prakatatumba JF-Expert Member Joined Oct 17, 2011 Posts 1,328 Reaction score 192 Jun 3, 2012 #61 M ninayo ipo kwenye mkono wangu wa kushoto na chn ya kitovu zote zinafanana na ramani ya bara la afrika
M ninayo ipo kwenye mkono wangu wa kushoto na chn ya kitovu zote zinafanana na ramani ya bara la afrika
CharmingLady JF-Expert Member Joined Apr 16, 2012 Posts 18,304 Reaction score 12,999 Jun 3, 2012 #62 Mapi said: waooh! Wanasema golden chance never came twice..ngoja nianze kujibaraguza kama njiwa dume mbele ya majike [ushawah ona hyo]. Niambie Click to expand... me niko poua wangu, dah umenikumbusha mbali sana kwani enz zile za miaka ya 90 kulikuwa na jiran ana njiwa weng sa me nlikuwa napenda kuangalia njiwa wanavounguruma hasa dume kwa jike!
Mapi said: waooh! Wanasema golden chance never came twice..ngoja nianze kujibaraguza kama njiwa dume mbele ya majike [ushawah ona hyo]. Niambie Click to expand... me niko poua wangu, dah umenikumbusha mbali sana kwani enz zile za miaka ya 90 kulikuwa na jiran ana njiwa weng sa me nlikuwa napenda kuangalia njiwa wanavounguruma hasa dume kwa jike!
Mapi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2011 Posts 6,848 Reaction score 2,742 Jun 3, 2012 #63 hapa kila kitu...ntakukumbusha hata zaid ya hapo. Ulkuwa ukiskia sauti ya dume unafkiriaje au unahs nin? charminglady Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
hapa kila kitu...ntakukumbusha hata zaid ya hapo. Ulkuwa ukiskia sauti ya dume unafkiriaje au unahs nin? charminglady
CharmingLady JF-Expert Member Joined Apr 16, 2012 Posts 18,304 Reaction score 12,999 Jun 3, 2012 #64 hahaa!enz hzo nilikuwa mtoto ckuwaza chochote. . .
Mapi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2011 Posts 6,848 Reaction score 2,742 Jun 3, 2012 #65 na sahvi ukizikumbuka? Nakumbuka kitu kizuri hujanambia ntakionaje. charminglady Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mapi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2011 Posts 6,848 Reaction score 2,742 Jun 3, 2012 #66 na sahvi ukizikumbuka? Nakumbuka kitu kizuri hujanambia ntakionaje. charminglady Last edited by a moderator: Jan 4, 2016