Do you think white people are more beautiful?

Do you think white people are more beautiful?

Je tukipewa nafasi ya kumchagulia rangi mtoto aliye tumboni azaliwe akiwa na rangi gani,tutachugua black kweli???? Au tanjifariji tu, maana hadi leo sjaskia wazungu wakitumia madawa ya kupunguza weupe na kuongeza weusi.
Aisee...!
 
Mi naona wazungu wametuzidi :nywele..baaassss...kipilipili hata ukifanyeje it won't swirl..
African complexion is pretty cute naona as long as unaitunza rangi asili ,shape african gals tumejaliwa
 
Kwetu Ngoreme kweli mtu aniambie whites they are beauty??? Mbele ya hawa!! I love black girls...hasa wale ambao hawajamix na karolyti!!!

Embu nambie mkuu hawa umewatoa wapi????
 
Last edited by a moderator:
Wewe acha ujinga,kitu cheusi bwana hasa cha kiganda au kinyarwanda ha ha ha haaa.
 
hapo tuko pamoja sana, huwezi wafananisha na wale wenye ngozi kama ya ki.ti.mo.to.

kweli mkuu wazungu huwa hawavutii sema tukiwaona kwenye tv wamepaka make up na kufanyiwa edit tunaona wazuri kumbe hamna lolote
 
Haya mkuu kazi kwako.

tumblr_mwklx3WITH1t2e1lvo2_500.jpg


tumblr_mwklx3WITH1t2e1lvo8_r1_500.jpg


tumblr_mwklx3WITH1t2e1lvo9_r2_500.jpg


tumblr_n1lp9uQuX21t2e1lvo1_500.jpg



tumblr_my7uhbh1DH1t2e1lvo1_500.jpg


Source: Photo sharing

source: Photo sharing
Aisee imebidi niziprint nimtumie binti mmoja hivi manake amezidisha kupiga deki
 
Kwenye suala la uzuri kuna usawa kwenye race zote zilizopo duniani.....tofauti huwa labda ni usafi (kujitunza) kwa muhusika.

Nimefanya utafiti binafsi wa kutosha, kama ambavyo utampata mrembo ndani ya jamii ya Watindiga, ndivyo hivyohivyo utakutana na "ugly lady" kwenye jamii ya uzbekistan....

So sio kweli sana kusema eti hakuna mzungu mzuri...au mmakonde mzuri.........we sema bado hujabahatika kukutana nao.

Nimewahi kumuona mzungu (mtalii) nikiwa kwenye benki moja hivi....duh....alikuwa ni mrembo kupita maelezo, mpaka leo natamani ingekuwa ni picha niendelee kuiangalia, na pia nimewahi kutana na binti mmoja wa Vietnam nikiwa kwenye nchi moja ya Asia ( sio vietnam), asikwambie mtu...tofauti kubwa sanasana ni maumbile......

Kwenye uzuri hakuna race....macho ndio yanatambua....suala la simpendi kwa sababu anatoka Paraguay hayo huja baadae.
 
Mh!white?wazuuunguuu au?maana kuna waafrika weupe pia,mtoa mada fafanua pulizi!
 
Naona wengi tunawasemea macaucasian hawa kidogo hmmmm! Hawavutii sana ila kuna weupe kama walatino, waarabu, wagiriki na wengineo. Ukimkuta ana bantu figure na yale manywele yao marefu kwa kweli wanavutia kuangalia. Hata wanaume wao ukiwakuta wenye body nzuri wana vutia machoni. Ila sisi weusi tuko wazuri lazima tujipendelee kujisifia. I am sure hata whites wanajiona ni wazuri na wanajisifia kama sisi tunavyojisifia.
Cha muhimu tumsifie Mungu kwa uumbaji wake
 
Back
Top Bottom