Doctars nahitaji msaada wenu!

Oyono

JF-Expert Member
Sep 9, 2013
222
195
Doctars mimi nna matatizo mawili! 1.sipati ham ya kunywa maji yaani inafikia ha2a najilazimisha kunywa kama anae kunywa dawa!. 2.mgongo, kiuno vinaniuma kama vile mzee wa miaka 80 wakati umri wangu 22yrs!, pls naomba mnisaidie dawa kama ipo!
 
Crispin Nyoni

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
413
195
Doctars mimi nna matatizo mawili! 1.sipati ham ya kunywa maji yaani inafikia ha2a najilazimisha kunywa kama anae kunywa dawa!. 2.mgongo, kiuno vinaniuma kama vile mzee wa miaka 80 wakati umri wangu 22yrs!, pls naomba mnisaidie dawa kama ipo!

1.Ili upate hamu ya kunywa maji jitahidi ule ugali wa dona na pia ule makande. Vyakula hivi ule mara kwa mara.
2. Hili la maumivu ya mgongo yahitaji physiotherapy. Fanya zoezi la kutembea kwa miguu japo nusu saa kila siku. Pia nenda duka la dawa ununue wild tiger na ujichue nayo huku unaendelea na mazoezi. Kwa tiba yeyote utakayopewa ikafaa au isifae tuletee mrejesho.
 
MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
40,680
2,000
Doctars mimi nna matatizo mawili! 1.sipati ham ya kunywa maji yaani inafikia ha2a najilazimisha kunywa kama anae kunywa dawa!. 2.mgongo, kiuno vinaniuma kama vile mzee wa miaka 80 wakati umri wangu 22yrs!, pls naomba mnisaidie dawa kama ipo!
Dawa yake fanya mazoezi ya viungo utapata kiu ya kunywa maji na upendelee kunywa maji ya uvuguvugu jaribu kutembelea hapa uone faida ya ya kunywa maji ya uvuguvugu bonyeza hapa https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/365977-muujiza-ya-matibabu-kwa-maji-ya-moto-kunywa.html
 
Mamndenyi

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
31,600
2,000
Sijui hata kama kuna hamu ya kunywa maji; maji unakunywa tu labda kama mazoea au kama hobby.
Kama haunywi maji unaweza ukawa unaumwa hadi ukalazwa hospital; mie siyo doctor najipitia zangu tu mwaya.
 
BARIADI-KWETU

Senior Member
Dec 30, 2013
173
0
Doctars mimi nna matatizo mawili! 1.sipati ham ya kunywa maji yaani inafikia ha2a najilazimisha kunywa kama anae kunywa dawa!. 2.mgongo, kiuno vinaniuma kama vile mzee wa miaka 80 wakati umri wangu 22yrs!, pls naomba mnisaidie dawa kama ipo!
jl

JINSIA YAKO?
 
georgeallen

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
3,755
1,225
Sijui hata kama kuna hamu ya kunywa maji; maji unakunywa tu labda kama mazoea au kama hobby.
Kama haunywi maji unaweza ukawa unaumwa hadi ukalazwa hospital; mie siyo doctor najipitia zangu tu mwaya.
labda anaishi njombe/rungwe ambapo hali ya hewa ni baridi sana. Muhimu kwake ni kutambua kwamba maumivu ya mgongo, kiuno etc yanaweza yakawa yamesababishwa na kutokunywa maji
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom