donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,139
Happy Friday [emoji16][emoji16]View attachment 2172225View attachment 2172226View attachment 2172227View attachment 2172228View attachment 2172229
Ndio hivo mkuu lazima ujipangeTatizo ada
watoto wangu lazima nitawapeka huko, kila siku nahapa
Mungu akujaalie mkuuwatoto wangu lazima nitawapeka huko, kila siku nahapa
Ahsante sana mkuu,Mungu ni mwemaMungu akujaalie mkuu
Kila wakatiAhsante sana mkuu,Mungu ni mwema
nahapa.....watoto wangu lazima nitawapeka huko, kila siku nahapa
mimi ni mcongo,kiswahili tabu, ni kuhapa au kuapa ? kiapo kama wanachoapaga wanasiasa
Sawa mcongo, ila hata wahutu wanaandila kuhapa.mimi ni mcongo,kiswahili tabu, ni kuhapa au kuapa ? kiapo kama wanachoapaga wanasiasa
Nilivyosoma hilo neno tu nikajua hamna kitu hapo, huyo uwezo wake sidhani kama utatosha kununua IST gari