Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,153
- 137,159
Kama hiki alichokisema Waziri Mkuu Majaliwa leo ni cha kweli [siku hizi ni muhimu kuzi qualify kauli zetu zinazowahusu viongozi wetu], basi serikali hii ya Mama Samia itaendelea kufanya kazi ikiwa Dodoma, na si kurudi tena Dar.
Kama hivyo ndivyo, basi ni jambo zuri sana. Maana hakuna haja ya kurudi tena Dar na kuingia gharama zisizo na ulazima.
Sikupenda na sikuona ulazima wa kuhamia Dodoma. Lakini kwa vile ishatokea, basi waendelee nayo tu hivyo hivyo.
Hii ni habari njema!