Do you know why not Dr Slaa 2010-2015? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Do you know why not Dr Slaa 2010-2015?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by RONALD URASSA, Oct 3, 2010.

 1. R

  RONALD URASSA Member

  #1
  Oct 3, 2010
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Issue ni kwamba ki haki na kiualali kabisa dr slaa ni rais, ila sasa kwa kuwa mgombea urais wa ccm ndiye mwenye serikali na majeshi yote na nec amewachagua yeye kwahiyo kura lazima zitaibwa tu,labda mniambie ni mikakati gani ya ulizi iliyo wekwa kuthibiti wizi wa kura? Peopleeeees? So justtell me those strategies and man power which will be used. Thanks.
   
 2. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #2
  Oct 3, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Why should we tell you....you tell us how votes will be stolen First as u seemed to be over the top otherwise u r bluffing in a day light.
   
 3. M

  Masauni JF-Expert Member

  #3
  Oct 3, 2010
  Joined: Aug 15, 2010
  Messages: 378
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kweli wanaweza kuiba kura, lakini mi nadhani tukipiga kura kwa wingi kwa Dr. Slaa itampa nafasi kubwa Dr. Slaa kushinda hata kama wataiba
   
 4. MwanaHaki

  MwanaHaki R I P

  #4
  Oct 3, 2010
  Joined: Oct 17, 2006
  Messages: 2,403
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 145
  Wamezoea kuiba, lakini hilo halitutishi. Tutapiga tu!
   
 5. Mazingira

  Mazingira JF-Expert Member

  #5
  Oct 3, 2010
  Joined: May 31, 2009
  Messages: 1,837
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Ni kweli huwa wanaiba pale tofauti inapokuwa ndogo. Lakini Slaa akipata kura mil 11 na Kikwete kura mil 3 hawana ujanja inabidi wakubali tu. Lakini kama Slaa akipata kura mil 8 na Kikwete mil 7.2 hapo wanachakachua kabisa hawa watu, hawaaminiki hata kidogo.
   
 6. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #6
  Oct 3, 2010
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,855
  Likes Received: 2,430
  Trophy Points: 280

  ..wazee datas za jikoni ni kuwa vyombo chini ya uenyekiti wa mkulu kwenye kikao cha siri ..imeamuliwa kuwa hata akishinda ....hawatampa ..na wamepanga kukimbilia kumwapisha haraka kama walivyofanya Kenya ...na kwa kuogopa aftermath ya mpango wao ndio maana wamemtuma LT Gen Shimbo ....atume alert ili watu wasidhubutu kupinga matokeo.............hali itakuwa mbaya kwani hata zanzibar imeamuliwa akishinda maalim pia hawampi....so jeshi litakuwa na kazi kubwa sana....na kuna dalili za kuzorotesha maridhiano.....
  Inside info zinasema wanasema kama Zanzibar CUF wamekuwa wakishinda siku zote na hawawapi..itakuwa kwa bara????.............Ambako hata mwaka 1995 walichakachua......
  maafisa wa juu wa usalama na jeshi wana hofu kuwa Mkulu akishindwa ...ajira zao zitakuwa mashakani...ni propaganda ambayo wamepikwa nayo.......na wamepewa jukumu la kuokoa jahazi...lakini ni wazi kuwa maafisa wa vyeo vya kati na chini hawafaidiki kwa lolote na uchakachuaji na ubabe unaotarajiwa kufanywa..
   
 7. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #7
  Oct 3, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Wakifanya kama Kenya kumuapisha haraka......na matokeo yatakuwa kama Kenya......Koffi Annan, Obasanjo n.k wajiandae!
   
 8. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #8
  Oct 3, 2010
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 864
  Trophy Points: 280
  Jina la director wa uchaguzi Tanzania ni Mheshimwa Kiravu na aliyekuwa director wa uchaguzi Kenya wakati huo ni Mheshimiwa Kivuitu.
  Haya majina yanaweza kuwa yanaashiria mambo mabaya kuhusu matokeo ya uchaguzi
   
 9. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #9
  Oct 3, 2010
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Mkuu actually Tanzania is no different with Zimbabwe, Kenya et al. The only thing can make things change is Peoples' Power. Tatizo la nchi hizi ambazo ni masikini ni moja. Nalo ni serikali ndiyo source kubwa ya ajira kwa watu wengi. Watu hawa wote kama wanalishwa propaganda that, a win for other party is a loss for job unatarajia nini?.

  CCM haipo tayari kukabidhi nchi kwa mtu yeyote ambaye si mwana CCM hata kama wananchi watataka otherwise. Sababu kubwa ni kulindana, kuna watu wamejirundikia mali za kufuru kwa kuwaibia watanzania, hawa wote wapo Tayari kwa lolote kuhakikisha masilahi yao yanalindwa. A path to new party to be in power will start when those in power feel no more secured and cave to the public pressure. That period is far from happening unless few people decide to be candles to shed light to others.
   
 10. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #10
  Oct 3, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,175
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  Kuna Masoja wataasi. Kwani masoja wakileta noma Kikwete atafanya nini?

  Na huyo Makame lazima asome matokeo kwa mtutu siku hiyo.

  Kwani masoja hawaoni jinsi Watanzania kwa mamilioni wanavyoteseka na bado wanadanganywa?
   
 11. omarilyas

  omarilyas JF-Expert Member

  #11
  Oct 4, 2010
  Joined: Jan 24, 2007
  Messages: 2,127
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Una kadi ya kupiga kura?
   
 12. omarilyas

  omarilyas JF-Expert Member

  #12
  Oct 4, 2010
  Joined: Jan 24, 2007
  Messages: 2,127
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0

  And this will be useful to your cause u think?

  Only WARLORD Rostam, WARLORD MBOWE and the like will benefit from this scenario kaka....So better live these guys alone na tuache kuwaingiza kwenye propaganda zetu......Huko u/mnakoenda ni NO GO ZONE wandugu....
   
 13. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #13
  Oct 4, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  **** CCM all the time
   
 14. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #14
  Oct 4, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,315
  Likes Received: 19,478
  Trophy Points: 280
  pole pole mjomba. Huu sio utamaduni wetu kaka.weka hoja ili tuvuke salama bila damu kumwagika kaka.
   
 15. O

  Ogah JF-Expert Member

  #15
  Oct 4, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  ............Ndio maana ushauri wa Mzee Mwanakijiji....kuwa sasa inabidi Dr. Slaa a-act kama President unatakiwa kufanyiwa kazi.............Mwanakijiji alimshauri Dr. Slaa aongee na taasisi mbali mbali za serikali kuwahikikishia/kuwajulisha mambo mazuri pindi atakapochukua madaraka..........ili kuwapa confidence................

  Mtu kama General Shimbo hivi sasa hana confidence kabisa akisikia Dr. Slaa anaingia madarakani..........
   
 16. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #16
  Oct 4, 2010
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,690
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Huu ndio typical uchochezi, hizi ndio lugha zilizofanya chaguzi zote zilizopita huko Zanzibar kutokubalika!
   
 17. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #17
  Oct 4, 2010
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,690
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Upuuzi huu!!! Tuwe makini tunavyobonyeza key-board zetu wajameni... we make like jokes but!!! lugha kama hizi alafu mshindi apatikane na sijui 52% to 48% amini usiamini.....
   
 18. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #18
  Oct 4, 2010
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,690
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Ni ukweli usiofichika kwamba Dr. Slaa ana-uwezo wakujieleza kuliko JK. Na ni ukweli usiofichika kwamba Watanzania wanapenda mageuzi... ndio maana hata mwaka 2005 walimtegemea JK kwa mageuzi sana ndio maana alipata kura nyingi.

  Lakini ukweli utabaki kuwa ukweli tu kwamba ushindi hauwezi kuja kirahisi kiasi hicho... CHADEMA hawawezi kushinda kiti cha urais kwa sababu hizi.

  1. Hivi wandugu Dr. Slaa anawezo kufika maeneo yote ya nchi kabla ya October 31st.
  2. Hivi mwajua wahudhuria mikutano ni asilimia ndogo sana ya wapiga kura?
  3. Hivi helcopter ya CHADAMA inayotua kwenye kijiji x kwa dakika 40 (kipindi cha shule ya msingi enzi zile) yatosha kweli kufanya waliohudhuria wote wabadili mwelekeo wake kwa % zote?
  4. Mwajua kuna sehemu ambapo CCM imeonekana imefanya mambo, mfano kule Monduli, kule Rombo etc..
  5. Kitendo cha CCM kuwa na wagombea ngazi zote ambao wanaomba kura za Mbunge na Rais wao ndio mwimba mchungu lakini wa kweli.

  ===>Ni kweli tutegemee CCM kutopata kura zaidi ya 70% kwa urais lakini la CHADEMA kushinda ni ndoto unless tusogeze uchaguzi hadi Feb 2011
   
 19. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #19
  Oct 4, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,939
  Likes Received: 2,088
  Trophy Points: 280
  Wewe umetumwa na Brigedia Abdulman Kinana au Luteni General Shimbo au Luteni Yusuf makamba kupima joto au kutafuta mbinu za kuiba kura. Kingine umetumwa kuja ku-vote for JK kwenye poll ya JF.
   
 20. m

  mapambano JF-Expert Member

  #20
  Oct 4, 2010
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kura ni siri ya mtu, tusilazimishe kile kitu roho inataka aisee, tusubiri 31 October, hapo ndipo watanzania watachagua viongozi wao including yourself..
   
Loading...