FarLeftist
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 363
- 21
Mkuu sio TAKUKURU, NI IDARA ZOTE ZINATUMIKA KISIASA
1) UHAMIAJI- mara huyu sio raia, mara huyu raia, na juzi wamemgongea RA Muhuli wa EXIT wa pale NIA ili ionekane kuwa ametoka nje siku ya tukio akuwepo
2) JWTZ- Kama mlivyomsikia Shimbo+ issue ya Meremeta
3) POLICE- jinsi wanavyoshughulikia watu kutokana na siasa zao ( issue ya Shibuda na yule jamaa wa CCM)
4) TISS-Kama inavyojulikana
5) NEC-Kama inavyojulikana
6)TCA (Mawasiliano)-Hawa jamaa walikuwa hawajuhi zile MSg z kumkashifu Slaa zinatoka wapi
7)TBC, DailyNEws,HLeo-Hivi ni Vyombo vyaq Habari vya Umma lakini vinafanya kazi ya CCM
8)..........
9)..........
Hivi sheria zinasemeje? Hakuna jinsi tunaweza washitaki hawa? i.e chenge na takukuru kwa upotoshaji wa makusudi ili khali wakiwa na dhamana za uongozi wa umma?Tulilisema hili na tuka-attach SFO report. Takukuru walikuwa wanamsafisha Chenge kwa maji machafu. Walidhani SFO ni ya kuchezea kama mnavyochezea NEC; mlidhani wako mechanical?
Kwa serikali ya uingereza tunataka muwe makini zaidi na mtafakari sababu za hatua ya takukuru kumsafisha Chenge. Imeficha mambo mazito ndani yaani TZ tuna vigogo wengi walio juu ya sheria, na ndiyo hao wanaochochea machafuko kwa 'kununua' vyombo vya dola na kuviendesha kwa remote
Mimi huwa mnanichefua kumwita huyo jamaa DR.Siyo aibu kwa TAKUKURU pekee hata kwa rais wetu dr. Jakaya Kikwete kwani uozo wa TAKUKURU haujaanza leo. Umeanza tangu enzi za ndugu yetu Richmond lakini JK kafumba macho na masikio.. Sielewi atachukua hatua ya kumwajibisha Hosea mpaka amwibie mkewe au vipi. Kwakweli kuna siri nzito ndani ya TAKUKURU ya hosea ambayo wanajitahidi kuificha ndiyo mana wanatapata mara hivi mara vile. Tuzidi kumwomba Mungu aiokoe Tanzania kwani tunakoenda ni giza tupu.
Mimi huwa mnanichefua kumwita huyo jamaa DR.
TAKUKURU wameprove kwamba wako pale kwa ajili ya maslahi ya watu fulani na kuzuga tu watanzania. Hata kama Chenge hausiki na rada walitakiwa kujua hizo bilioni moja anazomiliki ni za NGO ipi. Istoshe huo uchunguzi waliufanya lini hadi wakaja na riporti ya uchunguzi??