho ukategemea mikakati yako isivuje
Vibaraka wa slaa mnahangaika kweli
huo waraka umeandikwa na yericko nyerere na ben saanane pale ufipa.
namuota mkeo wa kichina
namuota mkeo wa kichina
Laana iwe juu yao wale wote wanaokwamisha mipango mizuri ya Nchi yangu including utaifakwanza faizafox lusungo simiyuyetu &co.
huo waraka umeandikwa na yericko nyerere na ben saanane pale ufipa.
ikurudie wewe
namuota mkeo wa kichina