Documentary: Shimo kubwa liliachwa Mgodi na EBG Pori la Biharamulo, upo chini ya STAMICO

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,573
Kwanza namshukuru JPM kwa kusimamia ukweli; Najua Raisi ni mzaliwa wa maeneno yanayoathirika na ubadhirifu wa mazingira Biharamulo na Geita kutokana na utajiri wa GOLD.

NASHUKURU KWA KUSHIKILIA KONTENA ZA MCHANGA.
BIHARAMULO- Uchimbaji wake ni open cast

upload_2017-4-18_8-22-28.jpeg
images

aya mashimo yapo wazi' yametelekezwa na EBG ; Sijui

Geita wanatumia undeground; MJI WOTE UNAELEA JUU
images
images

ANGALIA DOCUMENTARY ;
BIHARAMULO at DuckDuckGo
 
Bado sio hasara, unaweza tafuta njia mbadala ya matumizi ya hayo mashimo na mahandani pindi yanapomaliza kazi zake, mfano. Vituo maalum vya siri vya kijeshi na majaribio ya kibaologia na kikemia.
imebidi nicheke tu ; kwa ubunifu wako
no comment
 
Kwanza namshukuru JPM kwa kusimamia ukweli; Najua Raisi ni mzaliwa wa maeneno yanayoathirika na ubadhirifu wa mazingira Biharamulo na Geita kutokana na utajiri wa GOLD.

NASHUKURU KWA KUSHIKILIA KONTENA ZA MCHANGA.
BIHARAMULO- Uchimbaji wake ni open cast

View attachment 497654
images

aya mashimo yapo wazi' yametelekezwa na EBG ; Sijui

Geita wanatumia undeground; MJI WOTE UNAELEA JUU
images
images

ANGALIA DOCUMENTARY ;
BIHARAMULO at DuckDuckGo
Habari yako ina maana ila nafikri imepungukiwa taarifa somewhere, tuwekane sawa hapa!
1.mgodi wa Geita umekuwa ukichimbwa kama mgodi wa wazi"open pit" kwa miaka mingi iliyopita, ni mwaka jana tu wameanza kuchimba underground na hawajaenda mbali kiasi cha Geita kuelea
2. Bulyanhulu iliyoko kakola, kahama ndo wamekuwa wakichimba underground kwa miaka mingi
3.Kwa sasa huu mgodi wa Biharamulo ambao uko mikononi mwa shirika la serikali "STAMIGOLD" nao wanachimba underground pia. ABG kama walituachia mashimo makosa ni yetu wenyewe maana wao miaka yote walikuwa wakitenga hela za kurudisha mazingira kwenye hali ya kufanana na hali ya mwanzo "rehabilitation" ila walivyoona kilichopo chini hakiwalipi wakamuchia mgodi serikali na tukaomba hizo hela zikatumika kama mtaji kuanza uchimbaji. Biashara hii ya kuchimba sasa sijui kama inatulipa au haitulipi..sipo huko ila nina hoFu sisi (serikali) itaacha mazingira mabaya kuliko hata hayo waliyoacha ABG..nawaza tu lakini.
 
Je, uajua Geita kuna Migodi Mingapi? Je, unajua maeneo ya Migodi yako sehem gani na Mji wa Geita upo sehem gani(distance between)? Je, unajua kuna underground pi ngapi?
Kama ABG nasikia kuacha kuchimba walifika bulyakulu through undeground. wakaona waendelee na bulyankuru.

watakuwa wanachimba Biharamulo kupitia Bulyankuru

aliyetuloga...............
 
Bado sio hasara, unaweza tafuta njia mbadala ya matumizi ya hayo mashimo na mahandani pindi yanapomaliza kazi zake, mfano. Vituo maalum vya siri vya kijeshi na majaribio ya kibaologia na kikemia.
naunga mkono hoja, jaza maji fugia samaki maana hiyo ni kati ya fursa tuazoambiwa mkuu.
 
Kama ABG nasikia kuacha kuchimba walifika bulyakulu through undeground. wakaona waendelee na bulyankuru.

watakuwa wanachimba Biharamulo kupitia Bulyankuru

aliyetuloga...............
Wewe kichwa kikubwa,,, aisee
 
Habari yako ina maana ila nafikri imepungukiwa taarifa somewhere, tuwekane sawa hapa!
1.mgodi wa Geita umekuwa ukichimbwa kama mgodi wa wazi"open pit" kwa miaka mingi iliyopita, ni mwaka jana tu wameanza kuchimba underground na hawajaenda mbali kiasi cha Geita kuelea
2. Bulyanhulu iliyoko kakola, kahama ndo wamekuwa wakichimba underground kwa miaka mingi
3.Kwa sasa huu mgodi wa Biharamulo ambao uko mikononi mwa shirika la serikali "STAMIGOLD" nao wanachimba underground pia. ABG kama walituachia mashimo makosa ni yetu wenyewe maana wao miaka yote walikuwa wakitenga hela za kurudisha mazingira kwenye hali ya kufanana na hali ya mwanzo "rehabilitation" ila walivyoona kilichopo chini hakiwalipi wakamuchia mgodi serikali na tukaomba hizo hela zikatumika kama mtaji kuanza uchimbaji. Biashara hii ya kuchimba sasa sijui kama inatulipa au haitulipi..sipo huko ila nina hoFu sisi (serikali) itaacha mazingira mabaya kuliko hata hayo waliyoacha ABG..nawaza tu lakini.
Kwa hili pia Mr Denis Sebugwao atapaswa ahusike na kutoa maelezo yakina, yeye kama General Manager
 
Kama ABG nasikia kuacha kuchimba walifika bulyakulu through undeground. wakaona waendelee na bulyankuru.

watakuwa wanachimba Biharamulo kupitia Bulyankuru

aliyetuloga...............
Mkuu.....
Ebu achaneni na stories za vijiweni.
Naomba bora kukaa kimya kama haujui jambo, kuliko kujiharishia hadharani kwa namna hii
 
Je, uajua Geita kuna Migodi Mingapi? Je, unajua maeneo ya Migodi yako sehem gani na Mji wa Geita upo sehem gani(distance between)? Je, unajua kuna underground pi ngapi?
migodi hipo mingi ; kuanzia BAKRIFU, GEITA ATA MATABABE;
Ungesema shughuli za uchimbaji ushafika mjini through undegroung??
nenda usawa wa nyumba ya mkuu wa wilaya huo mlima watu wapo chini
 
Kwanza namshukuru JPM kwa kusimamia ukweli; Najua Raisi ni mzaliwa wa maeneno uyanayoathirika na ubadhirifu wa mazingira Biharamulo na Geita kutokana na utajiri wa GOLD.

NASHUKURU KWA KUSHIKILIA KONTENA ZA MCHANGA.
BIHARAMULO- Uchimbaji wake ni open cast

View attachment 497654
images

aya mashimo yapo wazi' yametelekezwa na EBG ; Sijui

Geita wanatumia undeground; MJI WOTE UNAELEA JUU
images
images

ANGALIA DOCUMENTARY ;
BIHARAMULO at DuckDuckGo
Mkuu R.B
Thanks for this.
Nijuavyo mimi mikataba ya madini dunia nzima ina kipengele cha rehabilitation and restoration baada ya shughuli za uchimbaji kumalizika. Ila kwenye hii migodi ambayo mchanga unasombwa, sijajua hiyo rehabilitation na restoration itafanyika vipi, hivyo it's obviously watatuachia mashimo and no one knows mikataba yao inasemaje haswa ya hawa wasomba michanga kwenye makontena, watafanya restoration kwa kujaza nini? .

Paskali
 
MUNGU MWEMA ; AKSANTE MAGUFURI , UNAJUA KILA KITU NDO ULIPIMA ARDHI YA BIHARAMULO;

ILO SHIMO LIFUKIWE
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom