mjombajona
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 262
- 50
Naomba mwenye uelewa mzuri na "jiji" la Dodoma anieleze wapi nitapeleka gari langu kufanya marekebisho kidogo ya Bodi ya gari langu dogo la kutembelea.
Si kwamba sizijui gereji, ila wapi wazoefu wa hii kazi hata wakikufanyia gari inaonekana kama haikuumia....
Si kwamba sizijui gereji, ila wapi wazoefu wa hii kazi hata wakikufanyia gari inaonekana kama haikuumia....