Do we learn from our past mistakes? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Do we learn from our past mistakes?

Discussion in 'Great Thinkers' started by Sumba-Wanga, Apr 22, 2012.

 1. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #1
  Apr 22, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Sometimes I am thinking aloud while watching some of the documentaries:

  Historia ya miaka 100 ya meli ya TITANIC, scientists are struggling to find out what went wrong and why the ship which was thought to be practically unsunkable, sunk? kwa nini ilizama? Was it a probelsm related to design or what was it ? Imagine, the TITANIC sunk 100 years ago but they did not let it go Tanzanian’s style

  Air crush investigation: Investigators are searching for clues why a certain aircraft clashed? What are the causes of the crush and what should be done to prevent such incidences in future.

  Bombing of the Pearl Harbour! Historians are investigating what went wrong and the critical mistakes which were done by the Japanese Imperial Navy, and the price they paid.

  Na mengine mengi. Kila kitu kinachuunguzwa kwa undani na kupatiwa majibu ya maana, hakiachiwa kipite kama livyo.

  Narudi kwetu watanzania:

  1: MV Bukoba imepita hivi hivi. Hakuna deep imvestigation iliyofanyika kujua tatizo lilikuwa nini, na what should we do in future.

  2: Train ya Mpwapwa Gulwe which claimed almost 1000 lives, is now a history and nothing has been done to rectify the operations of the then TRA

  3: Sokoine saga (I do not want to go into details?. Lakini Kampuni ya Mercedez Benz haikuwaingia akilini ajali kama ile afariki mtu aliyekuwa amekaa seat ya nyuma wakati waliokaa mbele walipona

  4: Ajali ya Super Najimunisa: The bus gushed into flames, lucky no one was hurt. In this case, you would expect further investigation which would have brought recommendations to the Bus operators, Traffic police as well as Insurance companies. Ninachojua abiria walipoteza mizigo yao yote na hakuna compensation yoyote iliyofanyika.
  5: Juzi ndege ya ATC imetua kwa tumbo. Imagine the Tanzania’s flag carrier! Shame, mafisadi waliohujumu shirika hilo, wapo, wanatembea tu huru....

  6: Ajali za mabasi za kila siku, majibu rahisi ni dereva alikuwa anaendesha mwendo wa kasi... simplest explanations...

  7. Kanumba amekufa kwenye kifo cha ajabu jabu; watanzania tunatoa majibu mepso mepesi, lakini kinachotakiwa kufanywa ni uchunguzi wa kina ili kuokoa vijana wengine kwenye kifo kama hicho. Muda wote tunazungumzia Umri wa Lulu, bila hata kujua what happened in the room?  The list is endless.

  Kama kawaida ya watanzania, business as usual......
  Jamani, sisi tunajifunza kweli kutokana na past mistakes? Majanga makubwa yanataokea, watu wanasikitika siku 3 then business as usual........ We have to change, we have to change, everything has to change
   
 2. Zakumi

  Zakumi JF-Expert Member

  #2
  Apr 23, 2012
  Joined: Sep 24, 2008
  Messages: 4,817
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  What do you expect? In Tanzania everything you have listed above fall under Kazi ya Mungu or Mungu ametoa Mungu Amechukua.
   
 3. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #3
  Apr 23, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Yes, umesema kweli kabisa.
  Lakini mbona viongozi wetu wanasema tumeingia kwenye age of science na technology?
  We have ti change, but how???
  Shida Institutions za kuleta hayo mabadilko zimeshikwa na wanasiasa....
   
 4. Zakumi

  Zakumi JF-Expert Member

  #4
  Apr 24, 2012
  Joined: Sep 24, 2008
  Messages: 4,817
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  Yes, they say that because they don't ride donkeys to work, and the die differently. If I drive my VX securely to work, why should I care when a passenger bus catch fires?
   
 5. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #5
  Apr 24, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135


  That is why this has to change. we can not longer go on like this while the lives of the innocent people are at stake.
  I do not know what we should do, but I am of the opinion that we have to change.
  Change should start from the our values and attitudes of life.
   
 6. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #6
  Apr 24, 2012
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Mkuu kama wewe ungekuwa mtanzania sidhani kama kweli ungeongea haya, labda wewe ni Mkenya. Nchi yetu inaitwa TANZANIA, ukiangaza kuangalia maana ya hzio herufi utakuta ni rushwa, wizi, ubabaishaji, uuaji, majigambo, kujifanya wajuaji, kudifia wengine na kujidharau wenyewe, na utumbo mwingi tu tunaouongelea kila siku.

  Unayosema hakuna kiongozi anayeyajali, jaribu kukumbuka MV Bukoba ilivyokuwa politicized, halafu hiyo hiyo ikatokea Z'bar, ajali za mabasi kila baada ya miezi miwili, who cares and why should they? Ukifa wewe kama kifo chako kitawasaidia ku win political points basi utaona wanajitokeza, otherwise you are nothing and useless like a toothless dog. Ukitaka kuchukua maisha yako watakukamata kwa kuwa wewe ni source ya kodi (indirect taxes) kwa hiyo utakuwa unawapunguzia source of income. Ukitaka kuona kuwa huna maana, nenda kutuo cha polisi kutoa maelezo ya uhalifu uliofanyiwa uone kitakachotokea, nenda hospitali kama huna pesa uone moto wake.

  At this momemt no one cares, kwa hiyo ni bora ujiangalie mweyewe na jinsi utakavyoweza kujilinda na kufurahia maisha.
   
 7. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #7
  Apr 24, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135

  Mimi ni mTANZANIA kwa baba na Mama.
  Nimefurahia sana analysis yako ya utanzania, na kwa kweli I am agreeing with you 100%,.

  Najua kwamba:

  1) Ukipata ajali njiani: utaporwa na kuibiwa kila kitu kwenye gari lako. na kama wewe ni marehemu, they will call the last person, informing that you are no more and thereafter, they will switch off the phone. Inakuwa yao

  2) Ukienda buchani ukanunua 5 kgs, utaondoka na 4 kgs
  3) sokoni, utauziwa vitu kwa mizani ambayo uko overweight
  4) petrol station: 2 things, either uuziwe mafuta fake au waminye pump
  5) Bar: utaongezewa bill na kupunjwa nyama
  6) Serikalini: wafanyakazi wana mgomo wa kimya kimya, wanafikia saa4 na kuondoka saa 7
  7)customer care: 0%

  The list is endless. Nadhani nimejitahidi kukuonyesha kwamba mimi ni MTANZANIA hasa.

  Lakini at the end of the day, what should we do?
  lKama kila mtu ataona kwamba hayo ndio maisha ya watanzania?
  The country is in a verge of collapsing!
   
 8. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #8
  Apr 24, 2012
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Yes mkuu so sad, hii ni Tanzania yetu. Ndio maana watu wanasema ni bora mkoloni
   
 9. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #9
  Apr 24, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135

  It is very sad!
   
 10. Zakumi

  Zakumi JF-Expert Member

  #10
  Apr 25, 2012
  Joined: Sep 24, 2008
  Messages: 4,817
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  Why don't you become an agent of change? It seems to me that you know what should be done, but you are waiting for somebody else to take the plunge. It doesn't work that way.
   
 11. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #11
  Apr 25, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135

  Do not tell me that you have not yet realized that I am an agent of change....?????/
   
Loading...