Kama wana mawazo hayo naiona ICT The Hague kwa mbaliii. Ulimwengu huu umebadilika sana. Kama Shimbo na vijana wake(ambao nao wanajisahau kuwa nao ni watanzania ambao kesho na kesho kutwa watastahafu kazi zao na kurudi uraiani kwenye umasikini imara) wataamua kuwaua WaTZ wanaodai kuibiwa kura zao basi wajue ziko mahakama za kimataifa ambazo hazihongeki na watapelekwa tuu.Wakifanya kama Kenya kumuapisha haraka......na matokeo yatakuwa kama Kenya......Koffi Annan, Obasanjo n.k wajiandae!
Jina la director wa uchaguzi Tanzania ni Mheshimwa Kiravu na aliyekuwa director wa uchaguzi Kenya wakati huo ni Mheshimiwa Kivuitu.
Haya majina yanaweza kuwa yanaashiria mambo mabaya kuhusu matokeo ya uchaguzi
Suala la kuiba kura halipo kwa sababu kila mmoja mawazo yake yako huko kwa hiyo kila mshika dau kwenye uchaguzi atataka kuhakikisha haki inatendeka.
Tatizo liliobaki ni vyama vya upinzani kuishinikiza NEC isizuie wapigakura kuwa mita 200 kutoka eneo la kupiga kura.
Wakifanikiwa hila JK na CCM yake wanaturudishia nchi yetu bila zengwe.
Ni kweli wanaweza kuiba kura, lakini mi nadhani tukipiga kura kwa wingi kwa Dr. Slaa itampa nafasi kubwa Dr. Slaa kushinda hata kama wataiba
Issue ni kwamba ki haki na kiualali kabisa dr slaa ni rais, ila sasa kwa kuwa mgombea urais wa ccm ndiye mwenye serikali na majeshi yote na nec amewachagua yeye kwahiyo kura lazima zitaibwa tu,labda mniambie ni mikakati gani ya ulizi iliyo wekwa kuthibiti wizi wa kura? Peopleeeees? So justtell me those strategies and man power which will be used. Thanks.
wataweza kuiba pale tu kura za ccm na za chadema zitakapokuwa zimepishana kidogo....sasa watawezaje kuiba ikiwa chadema wana 75% na ccm 20% ya kura!???Issue ni kwamba ki haki na kiualali kabisa dr slaa ni rais, ila sasa kwa kuwa mgombea urais wa ccm ndiye mwenye serikali na majeshi yote na nec amewachagua yeye kwahiyo kura lazima zitaibwa tu,labda mniambie ni mikakati gani ya ulizi iliyo wekwa kuthibiti wizi wa kura? Peopleeeees? So justtell me those strategies and man power which will be used. Thanks.
*** CCM all the time
wakifanya kama kenya kumuapisha haraka......na matokeo yatakuwa kama kenya......koffi annan, obasanjo n.k wajiandae!
Hivi uandhani kuwa wapiga kura wakiruhusiwa kubaki katika eneo la kuhesabu kura ndio itasaida na kazi ya kuhesabu itafanyika kwa amani. Hivi hudhani kuwa kama mtu anaamua kuharibu uchaguzi hiyo ndiyo nafasi nzuri kumaliza mpango wake? Labda mwenzetu unaishi katika maeneo ya walala heri lakini huku kwetu usahilini ukiachia "wapiga kura" hata mita mia karibu na kituo unakaribisha vurugu. Na ziaid wahuni wa CCM huo ndio wakati muafaka wa kufanya mambo yao kiusanifu zaidi.
kenya yaliyotokea yanajulikana kwamba baada ya matokeo kutangazwa wakikuyu walifukuzwa na wengine kuuliwa ktk maeneo ya wajaluo na wakalenjin na vivyohivyo ndivyo walivyofanyiwa wao ktk maeneo ya wakikuyu!!!
[/size]
And this will be useful to your cause u think?
Only WARLORD Rostam, WARLORD MBOWE and the like will benefit from this scenario kaka....So better live these guys alone na tuache kuwaingiza kwenye propaganda zetu......Huko u/mnakoenda ni NO GO ZONE wandugu....