Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,335
Mie nakula kwa ratiba.. saa 12 au moja jioni mwisho.. Sasa mtu anakuja saa nne au tano usiku nimsubiri si ntajitesa??Hata afya yangu hairuhusu..
hivi utamngojea mtu anayerudi majogoo yameshaanza kuwika ili uje mle naye au.
Ni vizuri kama wote mkila pamoja ILA WANAUME walio wengi wanachelewa kurudi nyumbani,,sasa mtu utawezaje kumsubiria arudi wakati mda unaenda,njaa inakolea wakat sanyingine unakuta jamaa yupo mahali anachoma nyama na kushushia na kilaji,,,we ugali unapoa na kuchelewa kula usiku chakula hua akifanyi kazi tena,,,kitambi tu
hakuna kusubiriana mkuu...hapa njaa ikinibana ni kutupia tuu.......mahaba chumbani si mezani bana....
dah mkuu kwa mwendo wa wanawake kununa nuna kusiko na mpango yaani unaweza kulala njaa kila siku aisee maana dah..........mbona mwanzo mlikuwa mnakula wote,mkishazoeana sana basi kila mtu kimpango wake mnakutana kwa bed tu
dah mkuu kwa mwendo wa wanawake kununa nuna kusiko na mpango yaani unaweza kulala njaa kila siku aisee maana dah..........
hii imeniacha hoi mpaka jirani yangu ndani ya basi anashangaa.
whatever's going on, sad..eating together is supposed to be a FAMILY THING (dad,mom,kids) it makes a strong,loving family. Eti kids eat at 7p, mom 10p and then she goes straight to bed, and dad eat at 5am?!!, thats why parents wana vitambi visivoisha