Do you have guts??? Basi "Brag" a bit....

Naona anagonga likes bila upendeleo. Lazima kwenye maungamo atakuwa ameambiwa agonge likes 8,999 kabla ya Pasaka ili aweze kusamehewa dhambi zake.
Hahahahahaha, hana dini yule!
Mkuu Nyani Ngabu, changia basi tuelewe nini kimekutokea leo. lol
 
Hahahahahaha, hana dini yule!
Mkuu Nyani Ngabu, changia basi tuelewe nini kimekutokea leo. lol

Una uhakika hana dini yule? Maana siku hizi kuna dini za kila aina na nina wasiwasi mkubwa huyu atakuwa mchungaji wake.

Last edited by a moderator:
Una uhakika hana dini yule? Maana siku hizi kuna dini za kila aina na nina wasiwasi mkubwa huyu atakuwa mchungaji wake.
Hahahahaha, eti pombe ni dawa ya ukimwi, watu wasitumie condom???
ukinywa tisa ni sawa, unapona magonjwa yote. Malaria, matatizo ya kichwa, hata ukimwi
Huyu anatakiwa kufungwa. Anaonekana alikuja kuhubiri huku amesha lewa!
But in TZ kila kitu kina wezekana, Babu wa Loliongo alipewa support na government officials
 
Reactions: EMT
Njoo kesho kama utaziona.
Na ukimuudhi kidogo tu
ana-UNLIKE

Umesahau hiki ni kipindi cha Kwarezima? Anafanya malipizi ya dhambi zake. lol.

Naona anagonga likes bila upendeleo. Lazima kwenye maungamo atakuwa ameambiwa agonge likes 8,999 kabla ya Pasaka ili aweze kusamehewa dhambi zake.

It does not matter jamani.... I have the damn Lucky Likes... hahaha.....
 
Kweli kujisifia muhimu mwenzangu, nafurahia maisha navyotaka, sina matatizo ya kimapenzi
najisifia tangu nimeanza mapenzi sijawahi achwa...guna....., najisifia mie msomi mrembo nisiyeteteleka, najiamini balaa
nimeachieve goals zangu nyingi pia. keep on going like never before....whatch me out!!!!
 
Berry hii kwa kweli nimeipenda.... Ya Ukweli saana...lol

Nimesoma hapa mimi mwenyewe nimecheka na kufurahi, Umeitendea haki ku Brag! Way to go gal....

BTW Nimefurahi kukuona, Umepotea mno! Hope all is well and good huko.
 
Babu siujui kaishia wapi?
 
Safiiiiiiiiii! Best wishes...na tena...na tena!
 
Berry hii kwa kweli nimeipenda.... Ya Ukweli saana...lol

Nimesoma hapa mimi mwenyewe nimecheka na kufurahi, Umeitendea haki ku Brag! Way to go gal....

BTW Nimefurahi kukuona, Umepotea mno! Hope all is well and good huko.

They say......uzuri wa ndege manyoya, uzuri wa mwanamke kujiamini!! Nisaidie kumgea like yangu....lol!
 
Kwahiyo aunt tunatakiwa kujisifia? Duh, naanzaje sasa?
Cousin bwana, lazima kuna kitu ambacho unajivunia kua nacho,
na unaamini hata wengine wangekua nacho wangeringa pia...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…