Dodoma: Dereva wa Tundu Lissu, Dr. Mashinji, Watakiwa kuripoti Polisi, Magari 8 Nissan Patrol yakamatwa

Basi wasimhoji badala yaje wahoji watu wasiojulikana, full stop
Namaanisha kwa ajili ya kupata full story of what happened si jambo ambalo lipo wazi kuwa Driver wake alikuwa nae mpaka anapelekwa hospital na kama sikosei kwenye picha zilizosambaa kama ni yeye alikuwa ameshika kama nguo zenye damu, si wangemwita wakapata taarifa kuwa ilikuwaje?, mbona hawajafanya hivyo? walikuwa wanatengeneza mazingira gani ya kuja kumwita baadae? au ndo wanangoja Tundu atoke hospitali akafungue RB. mimi naona kama kuna jamabo nyuma ya pazia
 
Kidogo nimekuelewa. Ni kama wamechelewa kumhoji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu utu umewatoka kabisa Mkuu wangu,

Kama Gari ya hao jamaa ilikaa sambamba na ya Lissu,
Na Pengine idea ya kulala aliitoa dereva means nae alilala basi logically Tundu Lisu alikua yuko katikati ya dereva na Wauaji,

Haihitaji degree kujua kua tundu Lisu ndie aliekua "ngao/Kinga" ya risasi kumfikia dereva.
Risasi inapiga mara moja tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini polisi hawakumuoji dereva wa Lissu siku ya tukio?

Polisi walianzaje uchunguzi bila ya kujua jinsi tukio lilivyoanza tokea mwanzo mpaka mwisho? Na mtu pekee wa kuelezea alikua ni dereva wa Lissu?

Kwanini Polisi wanatangaza kwenye vyombo vya habari kuwa wanamsaka dereva wa Lissu badala ya kumpigia simu na kufika kituo cha polisi kwa mahojiano?
Wanahusika na Sana Sasa wanataka kumtisha dereva
 
Tusubirini ajisalimishe, no need ya kum-judge et kwanin alilitegesha gari, imagine ungekuwa dereva pengine ungefanya worse than he did, lkn pia hawa polisi waliowafungua geti pia wana issue ya kujib, time will tell
 
Waombe tu msaa wa FBI au Interpol naona wanafanyia kazi hili suala kimazoea sana.Siwaaamini kabisa
 
dereva kawasaidie polisi "ila ina maana kuwa ni kweli walizi hawakusikia?????????????????????????
 
Je lissu anawezaje kuwa mzembe kiasi cha kukubalia kuendeshwa Na Dereva asiyemuamini?

1. Kuna hoja kuwa kwanini Dereva wa lissu ndugu Adam hajapatwa Na risasi hata moja? Hii nitaijibu kwa mifano miwili hai.

- Hivi rais JKL alivyouwawa Dereva wake alipigwa risasi? Kwaiyo Dereva wake ndo alishiriki kumuua?

- Sheikh abood rogo aliuwawa akiwa Na baba mkwe wake ,je baba mkwe wake alipigwa risasi ? Kwaiyo baba mkwe wake alishiriki kumuua?

Hivi Dereva kupigwa risasi ndo kithibitisho kuwa hajahusika? Au Dereva kutokupigwa risasi ndo kithibitisho kuwa alihusika?

Kama Dereva anahusika baada ya wauaji kukimbia kwanini hakummaliza lissu akaamua kumkimbiza hospitali?

2. Kuna hoja kuwa baada ya Dereva kujua anafwatiliwa kwanini hakwenda sehemu yenye usalama? Hivi hoja nitaijibu kama ifwatavyo.

- Je mtaa wanaishi viongozi mbalimbali kama spika ,mawaziri,waziri Mkuu, wabunge sio sehemu salama? Kweli?

-Je ndo Mara ya kwanza kwa lissu kufwatiliwa? Hamuoni kama lissu alihisi watafwatiliwa kisha wataachwa kama ilivyo kuwa kawaida?

Kama Dereva anahusika kwanini alimzuia lissu asishuke kwenye gari baada ya kuona gari lililokuwa linawafwata bado lipo?

Ingekuwa Dereva anashirikiana nao si angemuacha lissu ashuke kwenye gari ili wauwaji wapate "clear shot"?

3. Kuna hoja kuwa kwanini baada ya lissu kwenda Nairobi Dereva kakimbia /kajificha ,Hii ni hoja dhaifu kuliko zote lakini nitaijibu

-Je mlienda nyumbani kwa Dereva wa lissu hamkumkuta ? Sasa kwanini mnasema kajificha? Mlitaka kumuona wapi?

- Je polisi walimpigia simu Dereva wa lissu aende kituoni akakataa?
Kwanini mnasema kajificha/kakimbia.

mr mkiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo mnatangulixa Siasa zaidi ya uhalisia. System ikutake kwa dhati itumie njia hizo? Big no. Nyie pambaneni na hali yenu ya kuutaka urais ndani ya SACCO yenu. Msicheze na system hata kidogo. Hata hiyo story ya premio aliyoitamka Lissu kwamba inamfuatilia na kama ni kweli ni wahuni wa mjini tu na si vinginevyo. Eti mpaka ataje na namba za gari. Wakufuatilie watu professional kwa gari aina moja na namba the same?????? Duh! Hakunaga kitu kqma hivyo. Watu wamemtibu halafu mnakimbilia Nairobi eti mnaomna na ulinzi!! Dodoma waliomtibu ni akiwemo na Katibu mkuu wa wizara ya afya. Hao wako CDM? Mnakuza jambo dogo tu la kawaida kuwa kuuubwa. Siamini hii ni siasa na kama ni siasa basi si ya ndani na kama ni ya ndanj basi ndani kwenu huko huko CDM.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeona ni jambo dogo mtu kumiminiwa rundo la risasi.
Unakejeli hata utu huna!!
Mtaunguzwa na moto kwa Mungu!!
Tanzania si utawala wa kitemi ujue!!
 
Kwanza kabisa mods iacheni hii thread ijitegemee. Msiiunganishe kwingine.

Wadau nawasalimu sana.

Nashukuru kusikia kuwa Watanzania na napenda haki duniani tunaendelea kumuombea Lissu. Baraka za Mungu ziwafikie wote wanaozidi kupaza maombi yao kwa ajili ya ndugu yetu Tundu Antiphas Mughwai Lissu.

Naomba kutoa tahadhari juu ya hili la Dereva wa Lissu kuitwa ili akaripoti Polisi kuhusiana na Shambulio kwa Lissu. Nahisi kuna Mbuzi wa kafara anatafutwa kwa nguvu zote. Msije kushangaa kusikia kuwa huyu Dereva anaambiwa kuwa uchunguzi umeonyesha kuwa alihusika kupanga njama za kushambuliwa boss wake na hivyo akashtakiwa kwa kushiriki kupanga mauaji. TAKE CAUTION and WATCH IT.

Kwa mara nyingine naomba tuendelee kumuombea Lissu.

Kaka hizo ni ramli, ikiwa atatuhumiwa kushiriki kupanga njama maana yake atatakiwa kuwataja waliohusika kufanya shambulio, nao itabidi wakili kushirikiana naye.
 
Tatizo mnatangulixa Siasa zaidi ya uhalisia. System ikutake kwa dhati itumie njia hizo? Big no. Nyie pambaneni na hali yenu ya kuutaka urais ndani ya SACCO yenu. Msicheze na system hata kidogo. Hata hiyo story ya premio aliyoitamka Lissu kwamba inamfuatilia na kama ni kweli ni wahuni wa mjini tu na si vinginevyo. Eti mpaka ataje na namba za gari. Wakufuatilie watu professional kwa gari aina moja na namba the same?????? Duh! Hakunaga kitu kqma hivyo. Watu wamemtibu halafu mnakimbilia Nairobi eti mnaomna na ulinzi!! Dodoma waliomtibu ni akiwemo na Katibu mkuu wa wizara ya afya. Hao wako CDM? Mnakuza jambo dogo tu la kawaida kuwa kuuubwa. Siamini hii ni siasa na kama ni siasa basi si ya ndani na kama ni ya ndanj basi ndani kwenu huko huko CDM.

Sent using Jamii Forums mobile app
hakuna information ya kupuuzia katika hili, hata hili la premio ukute ni framing, ni lazima itafutwe ikamatwe na wajue ni nani?. yawezekana wanatuchezea ili kuchafua serikali.
 
Kwa taarifa ya Mh Mbowe Driver wa Tundu Lissu Ndugu Adam Bakari yuko Nairobi akiendelea kupewa Huduma ya Kisaikolojia maana hayuko sawa.
 
53b73c84c9e70560db3543495cc

Pia amesema jeshi lisiingiliwe na tukio hilo lisipelekwe kisiasa na kuchochea wananchi kuichukia serikali yao,

UNGELIJUA WALISHAICHUKIA TAYARI, ITAFUTE KUJIKOSHA TU.
 
Kwanza nimuombee duwa lisu apate nafuu apone kwa haraka

Mtumiwa WA kwanza kabisa kuojiwa anatakiwa awe ni Dereva aliekua anamuongoza mh tundu lisu yy lazima aliwaona watu hao wakiwa wanaingia getini au wanatoka getini bahada ya kufanya uwalifu wao WA hajabu yy hakujeruhiwa hatujui wala tusimuhukumu alikuwa katika eneo lipi la Gari au alikuwa ndani au alikuwa ameshuka ndani ya Gari Na kama alishuka alikaa pembeni akishudia watu hao wakirusha risasi na kutambua watu hao kama walikuja wakivaa mask usoni au walikuwa nyuso zao zipo wazi. Namini Dereva ni MTU mzima Na akili timamu WA kutambuwa MTU tuvute subira mda ndio utatujuza zaidi

Mume anapovamia Na majambazi chumbani wakwanzza kuojiwa huwa ni Mke kwani ndio anaejuwa majambazi yalivyoingia au purukushani ilivyotokea
Nawasi sana viongozi WA cdm wampeleke Dereva Wa tundu lisu police akaojiwe ili tupate tarifa
Tubaki tunamsubiria lisu apone aje atupe hali halisi ilivyokua
 
Aache kulia nae Boss wake uje ulie nae wewe??
Maajabu
 
Subiri Bomu kubwa kutoka Nairobi,mtatafutana kwa tochi

Lissu ataje asitaje?
 
Back
Top Bottom