kamanda mkuu
Member
- Aug 5, 2011
- 15
- 4
Doctor WILBROD SLAA kesho anatarajiwa kuwasili ktk mkoa wa mbeya ni kwa ajali ya kuja kuwashukuru watu wa nzovwe na mbeya vijijni kwa jinsi walivyoonyesha moyo wao wa kuiamini chadema;ikumbukwe kuwa kata ya nzovwe ilikuwa ikishikiliwa na chadema na diwani wake kujiudhuru lakini licha ya yote wananchi wa nzovwe bado waliendelea kuimini chadema na kuipa ushindi wa kishindo