Acheni ufala nyie. Dodoma ndio jiji linalokua kwa haraka kuliko Mwanza, Arusha, Mbeya au Tanga. Hata Dsm itapitwa maana serikali inalijenga jiji la Dodoma KWA MAKUSUDI. Tutafutane kwenye huu uzi baada ya miaka mitano muone picha zake.
Tena ungekua muungwana hata ungepiga picha ya jengo la LAPF hapo Makole ukaweka kisha ndio uulize viswali vyako uchwara. Shwaaaiin
Sent using
Jamii Forums mobile app