Mwana Kwetu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2011
- 652
- 607
wameshtuka, wamekuogopa na huo mtambo wako wa kupachikia mimba
Kweli Dodoma imaekaa nyeusi sana nilikuwa pande hizo few dayz ago...niliambulia kapa acha kabisaNimekuja hapa Dodoma sijapata mdada mwenyeji kabisa wa kunikaribisha mpaka nabakia mpwekee. Naomba mmoja ajitolee basi ani host leo jamani au mmebanwa kiasi hicho? kuni host si maanishi mnipatie malazi No mi nahitaji Company ya kuzunguka hapa mjini kwani niko self contained. I'm serious kwa yule mwenye upendo wa DHATI PLEASE PLEASE I need your company kwani ziara za kuzunguka zoote I will pay. plz!!!!!!!!!!!!! PM me au hata socialization kwa gharama zangu mnakuwa wachoyo?.
Kweli Dodoma imaekaa nyeusi sana nilikuwa pande hizo few dayz ago...niliambulia kapa acha kabisa
Mwanakwetu usiendekeze hizo bana! Yaani unataka kila ukifika mahala upate mdada wa kukutoa upweke! tena unajinadi bila haya kwamba umejiandaa kwa mapesa ya mizunguko yote! huku ukisisitiza mwenye upendo wa dhati ambao wewe mywenyewe huna ila ni kiasi cha kuuburudisha moyo wako! LOL
Ukikutana na jini huko utamlaumu nani?Acha mambo hayo ya kukutana na watu usiowajua si mazuri.Nimekuja hapa Dodoma sijapata mdada mwenyeji kabisa wa kunikaribisha mpaka nabakia mpwekee. Naomba mmoja ajitolee basi ani host leo jamani au mmebanwa kiasi hicho? kuni host si maanishi mnipatie malazi No mi nahitaji Company ya kuzunguka hapa mjini kwani niko self contained. I'm serious kwa yule mwenye upendo wa DHATI PLEASE PLEASE I need your company kwani ziara za kuzunguka zoote I will pay. plz!!!!!!!!!!!!! PM me au hata socialization kwa gharama zangu mnakuwa wachoyo?.
Kwani hilo lina tatizo gani happy na elewa si kila mahali rafiki sijajiandaa kwa mipesa kwa sababu hiyo tu. Upendo wa dhati hata kwenye ndoa zenyewe hamna itakuwa huku mtaani ila sema wako wadada wema ambao wanakuja kwa malengo mawili likiwapo la uporaji. Sasa mimi nazungumzia wale ambao wako tayari ku create new friends kwani haitakuwa mwisho wa kuonana. halafu elewa natafuta host
sawasawaNenda chako ni chako ucku au club la aziz upweke wako utaisha kabsaaaaaaaa
ciello ni wewe au ama nakufananishawanaume bwana!akifanya hivyo bint ataitwa majina weee ila wakifanya wao correct
tehehehe!wadau bwana....Kweli Dodoma imaekaa nyeusi sana nilikuwa pande hizo few dayz ago...niliambulia kapa acha kabisa
ashapachika wangapiwameshtuka, wamekuogopa na huo mtambo wako wa kupachikia mimba