doctor twawaomba msitupasuwe vichwa badala ya miguu

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,890
doctor wetu poleni sana. mimi nawaombeni kama watawalazimisha kwenda kazini nanyi mkakubali, basi nawaombeni mtuonee huruma. Muogopeni Mungu jamani, msitupasuwe vichwa badala ya miguu sababu kosa siyo letu wananchi bali la serikali iliyojiweka madarakani. ingekuwa imewekwa madarakani na wananchi basi ingewasikiliza wananchi wake. ni hayo tu jamani. Mia
 
msihofu wagonjwa wetu!!mkituona tumerudi mjue tumerudi kikazi zaidi!!hatutawapasua vichwa badala ya miguu ila sana sana kwa sababu ya kufikiri hizi kauli za kibabe za serikali iliyojiweka madarakani tutasahau tu mikasi vichwani na matumboni!!!
 
Back
Top Bottom