Do you dream in colour or in black and white?.

Mambo Jambo

JF-Expert Member
Jul 11, 2008
1,100
81
Just wanted to know from you wanachama, jee vipi huwa ndoto unazoota unaota in colour or in black and white, or in colour/black and white...its very interesting kwa sababu najua ni wengi ambao hamjawahi kujiuliza swali hilo( kama ndiyo nipe tano) Poleni wale ambao huwa hamkumbuki mmeota nini punde tu mnapoamka..

Twende kazi..
 
You deserve a pat on the back.
Kweli I never thought of that na wala sikumbuki rangi au hata ndoto zenyewe unless ziwe za kutisha sana!
 
Just wanted to know from you wanachama, jee vipi huwa ndoto unazoota unaota in colour or in black and white, or in colour/black and white...its very interesting kwa sababu najua ni wengi ambao hamjawahi kujiuliza swali hilo( kama ndiyo nipe tano) Poleni wale ambao huwa hamkumbuki mmeota nini punde tu mnapoamka..

Twende kazi..

Naota mara chache sana i.e sidhani kama nafikisha ndoto kumi kwa mwaka. Labda ni katika wanaoota na hawakumbuki walichoota. By the way, katika ndoto huwa naona real i.e colour, nakumbuka rangi za nguo huona nyekundu, nyeupe na nyeusi etc na hata watu huwa nakumbuka rangi zao halisi.

Cha ajabu naweza kuota niko sehemu ambayo hata sijawahi fika, lakini matukio na watu ni wale wale walionizunguka kila siku, ndugu, jamaa na marafiki.

Huwa pia naona marafiki ambao hata sijawahi kukutana nao i.e kuota kuongea na baadhi ya wanaJF. Cha ajabu watu huwa nawaona kiwiliwili chote hadi kichwa isipokuwa macho, pua, na sehemu ya juu ya uso.
 
Dada woman of S,

Nashauri usiku wa leo lala and try to concetrate halafu kesho asubuhi ukiamka tuu kitu cha kwanza andika ndoto ulizoota, if you do that for sometime itafika kipindi utakuwa unakumbuka ndoto zote kama zamani...and i hope kesho utatueleza kama ilikuwa black and white or in colour..all the best
 
mama heshima mbele,

Kuna watu ambao huota in black and white na wengine huota in colour.....lakini sikia hii..you have some who dream in both i.e black and white + Colour,
Mtu anaweza akawa anaota in colour na katika ndoto yake hiyo he's watching a black and white movie....old movies or a cartoon.
 
Just wanted to know from you wanachama, jee vipi huwa ndoto unazoota unaota in colour or in black and white, or in colour/black and white...its very interesting kwa sababu najua ni wengi ambao hamjawahi kujiuliza swali hilo( kama ndiyo nipe tano) Poleni wale ambao huwa hamkumbuki mmeota nini punde tu mnapoamka..

Twende kazi..

One may suffer pain in a dream. So much so that if you slip while you are running over grass you see you have cut your knee. You try to staunch the bleeding and feel the pain from your knee with perfect clarity. Yet no such thing has happened as you lie in bed. You feel the pain in the real sense, but no injury has occurred to your body.

More Reading: Dreams
 
Back
Top Bottom