Wakuu ninaangalia kipindi Star TV kinachoonyesha maisha ya watu wa vijijini huko dodoma. Inaumiza sana maana watu wamekata tamaa na maisha maana ardhi imechoka na uzalishaji ni mdogo sana.
Watoto wanaenda shule nusu mwaka wakati kukiwa na chakula tu kikiisha wanaanza kwenda porini kuhemea. shule ndo zinategemewa kuwapa watoto chakula, kikiisha hata shule hawaendi mpka kikija tena ndo wanarejea. Inamaana watoto wanaenda shule kwa sababu ya chakula tu.
Wanawake wanasota maana waume zao wanawakimbia.
Haitakusaidia kufanya propaganda za kijinga kama hizi. Wataanzania ndiyo wanaoumia na tayari wapo watu wa kuwasemea sasa hivi si kama ilivyokuwa zamani kwamba mateso yao mliweza kuyaficha kwa propaganda kama hizi.Star TV wanaonesha wimbo wa Ali Kiba, Dushelele. Jamani hata kama mmeruhusiwa kupost mnachojisikia lakini muwe mnajitahidi kudanganya kwa kutumia kichwa.
Ngonini... Dodoma ni mkoa wenye matatizo makubwa sana
kwanza watu wake wana uvivu fulani,,,, ukweli mtupu
pili wana hali mbaya ya ardhi
tatu ni watu wasiojua au wasiopenda mabadiliko
what you see in dodoma, is typical ya mikoa yote ambayo CCM wamewachota
usishangae, ni mpaka watakapoamka then ndio utaona hali inakua tofauti
Mkuu Ngonini huo ndo mtaji wa CCM....na kauli mbiu yao TUMETHUBUTU,TUMEWEZA NA TUNASONGA MBELE...wamewafanya wananchi vijijini washindwe kuelewa haki zaoWakuu ninaangalia kipindi Star TV kinachoonyesha maisha ya watu wa vijijini huko dodoma. Inaumiza sana maana watu wamekata tamaa na maisha maana ardhi imechoka na uzalishaji ni mdogo sana.
Watoto wanaenda shule nusu mwaka wakati kukiwa na chakula tu kikiisha wanaanza kwenda porini kuhemea. shule ndo zinategemewa kuwapa watoto chakula, kikiisha hata shule hawaendi mpka kikija tena ndo wanarejea. Inamaana watoto wanaenda shule kwa sababu ya chakula tu.
Wanawake wanasota maana waume zao wanawakimbia.
Wananchi wale sio wavivu tatizo ni ardhi na hali ya hewa kwamba mvua hazitabiliki na hazitoshelezi. Serikali ya CCM inakwepa jukumu lake la kuwaongezea tija (labour productivity) wananchi wale hivyo inabuni uongo na kuwasingizia kuwa ni wavivu. Kukosa chakula kunaisaidia CCM kwani wakati wa uchaguzi wana peleka chakula cha msaada ili kununua kura zao. Wabunge waliojichokea kama Livingstone Lusinde badala ya kujenga hoja bungeni za kuwasaidia wananchi wale wao watatumia dakika 15 kumpongeza Jakaya kwa kuchaguliwa kwa kishindo na kuwasifia wake na mahawara zao.Ngonini... Dodoma ni mkoa wenye matatizo makubwa sana
kwanza watu wake wana uvivu fulani,,,, ukweli mtupu
pili wana hali mbaya ya ardhi
tatu ni watu wasiojua au wasiopenda mabadiliko
what you see in dodoma, is typical ya mikoa yote ambayo CCM wamewachota
usishangae, ni mpaka watakapoamka then ndio utaona hali inakua tofauti
Uko sahihi kwa kiasi kikubwa ktk mchango wako, lkn natofautiana na wewe kwenye uvivu ambalo wengi wasiofahamu mazingira ya dodoma wamekuwa wakiamini hivyo, wakazi wa Dodoma kama ilivyo sehemu nyingi za Tz na afrika kwa ujumla wanategemea kilimo cha jembe la mkono kilimo ambacho hakina uhakika wa kupata mavuno, msimu wa mvua kwa mkoa huu ni mfupi sana miezi 2-3 kwa mwaka wakati mwingine chini ya hapo, utakuta mkulima anaamka saa 11 alfajiri na kurudi saa 12 jioni lkn anachokipata ni chini ya gunia moja kwa ekari. kwamsingi huo mkulima huyu masikini hawezi kujitoa katika umasikini alionao bila kuwezeshwa. Kilimo pekee kinacho weza kuinua maisha
wakazi wa Dodoma ni kilimo cha zabibu, hatahivyo kilimo hiki kinahitaji mtaji mkubwa sana kiasi ambacho wengi hawamudu. hivyo uwezeshaji kutoka serikalini au taasisi za kifedha(maarifa/fedha) unahitajika sana.