YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 51,992
Marufuku za Magufuli kweli zimebana matumizi. Mji wa Dodoma uliokuwa unafurika watu hadi machangudoa toka Arusha na kenya kiasi cha kufanya upatikanaji hoteli kwa wageni kuwa shida sasa hivi hakuna. Hoteli nyingi tupu wageni wa waheshimiwa yaani machangudoa and company limited wamekosa wa kuwagharimia.
Magari aina ya mashangingi yaliyokuwa yakionekana kila kona ya Dodoma yakiranda randa yakiwa na vichangudoa kipindi cha bunge sasa hivi hali tofauti kabisa.Ukiliona ni moja moja tu.
Mji umetulia mno tofauti na miaka yote.Wageni ni wachache.Tofauti na miaka ya nyuma ambako wageni wanaokuja kwa gharama za serikali walikuwa nafikiri mara 20 ya wabunge