Yes .. I remember ... just n my room ... real sweet and relaxing ... Deeper Than Love ... Dave KOZ !!
I wish ungeniona ... Lolmmmmh! AJ huo wimbo mbona hauchezeki na ni wakusikiliza kama umekaa, umerelax na kuvuta hisia.... You have gat to be kidding me...
lol.. AD labda AJ alikuwa anatikisa kichwa!mmmmh! AJ huo wimbo mbona hauchezeki na ni wakusikiliza kama umekaa, umerelax na kuvuta hisia.... You have gat to be kidding me...
aisee, i dragged meself back to school, after easter this year tukapatana tufanye faculty party basi tu kuiachia! that is when i believed the saying going back to schooling makes u feel 17! Nilicheza karibu kila wimbo (there was a live band, so waliimba zilipendwa za kidhungu na kiswahili, sio reggie, za ngwasuma humo humo! it was a freaking night, by the time tunazimiwa mziki @1.00 am, tulibaki 5 pple tukaamua kwenda club hadi 4 am! kesho yake mwili wote unauma, sauti haitoki bt the whole week nursing my hangover and yet feeling like a sweet 17,lol!! It was nice!
Rudia... chukua home clip video hata kwa cm.... u-upload, nione kama kweli....lol
Sweetlady umeona eeeh?? yaani nimeshindwa pata picha... Huo wimbo mie hunibembeleza kulala.... Ngoja lakini alete ushahidi....[/QUOTE..lol.. Tusubiri...
Nakumbuka ilikuwa usiku wa kuamkia mwaka mpya 2011 Bwawani Hotel...wana club yao ipo vizuri...DJ alipiga nyimbo nzuri ila ulipopigwa wimbo wa I wanna fly...Shaggy feat Gary Nesta Pine...nilicheza sana...i still remember the moment as if ilikuwa jana...
King the way umeipaint kama vile nilikuwepo na nikawaona..... It was definately fun (kumbe kuna watu hua huonana?? INAPENDEZA SAANA) and as much as ulikua na maumivu I know for a fact it was worth it and you could do it all over again with NO regret...
Sweetlady umeona eeeh?? yaani nimeshindwa pata picha... Huo wimbo mie hunibembeleza kulala.... Ngoja lakini alete ushahidi....[/QUOTE..lol.. Tusubiri...
Lakini SweetLady , umesema labda natiksa kichwa ... kaaaribu unapatia na ninahisi kweli unaupenda ..SASA ..Ona Mimi natiksa kichwa ... wewe unakubembeleza ..unganisha iwe picha moja... .Lol!
Mueleze ADii ..Bado anataka ni Upload?? Lol
Nimeona mpendwa, hapa nasububiria kwa hamu kumwona anavyocheza.. Tusubiri coz subira yavuta kheri...Seconded.... Tusubiri....lol.. Umeona hapo juu kaahidi....
I wish ungeniona ... Lol